Arumeru..toeni tafsiri ya neno fujo

mchambuzixx

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
1,292
943
hivi najiuliza naskia kuna watu wamekamatwa kisa kuonyesha alama flan kwenye mkutano wa magamba.....cha kujiuliza hapa ni kama wewe unajua waliohudhuria wote ni wanachama wako au wapenzi unawaulizia nini watakaompigia kura flan waonyeshe mikono juuu..ni kwasababu wanaohudhuria mikutano ni wapenzi wa vyama vyote na ndo maana hata kwenye mikutano ya chadema huwa pia wanauliza na mwitiko hua mkubwa sasa hawa magamba kama nyie mna uhakika kuwa wote ni wanachama wenu kwanini mnauliza..wengine wakinyoosha alama ya v mnawakamata mbona kwa chadema huwa hawashikwi wanachama wa vyama vingine na wanakuwepo....sababu nii hii siku hizi ukiwa ccm ni aibu na nafsi yako inakusuta na ndo mana huwa wanajificha hata wakiulizwa kwenye mikutano ya chadema kwamba watakaompigia sioi waonyeshe mikono hakuna atakaejitokeza lakini magamba huwa wanauliza wakiona mikono ya v ni mingi tayari wanasingizia fujo jamani mkomae kisiasa mna miaka 50 lakini bado sana na tumeshagundua mbinu zenu mnauliza ili mkamate watu tumestuka tumeshawaambia wapenzi wetu watulie au wasiende kabisa kwenye mikutano yenu
 
Back
Top Bottom