Arumeru - Watoto wachachamaa, wazee wabaki midomo wazi!

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
13,056
22,755
attachment.php



Duh, hii kali
 

Attachments

  • arumeru3.jpg
    arumeru3.jpg
    111.5 KB · Views: 612
Dalili mbaya saaana kwa kijani na njano,hadi watoto wadogo wamewachoka,duh
 
hii iko very deep. juzi niliku kwa brother wangu, katoto kake wala hakajaweza kuongea vizuri
ila ukikaonesha ishara ya dole (dole gumba ya CCM) kenyewe kanakuonesha ishara CHADEMA.
 
Vijana wa shule za kata wataipa nidhamu ccm 2015, wahamasishwe kujiandikisha na kupiga kura
 
Back
Top Bottom