Arumeru sio Korea, baba afariki mtoto arithi jimbo

Mungu yupi (yesu) au Allah?

Sina haja ya kukujibu coz CUF mmejitoa kwenye mpambano wa Arumeru mashariki na kuwapisha wanaume wapambane. Hakika hii michezo ya kiume mmeishindwa kabisa.
Mbwa koko akifyata mkia ni ishara ya kusarenda, huwa simrushii mawe mbwa aliyesalimu amri.
 
Unamchukia baba mkwe chuki unazihamishia kwa mkwe?!, well; tutaona, jimbo nila Siyoi Sumari na si mkwe wa mstaafu, chuki zenu hazifui dafu.

Huyu mgombea wa CCM atajuta kumsikiliza baba mkwe wake aliyemshauri kujaribu kuvaa viatu hivi.
Tulianza na Mungu, tutamaliza na mungu.
 
Ningependa kutumia haki yangu ya kikatiba kuwashauri wana arumeru wachague mgombea sahihi,hatutaki jimbo lenu liwe korea,eti baba afariki na mtoto arithi?

Tulianza na mungu,tutamaliza na mungu!
Aluta kontinyua!

Yametimia niliyopata kunena.
Namapambano yaendelee.
 
Back
Top Bottom