ARUMERU: Kutokana na mambo kuwa magumu Green Guard waanza mazoezi

Kwa kuwa CCM wameshindwa kwa hoja majukwaani na kubaki katika matumizi ya nguvu na vitisho dhidi ya wananchi na wafuasi wetu,na kwa kuwa jeshi la polisi limeshindwa kazi na badala yake linafanya kazi na chama dola kughilibu matakwa ya umma basi kilichobakia ni kwa sisi ku-deploy Red brigade.Tusikubali kuonewa au kuburuzwa

Ni lazima tulinde wafuasi wetu.....nitakuwa mstari wa mbele kuongoza red brigade ili CCM warudi katika msatari wa siasa za kistaarabu.Jeshi la polisi lisije likalalamika,na itakuwa ni mwisho wa CCM kutumia raslimali za serikali kwa manufaa yao.Tutahakikisha Gari ya serikali,mkuu wa wilaya au mtendaji yeyote haingilii mchakato wa uchaguzi.Kuna watakaowekwa ndani hadi siku matokeo yatakapotangazwa bila kujali kama ni mkuu wa mkoa ama ni nani.....

Nadhani CCM wanataka tufikie huko.Safari hii tusikubali watufanyie michezo yao waliyoifanya Igunga!
 
Uzuri huwa nakula wake za makada wenzake hata hivyo tuko makini kuliko unavyo weza kudhania......hahaha

Natamani mtu awavizie hao green guard wakati wamo ndani ya vijumba vya mafunzo afungie mlango kwa nje na atupe fungue kwenye choo cha shimo.

Hata hivyo CHADEMA wawe makini sana kwenye ujazaji wa form kwa mgombea wao, na wadhamini. Team Monduli wanaweza kuwaletea balaa.
 
Siyo achome moto hivyo vibanda vyao....naaminii kwenye wako makini na wana tusoma
 
Ccm wameweka kambi ya kuwafundisha green guard eneo la Leganga barabara ya kwenda Dik dik kama unaenda dik dik mtaa wa pili kushoto huku Nchemba Mwigulu amekuwa akipita na kugawa hela lakini pia anawapa wananchi contact namba za simu za viongozi wa chadema wa kitaifa ili kuwahadaa wananchi kuwa yeye na Mbowe, Dr Slaa na n.k ni marafiki sana hivyo hakuna haja ya wananchi kuwakataa kuongea nao..

pia ametoa mil 10 atakae fanikiwa kumdhamini mgombea wa CHADEMA huku akiwa amemdhamini wa chama kigine kitu ambacho kitapelekea kukatiwa rufaa na kuondolewa kwenye kinyang'anyiro cha kugombea jimbo la Arumeru Mashariki....

Mzee hukwenda ofisini leo? Hizi habari zimenichefua, ngoja niombe likizo fupi nirudi nyumbani kwa ajili ya kampeni kwa nyumba kwa nyumba kwa ndugu zangu na marafiki.

Lazima CDM tushinde
 
Kwa kuwa CCM wameshindwa kwa hoja majukwaani na kubaki katika matumizi ya nguvu na vitisho dhidi ya wananchi na wafuasi wetu,na kwa kuwa jeshi la polisi limeshindwa kazi na badala yake linafanya kazi na chama dola kughilibu matakwa ya umma basi kilichobakia ni kwa sisi ku-deploy Red brigade.Tusikubali kuonewa au kuburuzwa

Ni lazima tulinde wafuasi wetu.....nitakuwa mstari wa mbele kuongoza red brigade ili CCM warudi katika msatari wa siasa za kistaarabu.Jeshi la polisi lisije likalalamika,na itakuwa ni mwisho wa CCM kutumia raslimali za serikali kwa manufaa yao.Tutahakikisha Gari ya serikali,mkuu wa wilaya au mtendaji yeyote haingilii mchakato wa uchaguzi.Kuna watakaowekwa ndani hadi siku matokeo yatakapotangazwa bila kujali kama ni mkuu wa mkoa ama ni nani.....

Nadhani CCM wanataka tufikie huko.Safari hii tusikubali watufanyie michezo yao waliyoifanya Igunga!
Hii hoja mkuu siyo mara ya kwanza kuiweka na binafsi naiunga mkono kwa 100% haiwezekani sisi kila siku tuna lialia tu oooh Green guards wakati chama kina kubalika kwa vija kuiko hata hao magamba kwanini tusiendeleze kikundi chetu na sisi halafu tuone nani?....lakini Ben na kuhakikishia kwaa Arusha kama watafanya ujina walio fanya Igunga sipati picha....hatuta kaa kimya acha wafanye mazoezi wanavyo jua lakini watakapo subutu kumwanga damu kama kawaida yao, tutawashangaza
 
waache wagawe ela zao, arumeru sio igunga nchemba ataaibika this time, hawa vijana wa boda boda na taksi ndo wanaongoza kwa kunyanyaswa hivyo tumekwisha waambia wasiache hata sent tano watakayopewa wachukue na siku hiyo wanajua jambo la kufanya, usa mjini,leganga,katiti, maji ya chai na tengeru kote ujumbe umeshawafikia vijana wote,
 
Ccm wameweka kambi ya kuwafundisha green guard eneo la Leganga barabara ya kwenda Dik dik kama unaenda dik dik mtaa wa pili kushoto huku Nchemba Mwigulu amekuwa akipita na kugawa hela lakini pia anawapa wananchi contact namba za simu za viongozi wa chadema wa kitaifa ili kuwahadaa wananchi kuwa yeye na Mbowe, Dr Slaa na n.k ni marafiki sana hivyo hakuna haja ya wananchi kuwakataa kuongea nao..

pia ametoa mil 10 atakae fanikiwa kumdhamini mgombea wa CHADEMA huku akiwa amemdhamini wa chama kigine kitu ambacho kitapelekea kukatiwa rufaa na kuondolewa kwenye kinyang'anyiro cha kugombea jimbo la Arumeru Mashariki....

Wapi source?
 
Mzee hukwenda ofisini leo? Hizi habari zimenichefua, ngoja niombe likizo fupi nirudi nyumbani kwa ajili ya kampeni kwa nyumba kwa nyumba kwa ndugu zangu na marafiki.

Lazima CDM tushinde
Mkuu unanafasi kubwa sana kwenye uchaguzi huu, amusheni watu huko hasa vijiji vya ndani ndani...............
 
Sijui watawasingizia nini cdm kipindi hiki
Mkuu kwani huja sikia eti Lema aliwadhalilisha wazee wa Meru kwenye msiba wa SUMARI mbaya zaidi msiemaji wa wazee hao ni msajiri wa vyama Tendwa..............
 
Huko hakuna Bakwata ambao huwa wanawatumiwa na CCM kuwahadaa waislam na kuonyesha kuwa CCM ni chama cha waislam na kinawapenda waislam,wakati waislam wamezudhurumiwa na CCM mali zao nyingi na kuwawekea chombo cha ulaghai cha kikafili Bakwata ili kiwahadae waislam ili washindwe kudai haki zao za msingi,sasa Arumeru hakuna hao Bakwata ambao huwa wanatumiwa na CCM.

Ndo wanataka kutumia yale yaliyotokea siku ya mazishi ya huyo mbunge wao ili waidhoofishe cdm pamoja na Lema
 
Ni kweli mbinu zao nyingi tunazipata kutoka kwa wananchi wenye mapenzi na CHADEMA hivyo basi ni wajibu wa kila mpenda mabadiliko kuelekeza nguvu Arumeru ili mwisho wa siku mshindi apatikane kwa haki....si kwa kuuana kama CCM walivyo fanya Igunga.

Hivi kumbe ccm wako tayari kuwauwa wananchi ili washinde? Kama ni hivyo yanini kuing'ang'ania ccm?
 
Huyu Crashwise alikuwa akiandika ***** kama huu wakati wa uchaguzi wa Igunga. Anaonekana ni mtaalam wa kutunga story za kijinga ili asifiwe na magwanda. Hana ushahidi wa ****** alioweka hapa. Tumezoea usanii wako.
 
CCM ni zaidi ya shetani wana mbinu nyingi chafu hivyo basi chadema na wapenda haki tuoongeze nguvu, maarifa pamoja na maombi ili shetani ashindwe........

Nadhani kwa mambo ccm wanayoyafanya hata rhetani mwenyewe hathubutu
 
Huyu Crashwise alikuwa akiandika ***** kama huu wakati wa uchaguzi wa Igunga. Anaonekana ni mtaalam wa kutunga story za kijinga ili asifiwe na magwanda. Hana ushahidi wa ****** alioweka hapa. Tumezoea usanii wako.
sihitaji kusiwiwa na mtu yoyote mke wangu hunisifia kila siku.....Turudi kwenye maada nimetaja sehemu ambapo Green Guards wenu walipo weka kambi naamini ukjo Arusha nenda sehemu husika kama huna nauri ni PM nikurumia hata mkweny M-Pesa..............
 
Back
Top Bottom