Arusha: Mgomo wa daladala na pikipiki

"kumkataa OCD" ocd hakataliwi kwa kuwa sio politician. Sheria ya tz kuhusu viongozi inasema, kiongozi yeyote akitembea kwa miguu akiambatana na watu wengine wasiopungua watano huku waki argue political issues watakuwa wanaandamana na lazima wawe na kibali.

Sheria ya kipuuzi kama hiyo unaona iko sahihi?
 
Kumbe wakazi wa Arusha hawana akiti timamu. Inakuaje wagome kwa ajili ya mtu aliyejipeleka jela mwenyewe.

mwendawazimu ukimpa mtihani atakachokifanya ni kucheka!yan atakuona wew ndo mwendazimu..kwenye mfano huu wew ni mwendawazimu
 
Back
Top Bottom