Arumeru Afisa Ardhi apita na Lowasa kufanya Kampeni

mkuu kumbuka bongo kila kitu kinawezekana.!!!



nakuhakikishia wameru watampopoa na mawe! Na anajua hivyo ndio maana anatambaa chini kwa chini kama nyoka! Hawezi kujitokeza hadharani!
 
Wana JF kuna jambo la ajabu sana hapa Meru leo Afisa ardhi wa wilaya na mwingine kutoka Makao makuu wanapita na Mkuu mtarajiwa wa Kaya wakishawishi woote wenye Migogoro ya ardhi watarejeshewa Ardhi yao kama watamchagua Siyoi
Najaribu kujiuliza kama mawaziri na maafisa waandamizi wanapita kwanye majukwaa ya kichinichini ya Siasa Ofisi zao zipo na nani?
Huu ni Ushahidi tosha kuwa CCM wameisahiwa mbinu
Nikiripoti kutoka Arumemeru ni Mgosi Mgeni wenu wa JF

Mfa maji achi kutapatapa nini afisa ardhi hata akipita na mshauri wa mgambo!dogo janja nomaa
 
Ardhi wameihodhi kwa kusubiria nyakati watukamate nayo, nichagulieni neno la kumwambia huyu kiziwi, tunamkataa lkn bado anatuzonga.
 
Back
Top Bottom