Arumeru, CCM ikishinda ni ishara ya Lowassa kushinda 2015

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Wakuu story inayoendelea hapa Arusha na Moshi sasa hivi ni kuhusu uchaguzi wa Arumeru mashariki,Kila mtu hapa anaongelea juu ya Lowassa kutumia karata ya Arumeru kama dalili za ushindi wake 2015,atakaye peperusha bendera ya ccm ni mkwe wa lowassa,inasemekana lowassa anafanya mbini zote ili huyo mkwe wake apate ushindi kwani utaongeza nguvu kwenye kambi yake,kuna kila dalili ccm kushinda kwa kutumia mbinu chafu,wana ccm wengi kutoka mbali wamepiga kambi Arumeru na tunaamini chadema wanajua hilo na kama hawajui imekula kwao,yetu macho na masikio tunataka kuona nguvu ya huyu mkuu Lowassa itaishia wapi!
 
Mkuu, mbona visingizio vinaanza mapema hivyo kabla hata kampeni bado.

Kama mnazijua hizo mbinu chafu za Lowassa mnazosema hiki ndio kipindi cha kuzifichua kabla ya uchaguzi wa Arumeru.

Msitengeneze njia za kulalamika baada ya uchaguzi, semeni mapema hizo mbinu.
 
Kichekesho! Je Wana CCM HAPA JAMVINI WAKO TAYARI KUTAMKA KWAMBA MAFISADI NDIYO WENYE NGUVU CHAMANI MWAO?
 
Hivi kumbe Lowasa anashindana na chama chake mwenyewe? Aisee nilikua sijui!
 
Mimi sikubaliani na wewe hata kidogo eti kipimo cha kushinda ccm arumeru ndo kichukuliwe kuwa el ndo atachukua dola 2015
 
hapana chezea laigwanan mkuu .
toeni ushamba wenu apa, laingwanan ndo nini, kuishia kuvaa mishuka tu uku korodani zinachungulia, laingwanan langwanan peleka vichakani uko, mafisadi wakubwa, nina walaani ela zenyewe wameiba, ati matajiri wizi mtupu,
 
KAMA MCHAMBUZI WA SIASA TOA FACT.. KWA JIMBO MOJA HALIWEZI KUTABIRI MAJIMBO YA NCHI NZIMA YA UCHAGUZI, HAKUNA UHUSIANO WA KUSHINDA AU KUSHINDWA KWA CHAMA KATIKA JIMBO LA ARUMERU NA KUSHINDWA AU KUSHINDA MWAKA 2015 KWA MAJIMBO YALIYO DAR, KASURU , MRGR NK

FIKRA NA WAZO KIPI UANZA?:lol:
 
toeni ushamba wenu apa, laingwanan ndo nini, kuishia kuvaa mishuka tu uku korodani zinachungulia, laingwanan langwanan peleka vichakani uko, mafisadi wakubwa, nina walaani ela zenyewe wameiba, ati matajiri wizi mtupu,

unaitaji msaada wa daktari kijana . Angalia usije pasua machine yako . Mambo ya korodani kuwa nnje yametoka wapi ? Kama una kipele unataka kipasuliwe sema .
 
Wakuu story inayoendelea hapa Arusha na Moshi sasa hivi ni kuhusu uchaguzi wa Arumeru mashariki,Kila mtu hapa anaongelea juu ya Lowassa kutumia karata ya Arumeru kama dalili za ushindi wake 2015,atakaye peperusha bendera ya ccm ni mkwe wa lowassa,inasemekana lowassa anafanya mbini zote ili huyo mkwe wake apate ushindi kwani utaongeza nguvu kwenye kambi yake,kuna kila dalili ccm kushinda kwa kutumia mbinu chafu,wana ccm wengi kutoka mbali wamepiga kambi Arumeru na tunaamini chadema wanajua hilo na kama hawajui imekula kwao,yetu macho na masikio tunataka kuona nguvu ya huyu mkuu Lowassa itaishia wapi!

jipange.
 
Back
Top Bottom