Arusha kupandisha Bendera yake?

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,975
9,566
Manyanyaso yanayofanywa na serikali ya ccm dhidi ya watu wa kanda ya kaskazini hususan Arusha yanafanya watu wafikirie kupandisha bendera yao.
Vile vile kitendo cha serikali kukaa kimya kuhusu kutatua migogoro ya Arusha, kutopinga kauli ya umoja wa vijana uvccm kwamba rais wa tanzania hatatoka kanda ya kaskazini kamwe tena mbele ya mtoto wa rais ni dharau kubwa sana kwa watu wa kanda ya kaskazini.
Matumizi ya mabavu rather that diplomatic table, hasa kwa kutumia jeshi la polisi kwa kuwapiga watu wetu inaonyesha dharau kubwa sana kwa kanda ya kaskazini hasa kwenye maeneo ambayo yameonyesha mwamko mkubwa kisiasa.

Kanda ya kaskazini na magharibi, yaani Mkoa wa Mwanza, Shinyanga, Arusha, Kilimanjaro, Mara, Manyara zikiungana zinaweza kujiendesha bila kutegemea msaada kutoka sehemu nyingine.
Mikoa hii ina rasilimali za kutosha, hivyo wakimchagua kiongozi (siyo aliyechaguliwa na nec) bora wanaweza kuwasaidia wananchi kwenye suala la maendeleo.
Imetosha kunyanyaswa na serikali ya ccm.

nawakilisha.
 
Pasipo kujalisha itikadi yangu, hakuna kitu nitakipinga na kukitetea kama Tanganyika yangu....Bora Tanzania ipotee lakini Tanganyika ibakie

Naomba tusifike huko pa kugawanyika na Mungu atusaidie yeyote mwenye kutaka kugawa (ama yeye kuwa sababu au kufanya hivyo as a responce) malengo hayo yakapotee

Tanganyika nchi yangu nakupenda na udumu kama ulivyo bila kugawanyika na Watu wote tupiganie hili maana ndiyo fahari yetu
 
Manyanyaso yanayofanywa na serikali ya ccm dhidi ya watu wa kanda ya kaskazini hususan Arusha yanafanya watu wafikirie kupandisha bendera yao.
Vile vile kitendo cha serikali kukaa kimya kuhusu kutatua migogoro ya Arusha, kutopinga kauli ya umoja wa vijana uvccm kwamba rais wa tanzania hatatoka kanda ya kaskazini kamwe tena mbele ya mtoto wa rais ni dharau kubwa sana kwa watu wa kanda ya kaskazini.
Matumizi ya mabavu rather that diplomatic table, hasa kwa kutumia jeshi la polisi kwa kuwapiga watu wetu inaonyesha dharau kubwa sana kwa kanda ya kaskazini hasa kwenye maeneo ambayo yameonyesha mwamko mkubwa kisiasa.

Kanda ya kaskazini na magharibi, yaani Mkoa wa Mwanza, Shinyanga, Arusha, Kilimanjaro, Mara, Manyara zikiungana zinaweza kujiendesha bila kutegemea msaada kutoka sehemu nyingine.
Mikoa hii ina rasilimali za kutosha, hivyo wakimchagua kiongozi (siyo aliyechaguliwa na nec) bora wanaweza kuwasaidia wananchi kwenye suala la maendeleo.
Imetosha kunyanyaswa na serikali ya ccm.

nawakilisha.

Uraisi apewe Shibuda halafu hiyo nchi iitwe ZE KOMEDY
 
Akili zingine ukwaju kweli sijui umepata wapi mamlaka ya kuwasemea watanzania...

Kama mnataka kujitenga ni nyie Wachagga sisi watanzania bado ni wamoja..

Mnatataka kuleta fujo nchini na mvunje amani
 
Wachaga wakitaka kitu basi watatumia njia yeyote wakipate. Hii ndio hulka yao. Wale wa kwetu huku usukumani ni maboya tu.
 
Upeo na maono yako hayafikirii vizazi vijavyo bali u comedy. Hii ni hatari sana, endapo JK hatatoa kauli juu ya mustakabali wa nchi yetu ilipofikia sasa ni dhahiri kila mtu atafanya anachokijua. Rais ni kama refa, endapo refa yupo kimya na rafu ni nyingi nina mashaka na mpambano huo kama utaisha salama.
Kwa mantinki hiyo, nina mashaka kama Kikwete ataliza salama ngwe yake hii ya pili.
 
Wachaga wakitaka kitu basi watatumia njia yeyote wakipate. Hii ndio hulka yao. Wale wa kwetu huku usukumani ni maboya tu.

Wanataka kujitenga na mali zetu tulizowekeza Arusha na Kilimanjaro tumuachie nani? Mimi binafsi miradi yangu huko pamoja na hotel
 
Akili zingine ukwaju kweli sijui umepata wapi mamlaka ya kuwasemea watanzania...

Kama mnataka kujitenga ni nyie Wachagga sisi watanzania bado ni wamoja..

Mnatataka kuleta fujo nchini na mvunje amani
Mimi siungi mkono hoja ya kujitenga bli ninachotaka ni serikali kushughulikia malalamiko ya wananchi bila kujali itakadi zao.
 
Kama mbwai bwai bwana... Tumechoka na neno Aman wakati wao wanapeta. Kama noma na iwe no
 
Chadema bana yaani Lema kukataa dhamana ndio mnaamua kujitenga? Ha! Ha! Ha! Ha!
 
Manyanyaso yanayofanywa na serikali ya ccm dhidi ya watu wa kanda ya kaskazini hususan Arusha yanafanya watu wafikirie kupandisha bendera yao.
Vile vile kitendo cha serikali kukaa kimya kuhusu kutatua migogoro ya Arusha, kutopinga kauli ya umoja wa vijana uvccm kwamba rais wa tanzania hatatoka kanda ya kaskazini kamwe tena mbele ya mtoto wa rais ni dharau kubwa sana kwa watu wa kanda ya kaskazini.
Matumizi ya mabavu rather that diplomatic table, hasa kwa kutumia jeshi la polisi kwa kuwapiga watu wetu inaonyesha dharau kubwa sana kwa kanda ya kaskazini hasa kwenye maeneo ambayo yameonyesha mwamko mkubwa kisiasa.

Kanda ya kaskazini na magharibi, yaani Mkoa wa Mwanza, Shinyanga, Arusha, Kilimanjaro, Mara, Manyara zikiungana zinaweza kujiendesha bila kutegemea msaada kutoka sehemu nyingine.
Mikoa hii ina rasilimali za kutosha, hivyo wakimchagua kiongozi (siyo aliyechaguliwa na nec) bora wanaweza kuwasaidia wananchi kwenye suala la maendeleo.
Imetosha kunyanyaswa na serikali ya ccm.

nawakilisha.

Si ungesema tu Wachagga na Wameru/wambulu unatamani wajitenge. Hao wasukuma umewaweka baada ya kujiona umejianika mno. Hii CDM kwa wenzangu na mie wasio wameru/wambulu au wachagga, wanatakiwa kukaa macho sana. Maana kila siku humu kuna mtu atacomment kuashiria kana kwamba hiki chama ni kwa ajili ya watu wa eneo flani tu... wengine wasindikizaji... Tutazidi kulijua hili kadri siku zinavyoenda.
 
Utalambwa wewe!
Unamali zako arusha ungekua unaganga kunya hapa?
Wakina mallya tumbo hawasemi wewe unajifanya unamali?
Utalambwa!

Angalia Wachagga walivyo kwa hiyo Arusha nzima ni ya Mallya Tumbo?
 
mbona kanda ya ziwa unaisahau kagera?kaka ukombozi utapatikana bila kujitenga,.tukianza kujitenga kikanda ndugu zetu wa kusini wataumia zaidi.
 
Wanataka kujitenga na mali zetu tulizowekeza Arusha na Kilimanjaro tumuachie nani? Mimi binafsi miradi yangu huko pamoja na hotel

Ni kweli wewe na baba yako J.K mmetuibia sana watanzania... kule ngorongoro mnamiliki hoteli
 
Back
Top Bottom