Arumeru: Wanaohujumu Kampeni kufukuzwa

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,651
2,627
Kutokana na kauli zao kuingilia ktk kampeni na kauli zao tata,taarifa za awali zinasema 'drakatumba' hao wanaweza wakaondolewa kwa kile kinachohisiwa kuwa wana nia mbaya na mgombea Sioi sumari wa ccm.Mtu wa karibu na Bw lowassa amenijulisha kuwa mkwe ameshashtukia agenda ya hujuma dhidi ya mgombea wake na alichokifanya sasa ni kutuma wapelelezi na kutafuta jinsi ya kukishauri chama kuwaondoa wapiga tumba hao.Rejea kauli ya lusinde 'MPENI SIOI KURA AWEZE KUPATA FEDHA ZA KUHUDUMIA FAMILIA YA MAREHEMU BABA YAKE'mwisho wa kunukulu.
 
Mimi nilishangaa hii kauli ya kilaza Lusinde.....si kauli ya mtu mwenye akili timamu,na ni tusi kwa wana Arumeru.
 
Hao wengine sijui, lakini uwepo wa Lusinde kwenye kampeni ni aibu na fedheha kwa CCM.
 
Msiwalaumu! Wanazungumza kilicho moyoni. Wako bungeni kwaajili ya mshiko, matatizo ya wananchi kwao sio kitu, ndo mana wanadai posho ziongezwe. Posho ndo ziliwapeleka mjengoni.
 
Wakiwaondoa hao CCM watamtuma nani tena? chama kile kimechafuka hakuna msafi! hao waliotumwa huko ndio hawana kashfa zinazoweza kuoneka kwa haraka!
 
tatizo letu wapinzani hatuna matawi ndio maana inakuwa vigumu vigumu kujua wapiga kura wetu.

Mkuu usiwe na haraka mtoto hukua taratibu, matawi yatapatikana tu! CCM walijijenga wakati ya chama kimoja, hawakuwa na mshindani, hilo lisikupe tabu.
 
tatizo letu wapinzani hatuna matawi ndio maana inakuwa vigumu vigumu kujua wapiga kura wetu.
Hii iko very specific kwa chama chenu cha Cuf na vingine vidogo vidogo. Chama kikuu cha upinzani kinakubalika kila kona na kimefungua matawi kibao Arumeru ndio maana akina Wasira wanatoka povu na kuanza siasa za majitaka badala ya kunadi sera. Hii inawatokea puani kwani wakati wowote wanatimuliwa na kukosa posho walizofuata Meru. Nyie cuf mngeenda kufanya nini Meru wakati ni BARA na WAKRISTO ni wengi? Ishu sio matawi ni strategy
 
Naomba waendelee na kampeni ili wawachukize wapiga kura.

Hata mimi nina mtazamo kama wako kamanda. Kadri wanavyoendelea kupandwa na mzuka wa kampeni na kutoa lugha zisizofaa dhidi ya chadema ndipo wanaiongezea kura kwakuwa wanajichimbia kaburi lao wenyewe.
 
Hata mimi nina mtazamo kama wako kamanda. Kadri wanavyoendelea kupandwa na mzuka wa kampeni na kutoa lugha zisizofaa dhidi ya chadema ndipo wanaiongezea kura kwakuwa wanajichimbia kaburi lao wenyewe.

Pamoja sana mkuu,
Ingependeza zaidi wakamwongeza na mzee wa mipasho Baba Mwanaasha, na Makamba.
 
Akili na mawazo yao saizi ni kwenye box la sanduku maana hali nasikia ni tete.

Yaani ccm wamechoka akili sasa kilichobaki ni kupiga Drakatumba tu.
Kitendo cha kumteka M/kiti wa tawi na kumnyang'anya daftari la kudumu la wapiga kura wa tawi lake halikuwa na mantiki yoyote zaidi ya kuchanganyikiwa.
CCM wapo ICU, wanachowaza sasahivi ni kuiba kura tu!
 
Wasira, Sendeka, Lusinde na Nkapa ndo wanaafadhali ndo mana wakaaminiwa tatizo kubwa Katapila walilihujumu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom