Arumeru mashariki-juma la sera ndilo hili

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Hili ni juma la mwisho la kampeni za ubunge katika jimbo la Arumeru Mashariki.Baada ya majuma kadhaa ya majungu,makombora na uzushi wa kila aina,sasa umefika wakati wa sera.Vyama vyote vishiriki vijikite kwenye sera.Kila mmoja awaeleze wana-Meru namna atakavyozipunguza/kuziondoa shida zao za miaka 50 ya Uhuru,lini na kwanini.Hakuna nafasi ya kushambuliana binafsi.Tuepushe laana ya wana-Meru kuchagua mtu asiyewahi kutangaza sera zake na za chama chake.Vyama na wagombea na msikie...
 
hili ni juma la summary aliyekuwa anatukana a summarize na aliyekuwa ana mwaga sera za kutatua matatizo ya wananchi a summarize sera zake ili tumpe kura zetu!!ila ikumbukwe kuwa zaidi ya 95% wameshafanya maamuzi tunangoja tu siku ya kutumbukiza kwenye box na kulinda mana mchwa wengi wasije kuzitafuna kura kura zetu!!
 
Back
Top Bottom