Arumeru Mashariki hawaitaji sera wanaitaji porojo - Mwigulu

Tatizo la watu wanaowaza kujazba na kuandika kwa jazba. Masikini hujaelewa. Sijatumia hizo models cos hazisaidii kweli hapa you are commenting outside the available options. It will not add even reduce anything for u being bitter. Blaa blaa utaziona mbivu zake au mbichi zake tar mosi. Pilipili ya shamba inakuwashia nini
Mbona unazungumzia sana ushindi wakati hakuna cha maana mgombea wenu anazungumza ukimlinganisha na vyama vingine ukiacha wewe, wassira, ben mkapa, maji marefu na lusinde kumsemea...unataka utuaminishe kuwa wana arumeru wanawanawachagua ninyi au mbunge wao? Au unataka utuaminidhe kuwa wanachagua hata matakataka? Hauoni hiyo ni dharau ya hali yajuu kwa wapiga kura wa huko? Asante kwa kuendelea kutuvumilia na maswali yetu ya jazba
 
Chakaza labda hufuatilii nimejibu sana hilo hata leo nimejibu. I say and re say hakuna kitu kama hicho na ilikuwa siasa tu.
 
Mwigulu hiyo first class yako ya economist umeapply wapi?kwenye kampeni au iramba?mbona unaonyesha kama ulisoma socilogy?

Mkuu elimu ni sawa na koti juu ya mwili ambao unao tangu ulipozaliwa haibadili tabia ya mtu alikokulia bali inampa tu fursa ya kuitwa fulani katika fani na ndo maana utasikia watu wanasema ni BSc holder au ana Phd na si kwamba mtu ni BSc aua mtu ni Phd. Matumizi ya elimu ndipo watu wanaanza kutofautiana bila kujali level ya degree uliyonayo na ndio maana Mchemba anaposema ni first class economist wote tunamshangaa haswa kutokana na tabia yake ilivyobaki ya kijiweni ya kuzini kule Igunga na kuongea ongea ovyo kwenye kampeni. Uwezo wake wa kua- analyse na kuuweka uchumi ktk reality ni mdogo ndo maana amekimbilia kufanya vitu rahisi kama kutumika kwenye kampeni na anapotaka kujidai na models ambazo obvious zinaonyesha amekariri notes.
 
Tatizo la watu wanaowaza kujazba na kuandika kwa jazba. Masikini hujaelewa. Sijatumia hizo models cos hazisaidii kweli hapa you are commenting outside the available options. It will not add even reduce anything for u being bitter. Blaa blaa utaziona mbivu zake au mbichi zake tar mosi. Pilipili ya shamba inakuwashia nini
What a model sisi arumeru hatuwezi kuelewa kaka, hapa umechemka sana, ina maana wewe ni msomi ambaye hawezi kutranslate kwa mtu wa kawaida kuelewa, so this meas kwamba the party has subjected itself in the so called "Basis risk" yaani wewe pamoja na madegree yako first class, lakini you can not use shule yako kumwelimisha mwananchi ila kuwafanya watu hawajui kila siku? am very upset with you, kama ni hivi bas you need to go honestly hebu itendee haki CCM, badala ya kusema sera wewe unaona watu wasikie kashfa na matusi ndiyo watakuelewa? what a country tunajenga hapa? may be first from the last!
 
Subirin tar 1 April tutajua aliyeishiwa sera. Mimi sina shaka na kama nimeishiwa na cdm wanataka kushinda ndio kweli wananishauri niondoke. Kilio cha nini kama CCM IMECHOKA? AM CONFIDENT CCM ITASHINDA

Mkuu unatisha, manaake CDM hawalali usingizi bila kulitaja jina lako. Aisee!
 
Utaona tar mosi kama walielewa au la. Reading from their faces wameelewa sana ndio maana inakuuma. CCM INASHINDA
Kuna tofauti kati ya kushinda na kutangazwa mshindi na NEC. Unasemaje kuhusu habari kuwa Mkapa katoa amri(haramu)kwa NEC kutangaza ushindi kwa CCM na kwamba CDM wacha waende mahakamani mambo yataishia huko kilaini?
 
Utaona tar mosi kama walielewa au la. Reading from their faces wameelewa sana ndio maana inakuuma. CCM INASHINDA

Wameelewa matusi na kashfa?labda mchakachue kama kawaida kama unaweza kuwaonga wachungaji kalenda za ccm na kuwanunulia chakula kuwa ndiyo itabadili matokeo imekula kwako.,,,ni mwendo wa kula ccm kulala cdm tu.
 
Chakaza labda hufuatilii nimejibu sana hilo hata leo nimejibu. I say and re say hakuna kitu kama hicho na ilikuwa siasa tu.

Mwigulu, uchaguzi wa Arumeri umewa-expose ccm vibaya sana. Sijui strategist wenu ni nani (kama yupo) lakini mbinu mlizotumia Arumeru zimewaacha na kidonda ndugu. Sio Mkapa wala Wassira au hata Ole Sendeka ametoka huko with thier intergrity intact! Kwa nini mliamua kuegemea siasa za maji taka when infact mnajua pandora box lenu limejaa uchafu wa miaka 50? Mtu kama wewe unapata wapi moral authority ya kuongelea ndoa? What do you know about ndoa Mwigulu? And don't tell me umeoa becuase that will make matters worse!

Si elimu, sio barabara, sio afya na sasa hata ardhi hakuna huko Arumeru. Leo hii mnakwenda kwenye campaign chama kilichokaa madarakani kwa miaka 50 badala ya kuwaambia watu Arumeru mmekuja na mipango gani (kwa dhati) mnawahutubia matusi? Kama sio kuwadharau na kuwatukana watu Arumeru ni nini? Inawezekana wewe na team yako mnachukulia hili kama 'siasa' = mchezo, lakini sio haki hata kidogo kuwa-subject wazee, watoto, na vijana wa Arumeru kwenye huu mlolongo wa matusi.

Baada ya tarehe 1 April mtaondoka huko Meru, sasa niambie nyuma mmeacha nini? Kushinda kwa halali hilo halipo, labda NEC waingilie kati. Lakini hata kama mtapata lift ya NEC, where do Arumeru blunders leave CCM?

Ujue jinsi mmefilisika hata kanisa katoliki this time walikiwa your target. Mnaweza kumuomba msamaha Pengo au Ruwaichi but how about waumini? Ukweli ccm Arumeru mmechefua watu na nimebaki najiuliza hivi CCM ingekuwa na viongozi wa aina yenu Mwigulu hiki chama kingeshiri kweli harakati za ukombozi wa Afrika? Nataja hili ujue how low CCM has got! Low beyond words!
 
Sijawahi kuwapa wachungaji kalenda za CCM. HABARI YA MATOKEO AMA KULA KWANGU TUTAJUA TAR MOSI

Sasa wewe jamaa mbona unavomaneno vya taarabi kwenye vitu serious? mara pilipili yakuwashia nn!! We vp jibu hoja kwa ufasahana ukishindwa kubali ccm hamna lenu, mnafikiri mtakuwa madarakani milele??! Kimbia huko uje kwa wananchi kabla hujafika wakati wa kukimbila uhamishoni KENYA na familia yako! Nakwambia hata ucku ukiwa mrefu vp kutakucha tuu !
 
Mimi first class economist nikishusha mambo ya growth models na inflation targeting siku inayofuata sipati watu mkutanoni.

First Class economist, how come umeshindwa kuisadia serikali ya chama chako ituondolee hii fedheha ya umatonya? Bakuli hadi kwenye nchi waliopta uhuru kipindi kimoja na sisi? You even had the guts to mention 'growth models & inflation target'. Povery growth models maybe becuase that's excatly what's happening.

36% and counting are living below the poverty line. Mwigulu more than 1/3 ya watanzania wanabahatisha kupata hata mlo mmoja kwa siku! Una maelezo gani? Ni lini hawa watu watapata mlo mara tatu kwa siku kama ambavyo wakubwa wachache wanapata? growth models!


Kuna ugonjwa mbaya sana huko ccm wa watu kuthamini vyeti badala ya kutenda! Hebu tueleze serikali ya chama chako ina-target infaltion rate gani maana kwa sasa tuna double digits?

Watu wanapochukizwa na siasa za ccm ni kwa sababu ya majigambo kama haya ya kuwa na vyeti lakini hakuna results. Rwanda inapiga hatua licha ya kukumbwa na vita, hapa Tanzania ccm mna majibu gani? Kwa nini watu wanalala kwenye mbavu za mbwa?

Leo kwenye taarifa habari Napa anaelezea ujio wa wafanyabiashara maarufu toka chama cha ANC? Wanakuja Tanzania kwa ajili ya uwekezaji! Hivi Mwigulu ni lini serikali ya ccm itaondokana na hii dhana potofu ya ku-import solution? Tanzania hakuna wawekezaji? Kama hawapo kwa nini maana kwa miaka 50 kama hakuna watu wanaweza kufanya la maana basi ccm hawafai. Hapo Meru kwenyewe mnakodishia mwekezaji eka moja shs 6,000. Hakuna mtanzanai anaweza kulipa hiyo 6,000? Agrasal watalipa shs 200 kwa eka! Since wewe ni first class economist unaweza kueleza hali ya 'uwekezaji na capital outflaw? Na mnafanya nini wakati 'wawekezaji wanahamisha capital?
 
Subirin tar 1 April tutajua aliyeishiwa sera. Mimi sina shaka na kama nimeishiwa na cdm wanataka kushinda ndio kweli wananishauri niondoke. Kilio cha nini kama CCM IMECHOKA? AM CONFIDENT CCM ITASHINDA

Kwa kuiba kama kawa mtashinda, ila TZ inabadilika haitoendelea kuwa kama zamani mwisho wa wizi unakaribia.
 
MWIGULU,
Hebu jibu NDIO au HAPANA na kwa ASILIMIA NGAPI..
Una ridhika na utendaji na serekali ya ccm?
 
..napenda v'ongozi wa namna yako mwigulu, unajiamini, safi kabisa lakn siasa za ng'o na mfuga mbwa haziwasaidii watu wa arumeru...kwa hilo kweli CCM taabani.
 
Back
Top Bottom