Arumeru msituangushe Watanzania wenzenu

dallazz

Senior Member
Aug 6, 2011
106
14
ni wakati wenu sasa wakazi wa arumeru kuiambia dunia kwamba "hatudanganyiki" (kupitia sanduku la kula), mmedanganywa kwa muda mrefu, sasa chukueni hatua.
 
Wanajua cha kufanya na wamekwishachukua uamuzi hata kabla CCM hawajaanza mchakato wa kutafuta mtu wa kugombea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom