Arusha Arumeru Mashariki Sio Shwari

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Hapa Arusha maeneo ya Shangarai ukishapita daraja la mto Nduruma sio shwari, ni kwamba Wameru wamefunga barabara ya Moshi Arusha kwa kupanga mawe na askari wameshamwagwa, kwataarifa ni kwamba wananchi wa maeneo ya hapa Arumeru mashariki wanadai mashamba yao. Kwa taarifa zaidi naendelea kufuatilia.
 
Back
Top Bottom