VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,355
- Thread starter
- #61
Exactly Mkuu..., na hii imetokana na Management ya Wenger.., ya kununua Cheap; Sell High na kumanage hata ujenzi wa uwanja mpya...LMAO!!
Arsenal sio timu maskini kama unavyotaka kutuaminisha..... 3rd richest club in the world.
Tofauti na timu kama chelsea ambayo ni mfuko wa jamaa mmoja au Man United ambayo gate collection yake ya kila wiki hakuna timu inayoweza kuifikia England..., kwahiyo tunarudia tena Maybe.... Maybe..., The way of Wenger is how a Football Club should be run sababu hii winning at all cost mentality inaweza ikatukuta few years from now hatuna Football Club hata moja zote zimerun Bankrupt... (sababu the way players are paid and bought does not make economic sense.., na lazima tukubali kwa sasa mpira ni Biashara.)