Arumeru Mashariki hawaitaji sera wanaitaji porojo - Mwigulu

Subirin tar 1 April tutajua aliyeishiwa sera. Mimi sina shaka na kama nimeishiwa na cdm wanataka kushinda ndio kweli wananishauri niondoke. Kilio cha nini kama CCM IMECHOKA? AM CONFIDENT CCM ITASHINDA

kifo cha baba wa taifa vipi?
Jina unalotumia ni lako?
Ardhi ya wameru mtaweza irudisha kama migodi mmeshindwa?
 
ndo sera za chama mnazotaka wawachague hizo.............kuwa na viongozi kama hawa ni kuliongezea taifa mzigo
Ngoja nimkumbushe kidogo kampeni za mpesya benson za mwaka 2010,jimbo la mbeya mjini,....
alisema;
1}akiwa mwalimu alimfukuza sugu kwa kuwa mvuta bangi na mbakaji..
2}sugu alikwenda ulaya na marekani kama house boy na mlisha mbwa
3}anavalia suruali matakoni so msimchague............but siku ilipofika mpesya akaanza kukikimbia kivuli chake mwenyewe.....natamani watu wa meru wawe kama wa mbeya mjini na tunduma vile!!!!
 
Mwigulu akiwa anautubia wananchi wa kata ya tindikali,maji ya chai anadai eti Nassari hana cha NGo wala nini bali analisha mbwa wa mzungu kwahiyo wananchi wasimkubali.
Mytake.
Mwigulu kampeni zimemshinda siyo dhambi kama akiomba kwenda kupumzika.

Je kwani kulisha mbwa si ni kazi kama kazi nyingine? Na ni bora kuongozwa na mlisha mbwa kuliko mwenye roho mbaya kama ya mnyama au sokwe yaani ccm
 
Kuhusu kutokuruhusu maswali ndugu yangu kwanza muda ni kikwazo pili huyu ndio kwanza anaomba ubunge angekuwa anaomba mara ya pili kuna la kujibu tatu mikutano ya hadhara kuna matatizo sisi huwa hatufanyi vurugu mikutano ya wenzetu ila kwetu ukiruhusu hayatakwepo maswali ya maendeleo bali namna gani mgombea abomolewe. Kuhusu porojo ndg yangu ndicho watu wanachotaka kusikia. Mimi first class economist nikishusha mambo ya growth models na inflation targeting siku inayofuata sipati watu mkutanoni. Samahani kama jibu halijatosheleza mengine ni utaratibu wetu kwamba tujibu kwanza kashfa alizozushiwa mgombea badala ya yeye ili mgombea aseme sera tu
 
Hakika wewe huna nia njema na watu wa nchi hii,
Unadhani kwa kutoa kwako kejeli, matusi, kashfa nk, kunawasaidia wananchi wanyonge waTZ?
growth models zinamsaidia nini mama mjamzito alieshindwa kununulia pamba ya kumsaidia wakati walabor?
Inflation targeting yako ni nini mbele ya kijana aliekosa ajira? Na bado unatukana ajira za wengine za kulisha MBWA WA WAZUNGU, haujui kuwa tunaishi kwa kazi hizo, kutokana na chama chako cha majambazi CCM kuuza viwanda vyote?
Kweli alieshiba hamjui mwenye njaa. Na ULAANIWE, na wote tuseme AMINA!
 
  • Thanks
Reactions: ral
Kuhusu kutokuruhusu maswali ndugu yangu kwanza muda ni kikwazo pili huyu ndio kwanza anaomba ubunge angekuwa anaomba mara ya pili kuna la kujibu tatu mikutano ya hadhara kuna matatizo sisi huwa hatufanyi vurugu mikutano ya wenzetu ila kwetu ukiruhusu hayatakwepo maswali ya maendeleo bali namna gani mgombea abomolewe. Kuhusu porojo ndg yangu ndicho watu wanachotaka kusikia. Mimi first class economist nikishusha mambo ya growth models na inflation targeting siku inayofuata sipati watu mkutanoni. Samahani kama jibu halijatosheleza mengine ni utaratibu wetu kwamba tujibu kwanza kashfa alizozushiwa mgombea badala ya yeye ili mgombea aseme sera tu

Mwigulu hiyo first class yako ya economist umeapply wapi?kwenye kampeni au iramba?mbona unaonyesha kama ulisoma socilogy?
 
  • Thanks
Reactions: ral
Hivi CCM na hazina ya watu wake wote wamekaa na kuamua kumpa kazi Mwigulu nchemba na Living'stone Lusunde, hivi Lusinde sindio yule aliyeomba wabunge wa upinzani wapimwe akili? hivi Lusinde sindiyealiyewaomba wameru wamwonee huruma Sioi ili kumfuta machozi. hivi kina January Makamba kwanini wasije Arumeru? Kwanini wanatuletea watu watata kama Wasira ambaye anahutubia utadhani ni mwanamuziki wa TOT. Hivi mwenyekiti umeona Majimarefu ndio anafaa kupiga kampeni za SIOI? You are not serious Chairman!
 
Kama hawa ndio wanasiasa (mwigulu type) wa ccm, I hate this party frm now. Huwezi kutetea bla bla zako hizi halafu ukajiita economist hata muda unaoutumia kwenye ujinga huu huoni thamani yake. Unatukanisha taaluma ya uchumi - ingawa ulikuwa BOT. Ndiyo maana for more than 50 years maendeleo yetu yanareverse
 
Nyepesi, nyepesi zinasema mwigulu ni muosha nguruwe wa rizi-1 pale ursino street
 
Kuhusu kutokuruhusu maswali ndugu yangu kwanza muda ni kikwazo pili huyu ndio kwanza anaomba ubunge angekuwa anaomba mara ya pili kuna la kujibu tatu mikutano ya hadhara kuna matatizo sisi huwa hatufanyi vurugu mikutano ya wenzetu ila kwetu ukiruhusu hayatakwepo maswali ya maendeleo bali namna gani mgombea abomolewe. Kuhusu porojo ndg yangu ndicho watu wanachotaka kusikia. Mimi first class economist nikishusha mambo ya growth models na inflation targeting siku inayofuata sipati watu mkutanoni. Samahani kama jibu halijatosheleza mengine ni utaratibu wetu kwamba tujibu kwanza kashfa alizozushiwa mgombea badala ya yeye ili mgombea aseme sera tu
1st class economist uliyefeli shule ukaponea kwenye kufoji jina la mtu mwingine uendelee na masomo?
Kama mgombea hawezi kujibu changamoto toka kwa wapiga kura wake huko bungeni anaenda kumuwakilisha nani?
Unadiriki kuwadharau watu wa Meru kuwa ukiwaeleza sera hawaji mikutanoni kwa vile wanapenda porojo. Nina mashaka makubwa saana na future ya CCM kama watu mliopewa dhamana ya kukiongoza chama mnakuwa hamna kitu cha kuwashawishi wananchi waendelee kukipenda chama na badala yake mnakuja na porojo za majitaka. Kwa taarifa yako upumbavu wote huu unatokana na mwenyekiti dhaifu na mchovu, bila reform hiki chama kitakuwa historia soon
 
  • Thanks
Reactions: ral
Hivi CCM na hazina ya watu wake wote wamekaa na kuamua kumpa kazi Mwigulu nchemba na Living'stone Lusunde, hivi Lusinde sindio yule aliyeomba wabunge wa upinzani wapimwe akili? hivi Lusinde sindiyealiyewaomba wameru wamwonee huruma Sioi ili kumfuta machozi. hivi kina January Makamba kwanini wasije Arumeru? Kwanini wanatuletea watu watata kama Wasira ambaye anahutubia utadhani ni mwanamuziki wa TOT. Hivi mwenyekiti umeona Majimarefu ndio anafaa kupiga kampeni za SIOI? You are not serious Chairman!

Mkuu patoxic makada wapo kibao huku manaibu na mawaziri na mav8 yao baadala yakufanya shughuli za maendeleo kwa taifa wanakuja kupiga porojo kwenye kampeni kibaya wanatumia kodi zetu wakati wapo kwenye issue za chama hii ndiyo maana katiba mpya inabidi itenganishe waziri na bunge.
 
Subirin tar 1 April tutajua aliyeishiwa sera. Mimi sina shaka na kama nimeishiwa na cdm wanataka kushinda ndio kweli wananishauri niondoke. Kilio cha nini kama CCM IMECHOKA? AM CONFIDENT CCM ITASHINDA

Kama mna uhakika na ushindi matusi ya nini jukwani? Wameru wahitaji kiongozi not a puppet.
Tena wanataka mtu mwadilifu..
 
Tatizo la watu wanaowaza kujazba na kuandika kwa jazba. Masikini hujaelewa. Sijatumia hizo models cos hazisaidii kweli hapa you are commenting outside the available options. It will not add even reduce anything for u being bitter. Blaa blaa utaziona mbivu zake au mbichi zake tar mosi. Pilipili ya shamba inakuwashia nini
 
Subirin tar 1 April tutajua aliyeishiwa sera. Mimi sina shaka na kama nimeishiwa na cdm wanataka kushinda ndio kweli wananishauri niondoke. Kilio cha nini kama CCM IMECHOKA? AM CONFIDENT CCM ITASHINDA
Mimi nakushukuru sana mh. Mwigulu kwa kujitokeza kujibu hoja. Ila ningeshauri ujikite kwenye kujibu hoja zinazotolewa kukuhusu na kuhusu mwenendo wa chama chako huko Meru. Aidha kuna hii hoja ya Igunga kuwa uliwahi kufumaniwa na mke wa mtu mkayamaliza kikubwa...sijawahi kusoma mahali popote umekanisha au umeizungumzia. Je, ni hoja nyepesi kiasi hicho kimaadili? Ushindi unaozungumzia huko Meru ni kwa sababu zipi wakati ambapo inasemekana ccm inapumulia mipira huko? Ni ushindi tu kwa njia yoyote au ushindi halali wa kura. Heshima yyako ndg kwa kujibu hoja hizo.
 
Kuhusu kutokuruhusu maswali ndugu yangu kwanza muda ni kikwazo pili huyu ndio kwanza anaomba ubunge angekuwa anaomba mara ya pili kuna la kujibu tatu mikutano ya hadhara kuna matatizo sisi huwa hatufanyi vurugu mikutano ya wenzetu ila kwetu ukiruhusu hayatakwepo maswali ya maendeleo bali namna gani mgombea abomolewe. Kuhusu porojo ndg yangu ndicho watu wanachotaka kusikia. Mimi first class economist nikishusha mambo ya growth models na inflation targeting siku inayofuata sipati watu mkutanoni. Samahani kama jibu halijatosheleza mengine ni utaratibu wetu kwamba tujibu kwanza kashfa alizozushiwa mgombea badala ya yeye ili mgombea aseme sera tu
Mwigulu,kwamba ni utaratibu wenu kujibu kwanza KASFA MLIZOZUSHIWA. Kwa hiyo jambo usilolijibu hukuzushiwa maana ni ukweli au sio? Ok,hujajibu hata siku moja kashfa ya Igunga kuhusu mke wa kada wenu kukutwa mko naked kiburudani. Kwa vile mnajibu zile za kuzushiwa na hii hamjajibu basi sasa umedhibitisha kuwa haukuwa uzushi.Asante sana na pole kwa yaliyokupata ila acha tabia hizo wewe na wenzio. Watu watakosa imani na wake zao kuwa makada wa CCM.
 
Kuwa na NGO ndiyo sifa ya kuwa mbunge?
Mi nadhani hata msukuma mkokoteni anaweza kuchaguliwa kuwa mbunge, maadam ametimiza sifa zote.

Ni kweli kwani miaka ya 1985 nikiwa nasoma pale Kibaha sec. Mbunge aliyechaguliwa badala ya Mbegu Malipula(RIP) alikuwa dereva wa trekta na akawa mbunge wa wilaya ya Kibaha . Huyu Mwigulu ni mtu ambaye hata CCM wanamwona kama chuma ya kengele ambayo ikishapigishwa kwenye kengele hutupwa chini mpaka itakapohitajika wakati mwingine kwa kazi hiyo hiyo. Hana uwezo wa kufikiri zaidi ya hapo ni kumpuuza tu
 
Ni dalili mbaya SANA ya kukosa point, mtu mzima kabeba dhamana ya FAMILIA yake anasimama jukwaani kuongea *****? Nadhani kuna haja ya kuchunguza uwezo wa fikra za hawa watu!
 
Back
Top Bottom