Arusha hata akisimama mwanaasha kwa kofia ya chadema atashinda

massai

JF-Expert Member
May 2, 2011
653
137
kwa jinsi watanzania hasa wananchi wa Arusha walivyoikinai serekali legelege iliyopo madarakani hapa hata aje mtu kilaza kiasi gani atapata ubunge ,sharti moja tu asimame kwa kiti cha CHADEMA,wewe weka hata mdogo wetu mwanaasha watu watampa kwa kura za ajabu.nimekua Arusha kikazi kwa muda tofauti alakini kila ninae kutana nae anakwambia magamba ni mufilisi na haina nafasi tena.kweli magamba kazi wanayo Arusha.
 
Back
Top Bottom