Arusha: Mgombea udiwani wa CHADEMA aliyepigwa arejea kwa kishindo

mnyinda

JF-Expert Member
Sep 25, 2012
277
64
Mgombea udiwani kata ya Darajambili aliyeshambuliwa na kulazwa hospitali amerejea tena kwa kishindo nakuendelea na kampeni zake katka vitongoji mbalimbali mpaka kieleweke..
 
[h=5]Nzi na nyuki hufa kwa kulazimisha kupenya kwenye kioo , ndivyo watakavyoangamia wasomi, wafanyakazi na wakulima wanaolazimisha kutimiza ndoto zao kupitia CCM, sasa tuko kwenye kampeni maalum dhidi ya ccm 2015, waliingia kwa mbinu watatoka kwa mbinu watenda hutendwa, tuisaport CHADEMA, Tanzania bila ccm Inawezekana! Tuma ujumbe huu kwa waliochoshwa na ccm hasa wakulima, walimu, NMB,TRL, Wazee Wa EAC na Wanafunzi Vyuoni.MUNGU ibariki CHADEMA DAIMA_xx2[/h]
 
Mungu siku zote huwa upande wa haki,msofe karibu katika mapambano na ushindi ni lazima.Watanzania tuamke tumshinde dharimu magamba
 
jibu nililopaswa kukupa nikiliandika hapa lazima nile ban ngoja nijifanye sijayasoma uliyoyaandika..

hata mm nimejizuia sana nilishaandika lakini kabla ya ku submit nikaamua kuacha! ila huyu jamaa ni disappointment na digrace kwa JF!!
 
Hajakoma bado sasa hivi ndo watambaka kabisa
MIMI nadhani mambo yako hayajakaa sawa na ndio maana wewe na chama chako mnadhani hivyo mtawakatisha watu tamaa!!! tumedhamiria haturudi nyuma hadi kieleweke. taratibu utajua kuwa cha chenu kimechokwa.VIVA CHADEMA!!!!
 
Si walidhani wamemwua Ulimboka? Kama Mungu hajatoa hiyo roho hayupo anaeweza kutitoa. Ipo siku tutajifunza na haiko mbali kabisa. Hii nchi imetawaliwa na wajinga watupu na polisi ni zaidi yao kwani hawajui wako wapi! Ni miaka miwili tu imebaki. Tutachinjana, tutateketezana kwa matanuu, tutauana, lakini uhuru utapatikana.
 
Back
Top Bottom