Arumeru Mashariki hawaitaji sera wanaitaji porojo - Mwigulu

wakuu naomba muwe mnachukua japo video halafu hizo clip muwe mnatupia humu, maana huyu Mwigullu ni bingwa wa kukanusha....
 
...wamesoma mazingira labda na kugundua wanaArumeru wanapenda matusi, kashfa,majungu na wanajaa kuyasikiliza.

Mkuu hilo siyo kweli hiyo ni tabia za hao viongozi ambao wapo mstari wa mbele kwenye kampeni.
 
CCM hawana sera, kwani sera walizonazo hazina tofauti na zile walizokwisha tumia kwenye kampeni zote zilizopita.
Kilichobaki ni kutukana matusi kadiri shetani anavyowaongoza!
 
Wakuu salaam,

Leo CCM walikuwa katika viwanja vya Nkoanrua Primary, kwanza wameambulia takribani robo tu ya watu waliokuwepo siku chache zilizopita ktk mkutano wa CDM ambapo Dr. Slaa aliunguruma hapo! Pamoja na uchache huo nimeshangaa kuona watu wote uwanjani hapo wakinyoosha vidole viwili (alama ya chadema) baada ya kuona Helikopta ya chadema ikipita kuelekea maeneo ya jirani ktk kampeni!

Watu hao (ingawa ni wachache) inaonekana wamepatikana pia kwa shida kwani walikua wakisombwa na malori, Coaster na Hiace kadhaa ambazo zilikodishwa! Sijui aliyezilipa ni nani hasa! Ila jana pia nimeshangaa kuona Ole Sendeka na Lowasa maeneo ya Arumeru wameongozana japo kila mtu alikuwa kwenye gari lake!

Viwanja vimetawaliwa na matusi na kejeli yaliyotolewa na Mwigulu kuelekezwa kwa wananchi kwa kosa la kuzomea msafara wa CCM, maeneo mengi ambapo inaaminika ni kambi za CDM, CCM imeambulia kuzomewa huku wengine wakipiga ukunga wakisema wezi haoooooo! kila walipopita!

Nawasilisha!

Nkunya vipi awakugawa nakala za gazeti la Sauti Huru?ambalo lina mkono wa lowassa.
Sendeka ameshaingia kwenye payrol ya lowasa kwisha habari yake.
 
Jibu kama ni sifuri or we amount to something ni kesho. Umbumbu unakusumbua, sera tulishawaeleza 2010. Na walishachagua ilani ya CCM kuwa ndiyo itatekelezwa hatuji na ilani mpya. Wewe umechukua linalokuudhi kwa hali ilivyo jaza kurasa zote ila April mosi sioi bungen
 
kazi ya ccm kwisha arumeru tar. 1 april mtaona wenyewe tutakuwa na mkesha pale leganga maka kieweleke bana
 
Jibu kama ni sifuri or we amount to something ni kesho. Umbumbu unakusumbua, sera tulishawaeleza 2010. Na walishachagua ilani ya CCM kuwa ndiyo itatekelezwa hatuji na ilani mpya. Wewe umechukua linalokuudhi kwa hali ilivyo jaza kurasa zote ila April mosi sioi bungen
Too low! Kwa hiyo wewe na wenzio mumeamua kuwadharirisha wapiga kura wa Arumeru kwa mitusi yenu eti kwa kuwa sera zenu zisizotekelezeka mlizipeleka 2010?
 
Jibu kama ni sifuri or we amount to something ni kesho. Umbumbu unakusumbua, sera tulishawaeleza 2010. Na walishachagua ilani ya CCM kuwa ndiyo itatekelezwa hatuji na ilani mpya. Wewe umechukua linalokuudhi kwa hali ilivyo jaza kurasa zote ila April mosi sioi bungen

Kweli CCM hakuna viongozi. Sikutegemea Mwigulu ujibu shallow kama hivi.

Kwanza mtoa uzi katoa kashfa nzito za wewe kushindwa kutoa sera na badala yake kutukana.

Badala yake unasema eti asubiri Mosi April Sioi bungeni!!!! Kiukweli leo nilikiwa USA kwa shughuli zangu binafsi lakini nilifanya kautafiti kadogo na kugundua CCM haipendwi kweli na waliosita kunijibu watachagua CDM ni kwa sababu ya kuniogopa au kutoniamini kama siwapelelezi.

Kibaya na cha kweli ni kuwa Sioi siyo msemaji mzuri na hivyo hakubaliki. Labda itokee miujiza na wizi wa kiprofessional kama ilovyo ada yenu lakini Arumeru maji ya shingo hamtoki.
 
Huyu Mwigullu amewadharau sana watu wa MERU!!Hiyo sio kauli sahihi!!!
Maskini kamati Nidhamu hata haijui wapi pa kuanzia kuonya maana ni kama vile wanatakiwa waonywe viongozi wote wa Chama cha Mwigullu!
 
Jibu kama ni sifuri or we amount to something ni kesho. Umbumbu unakusumbua, sera tulishawaeleza 2010. Na walishachagua ilani ya CCM kuwa ndiyo itatekelezwa hatuji na ilani mpya. Wewe umechukua linalokuudhi kwa hali ilivyo jaza kurasa zote ila Apri mosi sioi bungen
Unauhakika gani kuwa Sioi atashinda? Maana kila siku mnaongea kwa kujihakiki? Maana Mmezoea kuiba kura.
 
Siyoi labda aingie bungeni kupitia viti maalum.
Wali wa kushiba unauona kwenye sahani mkuu, kwa hili CDM wamethibitishiwa na wananchi wa Arumeru.
Nassari huyoooooooo!! Njia nyeupe mjengoni!
Pole Nchemba. Kilichobaki kwako sasa nikuomba mbunge mwingine afe ili ujipenyeze penyeze kupata umeneja wa kampeni.
Jibu kama ni sifuri or we amount to something ni kesho. Umbumbu unakusumbua, sera tulishawaeleza 2010. Na walishachagua ilani ya CCM kuwa ndiyo itatekelezwa hatuji na ilani mpya. Wewe umechukua linalokuudhi kwa hali ilivyo jaza kurasa zote ila April mosi sioi bungen
 
Jibu kama ni sifuri or we amount to something ni kesho. Umbumbu unakusumbua, sera tulishawaeleza 2010. Na walishachagua ilani ya CCM kuwa ndiyo itatekelezwa hatuji na ilani mpya. Wewe umechukua linalokuudhi kwa hali ilivyo jaza kurasa zote ila April mosi sioi bungen

Sera gani mliwapa wanameru?wakati Marehemu alikuwa mgonjwa na akuweza kuzunguka maeneo mengi. Sasa kama mlishawapa sera mnazunguka kufanya nini?kwani wananchi awawajui?mbinu zako zote na vikundi vya maigizo siku zinahesabika.
 
Mbona hatukusikii tena au baada ya TOT kuondoka wewe ukaondoka bila kutuaga?

Mkuu bado wapo ila komba kwisheeni anatembelea mkongojo.sema wamekosa mvuto kwa wanameru laaba wawalete original na diamond ili watu waje kuangalia show
 
Utaona tar mosi kama walielewa au la. Reading from their faces wameelewa sana ndio maana inakuuma. CCM INASHINDA

sawa Mh tuseme mmeshinda je hii mbegu mnayoipanda kwa watanzania wa kizazi hiki ya porojo,kashifa nk je itatupeleka tutakapo kwenye tanzania ya wajenga hoja na washindani wa kweli?
 
Nipo nawazo moja,watanzania tuonyeshe kuchoka kwa vitendo,kama watu Monduli hua wanapikiwa wali kwa mbunge wao kila tare moja mwezi wa kwanza,ili kuonyesha mmechoka ukiletewa wali unapiga teke.
 
Back
Top Bottom