Arusha: Mgomo wa daladala na pikipiki

Mkuu heading na post zimenichanganya let be specific brother!
kama vipi tuingie barabarani haraka! OCD wa Arusha ni Kunyanzi la kutupwa, anafanya kazi ya Mukama! k.ma la mamake!

Mkuu! Nakwambia ya kesho itakuwa history hapa Nchini na kwa mawazo yangu na mtazamo nakwakikishia ya kwamba hapa ndiyo UKOMBOZI umekaribia na nimeona CCP toka Mkoani Kilimanjaro wameshatua hapa Mjini lakini nawaonya ya kwamba hiyo haitoshi hata kidogo na kama wanataka kujua wafikirie nchi za wenzetu ilikuwaje.

NGUVU YA UMMA itapishwa tu!
 
Vyombo husika vya kiserekali vizikilize ushauri huu. Kajadilianeni na Lema sasa hivi , muelewane naye atoke kule aliko ili kuvunja NGUVU amabayo mkifanya mzaha kidogo Mtamkabidhi mikononi, jmabo ambalo mtalijutia kwa muda mrefu ujao. MSICHEZE NA NGUVU YA UTU ANAYOILALAMIKIA KWENYE WARAKA WAKE ... UTU NDIO CHIMBUKO LA TAIFA HILI ... NI MEBGU YA KUMWAGILIA MAJI KIDOGO NA ITAFUMUKA KWA NGUVU KUBWA.

Kwa kuwa hamko kwenye nafasi ya kusikilizana nyie wenyewe ni kweli PIA hmna nafasi ya kusikiliza kinachoshauriwa hapa. HIVYO tarajieni kile ambacho hamtatamani kukiona , kile ambacho BURE kabisa Mtampatia kama USHINDI kwenye kisahani cha ALMASI Mheshimiwa Lema. NARUDIA Tena ... Kama hamtaki kumpa Lema ushindi wa BURE kabisa ..MFUNGULIENI SASA HIVI ...!!

Lakini Nyie wabishiiiiii!!! Kwahiyo ...Subirini kimchezo mchezo nchi nzima ijipange ... Hamjaona kitu kama hiki ..karibuni .... Lema ameweka mitego yake in a purely PSYCHOLOGICAL WAR FAIR ...!!! You will poorly react and you will terribly going to loooseee!!
 
Tunisia ilianza na mmachinga, Libya walikuwa 'rats' (maneno ya Ghadafi). Tatizo hapa bongo wakubwa wameziba masikio na wanavaa mawani ya giza, na akili zao wameweka kwenye freezer.

Nasema hivyo kwa sababu wakubwa wameamua kupambana na mtu mmoja -Lema! Lakini wasilotambua ni kwamba Lema ni 'symbol' (alama) ya watanzania walio wengi, waliochoshwa na utawala mbovu.

Kumgusa Lema ni kugusa maelfu ya vijana wengi Arusha wanaobangaiza maisha. Siku wakiingia barabarani hakuna cha Zuberi au bosi wake na Zuberi. Nahofia nchi inaelekea huko. wakulaumiwa nani?
Hakika uliyoyasema ni kweli.....
 
Tupo pamoja wanaARUSHA mapambano muda wote,dhuruma hii inayofanywa na serikali legelege ya CMM Lazima tuishinde.
 
Hili ni wazo dogo sana lakini linaweza kuwa la kuanzia na laweza kuzaa matunda. Juzi DSM walisema wanaandamana lakini 'wabia wa Al-Shaabab' wakawazuia na nadhani kama ikianzanza Arusha hiyo kesho na Mwanza, Mbeya, Iringa wakasupport pia na Dar es Salaam(wengi hawaoni umuhimu) nao wakaitikia, inaweza kuzindua uhai wa nchi inayoonekana kuzimia!

Uwezi kuleta mabadiliko ukiwa nyuma ya keyboard na fc, jf nk. Inabidi vitendo viwepo na hivyo ni mojawapo!
Duh Hatari kubwa kwahiyo kesho nitoke na kile kiNoah changu kazi kweli kweli.
Watakao pata hadhaa ya usafiri ni walalahoi wakubwa watapeta na miVX yao kama kawaida nadhani hili zoezi la kuandaa migomo lingeangalia nani mwathirika mkuu.

Hongereni ujumbe umefika.
 
Ni AIBU tena AIBU KUBWA Viongozi wetu hawatambui kuwa ili nchi iendelee inahitaji utulivu wa hali ya juu hasa kisiasa. Badala ya kuhimiza utulivu, wao wanaongoza kumchokoza mchaguliwa wa wananchi walio wengi tena wanaojua wanachokitaka.

Wanategemea nini hapo!!? KAMA NI KWELI sipati picha wananchi watabebwa na mbeleko gani ili watulize mzuka.
 
KiNoah kina nafasi kama watu sita mpaka nane kwa shida sijui nitaruhusiwa kutoa msaada kwa walalahoi watakao wanawahi vibaruani.Unajua mgomo wa daladala kidogo nivunjiwe kioo kisa nilikuwa nasaidia wananchi waliokuwa wakiteseka kwa kukosa usafiri.

Mkuu juzi daladala ziligoma watu waliteseka lakini jaama walikomaa mpaka haki ikatendeka...kuna wakati inabidi uteseke ili ufaidi baadae...hata wewe wakati unanunua hicho kinoah chako lazima kwa njia moja ama nyingi uliteseka yaani kuna vitu ulikuwa una vikosa kwa sababu ulikuwa na lengo la kununua Noah lakini leo unafaidi.....
 
KiNoah kina nafasi kama watu sita mpaka nane kwa shida sijui nitaruhusiwa kutoa msaada kwa walalahoi watakao wanawahi vibaruani.Unajua mgomo wa daladala kidogo nivunjiwe kioo kisa nilikuwa nasaidia wananchi waliokuwa wakiteseka kwa kukosa usafiri.
kama una kipenda usifanye hiyo huduma.....
 
Ilikuonyesha kumuunga mkono kamanda Godbless Lema, madereva wa daladala na Toyo kesho wataanza mgomo hapa Arusha....

Nawasilisha

Mkubwa! Ktk pitapita ya hapa town nakwambia mambo ya kesho itakuwa fundisho kwa serikali legelege kama hii. Maana washikaji karibu kila corner niliyopita hakika wote wamechafukwa na MIOYO na wameapa hata mauti iwakute kwani hawajali hata kidogo na wengine wanasema.

"NAWANUKUU" kheri tufe kwa sababu ya nchi ye2 lakini hawa magamba tutajibizana nao mpaka tone ya mwisho" na kwa kweli kwa hali ile aliyokuwa wanasema hakika wana uchungu wa ukweli kweli kweli!! Nami ningetamani ianze muda huu.
 
Vyombo husika vya kiserekali vizikilize ushauri huu. Kajadilianeni na Lema sasa hivi , muelewane naye atoke kule aliko ili kuvunja NGUVU amabayo mkifanya mzaha kidogo Mtamkabidhi mikononi, jmabo ambalo mtalijutia kwa muda mrefu ujao. MSICHEZE NA NGUVU YA UTU ANAYOILALAMIKIA KWENYE WARAKA WAKE ... UTU NDIO CHIMBUKO LA TAIFA HILI ... NI MEBGU YA KUMWAGILIA MAJI KIDOGO NA ITAFUMUKA KWA NGUVU KUBWA.

Kwa kuwa hamko kwenye nafasi ya kusikilizana nyie wenyewe ni kweli PIA hmna nafasi ya kusikiliza kinachoshauriwa hapa. HIVYO tarajieni kile ambacho hamtatamani kukiona , kile ambacho BURE kabisa Mtampatia kama USHINDI kwenye kisahani cha ALMASI Mheshimiwa Lema. NARUDIA Tena ... Kama hamtaki kumpa Lema ushindi wa BURE kabisa ..MFUNGULIENI SASA HIVI ...!!

Lakini Nyie wabishiiiiii!!! Kwahiyo ...Subirini kimchezo mchezo nchi nzima ijipange ... Hamjaona kitu kama hiki ..karibuni .... Lema ameweka mitego yake in a purely PSYCHOLOGICAL WAR FAIR ...!!! You will poorly react and you will terribly going to loooseee!!

Wana JF,

Mwajua me nilidhani a Time Boom will take the ages kulipuka sasa naona kumbe muda wake umefika hata huko 2013 sidhani kama tutafika kwa hali hii ya police kufanya vitu makusudi.
 
preta zoezi la kutembea lianze kesho! leo panda gari! mimi zoezi nalianza leo kutoka home kwenda baa
Mkuu fanya msaada mdogo sana...toa copy za walaka wa Lema uende nao bar angalau copy 10....asante
 
Wana JF,

Mwajua me nilidhani a Time Boom will take the ages kulipuka sasa naona kumbe muda wake umefika hata huko 2013 sidhani kama tutafika kwa hali hii ya police kufanya vitu makusudi.
Mzaha mzaha.....kama watu wa daldala wakigoma kama walivyopanga na wanachi kuna hatari ya kuandamana na sisi kuungana nao na hapo ndiyo watajua mbichi na mbivu...........
 
Peoplesssssssssssssssssssssss Poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nitafarijika sana siku ya kesho, hata kama nitatembea kwa miguu kutwa nzima.
Na waajiri wenye vimbele mbele kesho wafyate mkia
 
Mkubwa! Ktk pitapita ya hapa town nakwambia mambo ya kesho itakuwa fundisho kwa serikali legelege kama hii. Maana washikaji karibu kila corner niliyopita hakika wote wamechafukwa na MIOYO na wameapa hata mauti iwakute kwani hawajali hata kidogo na wengine wanasema,"NAWANUKUU" kheri tufe kwa sababu ya nchi ye2 lakini hawa magamba tutajibizana nao mpaka tone ya mwisho" na kwa kweli kwa hali ile aliyokuwa wanasema hakika wana uchungu wa ukweli kweli kweli!! Nami ningetamani ianze muda huu.
Naona makeke yamesha anza sipati picha..hiyo kesho
 
Duh kumbe wewe ndiyo unahamashisha mgomo haya bana kesho nina ratiba ndefu ya kumpeleka wife Tengeru halafu nirejee Elerai kazi kweli kweli afadhali umenijuza ngoja nitenge fedha za kiwese nisizimalizie kwenye Gordons.

Mkuu fanya msaada mdogo sana...toa copy za walaka wa Lema uende nao bar angalau copy 10....asante
 
Mkuu heading na post zimenichanganya let be specific brother!
kama vipi tuingie barabarani haraka! OCD wa Arusha ni Kunyanzi la kutupwa, anafanya kazi ya Mukama! k.ma la mamake!
habari ndiyo hiyo kesho Arusha patachimbika....
 
30 Reactions
Reply
Back
Top Bottom