Arumeru lala salma hakutoshi

Yasser5

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
207
17
Wana jamvi wa Jf hali si hali arumeru lowasa,jauary makamba,pro maji marefu,mkapa hawa kwa uchache ndani ya kufunga kampein
dukuduku langu hivi jimbo hili lina umarufu gani kiasi cha kuweza kuwavuta vigogo wote hao wa sisiem?
 
Duuuuh mpaka January Makamba!!!!! Jimbo hilo ukweli ni kuwa CCM wanaona wataabika endapo tu watashindwa na kukipa kichwa CDM.

Ona sera za CCM!!!!!!!!!
Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee??????????????? ?????
Pigaaaaaaaaaaaa
Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii????????????? ??
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????
Kijaniiiiiiiii.
Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi.
CCM Oyeeeeeeeee.
Oyeeeeeeeeee.
 
Wana jamvi wa Jf hali si hali arumeru lowasa,jauary makamba,pro maji marefu,mkapa hawa kwa uchache ndani ya kufunga kampein
dukuduku langu hivi jimbo hili lina umarufu gani kiasi cha kuweza kuwavuta vigogo wote hao wa sisiem?

.
Kuyatengeneza mapito ya Lowasa kwenda Magogoni. Huelewi nini?
.
 
eee! Mungu muweza wa yote saidia chadema ishinde arumeru kudhihirisha anguko kuu la ccm.!!
 
eee! Mungu muweza wa yote saidia chadema ishinde arumeru kudhihirisha anguko kuu la ccm.!!

Eeeeeeeeh Mungu muweza wa yote, saidia kijana wetu Siyoi ashinde ili kudhihirisha kuwa lile kundi la akina Nape, Chiligati na mwenyekiti wao litashindwa vibaya come 2015 elections.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom