Arumeru yametimia; CCM Kuchukua jimbo kiulainiiii kama Igunga

Kampeni za lala salama Arumeru zimeshika kasi, huku chama kubwa CCM kikifanya kampeni zake kisayansi zaidi na kupalilia ushindi wake ambao tayar unaonekana dhahiri katika jimbo la Arumeru. Chama cha Chadema kimeendelea kupoteza mvuto kadri siku zinavyosogea kuelekea siku ya tukio ya kugawanyika rasmi Chadema tarehe 1/04/2012.

Zigo zito la kugombania urais wa 2015 katika chama chadema zimefanya timu ya kampeni ya kushindwa kukamilisha mpango wao wa kutetea mtaji wa kura walizopata mwaka 2010 ambazo nazo zimeonekana zitachukuliwa na Chama kubwa CCM. Sintofahamu kubwa imekuja baada upande mmoja unaotaka uraisi kukatiliwa kushiriki ufungaji wa kampeni wa chama hicho siku ya mwisho wa kampeni na kufanya wafuasi wake kuanza kususia na kuhujumu harakati za kampeni za chama hicho

Tayari makada wakuu wa chama wanaendelea kuripoti na kupokelewa kwa hamasa kubwa hapa arumeru kwa ajili ya kufanikisha sherehe kubwa kuliko zote kufanyika katika kanda ya kazikazini ya kufunga kampeni za CCM na kuzindua shamrashamra za kumtangaza rasmi Sioi Sumari kama mbunge mpya wa Arumeru

Mr emmy kajiunga na JF tarehe 13/3/2012 na katika muda huo ameweza kuanzisha posts tano (5) nazo ni hizi;

1. 20/3/2012 CCM tuna aslimia 92.8% ya ushindi Arumeru east ni ni zaidi ya ushindi
2. 20/3/2012 CCM & TLP zinaendelea kung'ara chadema hoi bin taabani Arumeru East
3. 21/3/2012 Updates kampeni za uchaguzi Arumeru East CCM v/s Chadema
4. 26/3/2012 Siyoi Sumari afunika USA River, Chadema wapoteza dira kuwaza Uraisi wa Zito Kabwe 2015
5. 28/3/2012 Arumeru yametimia; CCM Kuchukua jimbo kiulaini kama Igunga

Do I need to add anything here? Well, I guess not. Hata hivyo hawa ndio think-tanks waliobaki CCM bila kuwasahau Mkapa, Wasira, Lusinde, Mwigulu na... nani vile, aah Nape and the list goes on! Katika kuwatambua hao wengine angalia tu waliompa likes, ni viumbe 6 ingawa yeye mwenyewe hajatoa hata moja!
 
Back
Top Bottom