Arumeru mashariki wanastahili kupongezwa-sabodo

KOMBAJR

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
5,827
1,271
Wananchi wa Arumeru Mashariki wamemkuna kada maarufu wa CCM kwa kitendo chao cha kuudhirishia ulimwengu kuwa siku zote nguvu ya umma haishindwi na wala utu wa mtu aununuliwi kwa pesa.
Katika kudhibitisha hilo sabodo amewapa CDM hili la visima 10 kwa wananchi wa Arumeru Mashariki ni zawadi kubwa kwao na wanastahili kwa kazi nzuri waliofanya.
Mytake: Madiwani wa CCM Arumeru mashariki hiyo ndiyo nguvu ya umma......maombi yenu yamegonga mwamba Nassari anasonga
 
Back
Top Bottom