isije ikawa inahusiana na uchaguzi na mambo ya usaliti.
Jamani, watu 5 wauwawe bila kujulikana chanzohata tetesi!? Nnamashaka sana
We ni mvivu wa kufikiri.Huo unyama utakuwa umefanywa na wawekezaji/magamba. R.I.P
Hivi hizo CNN unazozisema ni zipi au tukuwekee na Video zake kabisa uone.Wewe huwezi kuona madhara yake kwa sababu ubongo wako haujazi hata kifuniko cha bia. Na ungekuwa unayajua hata kwa uchache usingezi-upload. Kweli technologia kwenye mikono ya mjinga ni sawa na sumu. Umekimbilia kuziweka ukifikiria utasifiwa na kuambiwa umetenda jambo la maana. Kwenye websites za wenye akili kama cnn na bbc ulishaona ujinga unaoutetea wewe? Unafikiria wao hawana kamera za kupiga picha au hawana ujuzi wa kuziweka?
Haziwekwi hadharani kama yule .... wako alivyoweka wewe ...... Kunakuwa na maonyoHivi hizo CNN unazozisema ni zipi au tukuwekee na Video zake kabisa uone.
Hivi hizo CNN unazozisema ni zipi au tukuwekee na Video zake kabisa uone.
speechless!!!
sorry, off topic
mungi hii signature yako imeniacha hoi!
"rais wangu anavyopenda kuwazika wenzake! Yupo tayari awazike wananchi wote abaki yeye mwenyewe"
Tunaomba uongozi wa jamii forum upige vita kwa nguvu zote huu ujinga wa watu wachache kupiga picha za marehemu na kuzi-upload kwenye hii forum. Huku ni kukiuka haki za binadamu na lazima wote tunalaani vikali wapumbavu wachache wenye ujinga huu. Hizi tabia za namna hii madhara yake yanakwenda mbali na ni ya muda mrefu.
Wewe huwezi kuona madhara yake kwa sababu ubongo wako haujazi hata kifuniko cha bia. Na ungekuwa unayajua hata kwa uchache usingezi-upload. Kweli technologia kwenye mikono ya mjinga ni sawa na sumu. Umekimbilia kuziweka ukifikiria utasifiwa na kuambiwa umetenda jambo la maana. Kwenye websites za wenye akili kama cnn na bbc ulishaona ujinga unaoutetea wewe? Unafikiria wao hawana kamera za kupiga picha au hawana ujuzi wa kuziweka?
Mkuu nadhani huwa wanaweka na onyo kwa wasomaji kuwa picha/video fulani ina graphic contents hivyo uchaguzi unakuwa wa msomaji. Kuweka open kama ilivyokuwa ilivyoweka hapa haikubaliki na moja kati ya maadili ya uandishi. Tusiingilie mambo kichwa kichwa.
Mkuu nadhani huwa wanaweka na onyo kwa wasomaji kuwa picha/video fulani ina graphic contents hivyo uchaguzi unakuwa wa msomaji. Kuweka open kama ilivyokuwa ilivyoweka hapa haikubaliki na moja kati ya maadili ya uandishi. Tusiingilie mambo kichwa kichwa.