Arusha: Kituo cha mabasi ni mali ya chama

Cha kushangaza nini? kama kituo kikubwa cha Ubungo kilimilikiwa na Kingunge and family cha Arusha ni nini kipya?
 
Mbona kunatofauti yanapopaki magari ya mtei na Stand kuu,ila standa ya Arusha ni mbovu mbovu kupita malezo.
 
Viwanja vya michezo vya watanzania vilivyoporwa na ccmagamba ni: kambarage shy, alhasan mwiny tbr, kirumba mwanza, karume ar, mkwakwani tanga, umoja mtwara, ilulu lindi, majimaji songea, sokoine mby, na vingine ambavyo sio maarufu na walitaka kuuchukua uwanja wa taifa(uwanja mpya) ila ilishindika kwa sababu umejengwa juzijuzi ila ungejengwa miaka ya 90 ungekuwa wao. Hivyo ni viwanja tu sijataja open spaces, masoko katika kila mji tz walivyopora.
 
Wanajamvi, stendi inayozungumziwa hapa ni yadi ya kulaza magari kule maeneo ya Kilombero Sokoni, sio stendi ya mabasi yote. Kwa wakazi wa Dar ni kama vile KAMATA yard iliyokuwa ya Scandnavia, sasa Kampuni ya Mabasi ya Metro ndo waliokodishiwa.
Hata hivyo, CCM Arusha wamehodhi maeneo mengi ya wazi kama pale Fire, Soko la Kaloleni na Soweto. Wamevuruga kabisa sura ya Arusha mjini. Nadhani ni wakati mwafaka kubomoa vibanda vyote walivyojimilikisha.
Ndo maana CCM wakacheza rafu uchaguzi wa Meya Arusha.
 
Unataka kuniambia ccm ni kirusi hatari zaidi ya ukimwi, TB, Malaria, Kansa na vinginevyo vilivyo hatari? Ndani ya Tz?

Bila kigugumizi yeyote nasema ndiyo! Kwa sababu kirusi/virusi vya magonjwa uliyoyataja humshambulia mtu mmoja mmoja tena kwa timing. Ccm lakini ccm kinaangamiza taifa nzima tena bila timing!
 
Mtajiju!!! Utawajua tu kazi kubeza kila kitu hata kama ni kizuri. Nyie mnaolipwa na Mbowe kuja kuiponda CCM hamna sera. Endeleeni na kazi yenu mwona kama inalipa!!!

nani katumwa? Huu ni wizi, time will tell
 
je, ni sahihi kwa ccm kumiliki potential areas kama vituo vya mabasi, viwanja vya mpira, maeneo ya wazi, NHC na kule kijiji zaidi ekari 100 ni mali ya ccm. Ndo maana taifa limefilisika.
 
Back
Top Bottom