Arsene Wenger Manager Bora Kuliko Sir Alex……..

hiii ligi haina mwishoo.... kila mtu anaoneka muhumu ndio maana wenger wanamuita le professor na mwenzake anaheshima ya Sir!

ni makocha respected wote!

wenger hata akiondoka arsenal leo.... kesho atapata club nyingine kubwa tu!
 
tukianza kuimagine..., basi ngoja tuimagine
Imagine Jap Stam asingehama United; na hapa haikuwa sababu ya pesa bali personal issues.., Flamini na Hleb walikuwa wanataka pesa zaidi kwahiyo they had to go.., you can not break the banks kwa sababu ya kuwaridhisha baadhi ya wachezaji, pamoja na hao kuondoka Arsenal has been consistently in the Top Four..., Jambo ambalo inabidi kumpa pongezi Wenger kwa kuweza kufanya hivyo bila ku-break the banks..., kumbuka timu kama Liverpool na Man City pamoja na kuspend zaidi ya Arsenal lakini Arsenal inaperform zaidi yao...

Hakuna mchezaji aliyewahi kuondoka Arsenal sababu ya personal issues...., Wenger alipofika Arsenal alikuwa kuna alcoholics kama kina Tony Adams.., lakini man management yake aliweza kubadilisha kabisa drinking culture ya Arsenal.

Arsenal inawalipa wachezaji wake mishahara midogo kulinganisha na other top four teams lakini Wenger thats why wachezaji wengi wanaondoka lakini the Guy being a Genous anaendelea kuwaleta wengine

Jamani lazima tumpe credit mtu aliyeweza kumleta Henry from brink of extinction na kumsaidia George Weah; ......... jambo ambalo Sir Alex sidhani kama anaweza kujivunia., yeye huwa anawasajili wachezaji ambao kila mtu anakuwa ameshawajua

althouhg Jaap Stam aliondoka bado tuliweza kuchukua epl miaka iliyofuata.
Wenger alikuwa anataka kutengeneza timu nzuri baada a invincibles, ndo maana akaanza kuwaacha wakongwe wake, lakini alishindwa na bado ameshindwa kuwa na his Ideal team.
Ferguson amedhihirisha ubora wake msimu huu kwa kuweza kuchukua epl na kufika fainal ya ucl ilhali alikuwa na timu ya kiwango cha chini(kwa mchezaji mmoja mmoja) kulinganisha na timu za G14 na baadhi ya timu kama man city. Sidhani kama wenger angeweza kufanya hivi. Baada ya Hleb na Flamini kuondoka Arsenal imekosa Consistency na sasa hivi haiwezi 'ku grind results' kama ambavyo man u inafanya.
 
Wenger hakuwaacha wakongwe..., (Viera, na Henry) walikuwa wanataka kuondoka kila mwaka kama issue ya Fabregas sasa hivi bila Wenger huenda hawa watu wangeondoka muda mrefu uliopita ila Wenger aliweza kuwabakiza kwa muda mrefu as possible. United sio msimu huu tu, ni miaka mingi sasa imekuwa ikitumia individual brilliance za watu kuchukua kombe.., mfano kipindi wanachukua last Champions League ilikuwa ni umahili wa Ronaldo.., pia Giggs na Paul Scholes wamekuwa wakiperform beyond vizuri kwa muda mrefu...

Tukiangalia hata ile Treble winning side ya United..., (Goals la Injury time la Scholes baada ya Bayern kuwakimbiza United) na FA Cup na Arsenal goli la extra time la Giggs baada ya Dennis Berkamp kukosa a sitter utaona kwamba hata ile side haukuwa inawadrive wapinzani off the park kama inavyofanya Barca sasa.

Kwahiyo ukisema kwamba Wenger hawezi kufanya hayo unakuwa umemuonea sababu kama aliweza kufanya makubwa bila uwezo wa ku-compete kwenye kununua wachezaji wa bei mbaya kwanini ashindwe kama atapewa pesa za kumwaga..., na Man Management yake sio ya Ki-dikteta, people love to work for him, Sio Sir Alex watu wanamwogopa..., na labda ndio unaweza ukawatreat kina Giggs na Scholes kama watoto sababu wamekulia hapo tangia wadogo ni vigumu kuwatreat watu vichwa ngumu.., Swali linakuja Je angeweza kuwapelekesha kina Galacticos wa enzi zile Real Madrid au wangemwambia aanze mbele..., Kuna story kwamba kuna siku kina Giggs walikuwa na Party mpaka usiku akawatokea akawaambia waende wakalale... au siku Man United ilivyokuwa imefungwa mbili by Half Time akapiga kiatu kwa hasira ambacho kikampiga David Bercamp.

Kwahiyo kama Wenger anazo quality the Man Management pia anao uwezo wa kusajili ila pesa ndio inakuwa tatizo sometimes kwanini akipewa hizo pesa ashindwe
 
hiii ligi haina mwishoo.... kila mtu anaoneka muhumu ndio maana wenger wanamuita le professor na mwenzake anaheshima ya Sir!

ni makocha respected wote!

wenger hata akiondoka arsenal leo.... kesho atapata club nyingine kubwa tu!
Okay tuseme wewe unayo timu yako ambayo unataka iendeshwe kwa busara bila uwezekano wa kufilisika na pia hauna pesa za kumwaga utamchukua Le Proffessor and Bwana Alex, kumbuka kwamba ukiwa na uwezo wa kufanikiwa na pesa ndogo je ukipewa za kumwaga
 
Kwa wengi wetu sisi neutrals (tusio mashabiki wa Man U au Arsenal)....Wenger ni zaidi.

Wenger ni entertainer - which is justice to the football world.

Fergie ni tactician zaidi - meaning yuko focused kwenye kutafuta mafanikio binafsi bila kujali football fraternity ina-exist au la!!
 
Wenger hakuwaacha wakongwe..., (Viera, na Henry) walikuwa wanataka kuondoka kila mwaka kama issue ya Fabregas sasa hivi bila Wenger huenda hawa watu wangeondoka muda mrefu uliopita ila Wenger aliweza kuwabakiza kwa muda mrefu as possible. United sio msimu huu tu, ni miaka mingi sasa imekuwa ikitumia individual brilliance za watu kuchukua kombe.., mfano kipindi wanachukua last Champions League ilikuwa ni umahili wa Ronaldo.., pia Giggs na Paul Scholes wamekuwa wakiperform beyond vizuri kwa muda mrefu...

Tukiangalia hata ile Treble winning side ya United..., (Goals la Injury time la Scholes baada ya Bayern kuwakimbiza United) na FA Cup na Arsenal goli la extra time la Giggs baada ya Dennis Berkamp kukosa a sitter utaona kwamba hata ile side haukuwa inawadrive wapinzani off the park kama inavyofanya Barca sasa.

Kwahiyo ukisema kwamba Wenger hawezi kufanya hayo unakuwa umemuonea sababu kama aliweza kufanya makubwa bila uwezo wa ku-compete kwenye kununua wachezaji wa bei mbaya kwanini ashindwe kama atapewa pesa za kumwaga..., na Man Management yake sio ya Ki-dikteta, people love to work for him, Sio Sir Alex watu wanamwogopa..., na labda ndio unaweza ukawatreat kina Giggs na Scholes kama watoto sababu wamekulia hapo tangia wadogo ni vigumu kuwatreat watu vichwa ngumu.., Swali linakuja Je angeweza kuwapelekesha kina Galacticos wa enzi zile Real Madrid au wangemwambia aanze mbele..., Kuna story kwamba kuna siku kina Giggs walikuwa na Party mpaka usiku akawatokea akawaambia waende wakalale... au siku Man United ilivyokuwa imefungwa mbili by Half Time akapiga kiatu kwa hasira ambacho kikampiga David Bercamp.

Kwahiyo kama Wenger anazo quality the Man Management pia anao uwezo wa kusajili ila pesa ndio inakuwa tatizo sometimes kwanini akipewa hizo pesa ashindwe
So do you agree that Wenger isn't capable at a time of making a time capable of grinding out results. Grinding out result meaning that a time can win even on the 'off day' which is the hallmark of the champions in the epl.
 
Ni Manure Damu na kwenye hili AW is far behind kumlinganisha na Sir. Fergie!!..Hamkuti Sir hata chembe!!
 
Muanzisha thread akitaka tuelewane naye inabidi avue miwani ya Arsenal otherwise tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu. Tuwekee figures za kiasi gani Sir Alex ametumia tangu ameanza kuifundisha Man Utd na vile vile figures za Arsene Wenger while you are at it usisahau kutuwekea ni kiasi gani timu zote mbili zimepata baada ya kushinda vikombe, kuuza wachezaji etc etc.

Kwa kuanza stats za spending za last 5 years.
Transfers-06-111.jpg

Attachments

  • Transfers-06-111.jpg
    Transfers-06-111.jpg
    73.8 KB · Views: 30
Wenger

Thiery Henry; Pires; Kolo Toure; Anelka; Flamini; Freddy L; wote au aliwanunua kwa peanuts na kuweza kuwauza kwa massively pesa nyingi sana Usisahu timu iliyocheza Final na iltumia 5m kuitengeneza; na mtu kama Sol Campbell alimpata bure

Ferguson

30m kwa Diego Forlan; Alan Smith; Louis Saha na David Bellion
28.1m kwa Veron
Djemba Djemba na Kleberson Hopeless
30m kwa Rio Ferdinad ambaye Leeds walimpata kwa 6m kutoka newcastle just a few years previously

Conclusion

Maybe angemba hizo pesa za Rio Wenger angeweza kutengeneza timu 6 kama ile iliyocheza na Barcelona France
Ndugu yangu nakushauri kwanza upunguze unazi na chambua ukweli,Diego Forlan hakununuliwa kwa mil paundi 30,Rio Ferdinad pamoja na kununuliwa kwa kiasi hicho mchango wake umeonekana hakuna beki wa kumlinganisha nae hapo Arsenal kwa kipindi chake na mojawapo ya mafanikio ya Manu ni partnership ya Rio na Vidic

Kama kuwauza wachezaji na kupata fedha Wenger hamgusi kabisa Fergie
Beckham aliuzwa 25,CR7 alinunuliwa 12 akauzwa kwa 80
Kuna wachezaji hutaki kabisa kuwataja Evra,Vidic,Park,Chicharito,
 
Mkuu ukiangalia nilchosema utaona kuwa nimesema; 30m kwa Diego Forlan; Alan Smith; Louis Saha na David Bellion nikimaanisha kwamba alitumia 30M kwa kuwanunua hao mastriker 4 ambao wote hawakufanikiwa

Beckham aliuzwa kwa hizo pesa lakini jibu ni kwamba Beckham alitokea academy sio kwamba alisajiliwa ndio maana hata Arsenal sijamtaja Ashley Cole; na ingawa Viera alifanikiwa sana ila hakumsajili Wenger Arsenal ingawa alichangia sana ukuaji wake kule France.

Kwahiyo utaona kwamba ukitoa Ronaldo ambaye hata usajili wake ulikuwa kama fluke baada ya United kwenda Portugal na kuwapiga sana chenga kina Rio na Neville walimlazimisha sana Alex amchukue.

Kuhusu hao wote uliowataja kila mtu alichujua kwamba hao ni potential haikuwa jambo la ajabu; ndio kisa kwa Wenger sijawataja kina Theo Walcott na kina Arshavin; sababu it was wide open..., Rio alinunuliwa 30m na hii ni baada ya kuwa na good worldcup lakini ukiangalia miaka michache kabla alinunuliwa toka westham kwa 6m sasa kwa manager anayejua potential angeweza kumpata kwa bargain
 
So do you agree that Wenger isn't capable at a time of making a time capable of grinding out results. Grinding out result meaning that a time can win even on the 'off day' which is the hallmark of the champions in the epl.
Ni kweli grinding results ukicheza vibaya is a mark of Champions; lakini hilo is nothing to do with Wenger bali attitude ya wachezaji wengi wa France na Dutch, mambo yakienda vibaya wanaanza kuzira na kukata tamaa hawana English Fighting Spirit...., Arsenal wanaitaji a Viera figure, au mtu kama enzi za Roy Keane au hata mtu kama Gerald wa kuwasukuma when things go wrong.., a leader on the pitch, kila mwaka Arsenal wanaanza vizuri lakini mambo yakianza kwenda kombo wanakata tamaaNi kweli grinding results ukicheza vibaya is a mark of Champions; lakini hilo is nothing to do with Wenger bali attitude ya wachezaji wengi wa France na Dutch, mambo yakienda vibaya wanaanza kuzira na kukata tamaa hawana English Fighting Spirit...., Arsenal wanaitaji a Viera figure, au mtu kama enzi za Roy Keane au hata mtu kama Gerald wa kuwasukuma when things go wrong.., a leader on the pitch, kila mwaka Arsenal wanaanza vizuri lakini mambo yakianza kwenda kombo wanakata tamaa
 
Muanzisha thread akitaka tuelewane naye inabidi avue miwani ya Arsenal otherwise tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu. Tuwekee figures za kiasi gani Sir Alex ametumia tangu ameanza kuifundisha Man Utd na vile vile figures za Arsene Wenger while you are at it usisahau kutuwekea ni kiasi gani timu zote mbili zimepata baada ya kushinda vikombe, kuuza wachezaji etc etc.<br><br>

Mkuu stats unaweza ukazifanya zikakwambia a different story.., wewe unasema miaka sita swali ni kwamba katika hiyo miaka sita utakuta kuna deal ya Ronaldo ya 80M na huenda katika wakati huo issue za kina veron unaziepuka au kina Anelka unawaepuka anyway kwa ufupi angalia hapa:-

Kolo Toure Bought 150,000 Pounds; Sold (Pounds) 15M
Emmanuel Adebayor Bought 4M Pounds; Sold (Pounds) 24M
Anelka Bought 500,000 Pounds; Sold (Pounds) 22M
Marc Overmass Bought 7M Pounds; Sold (Pounds) 25M
Petit Bought 2.5M Pounds; Sold (Pounds) 7M

Na hapo bado hatujaongelea kumbadilisha a winger into a top world Striker (henry) au kumbadilisha a midfielder into a top defender (Kolo Toure)… In Short hii Magic Touch hakuna manager mwingine anayo bali Wenger Pekee.

Jamaa anamagic touch ya kuangalia potential ambayo inaweza ikafanya kazi popote pale, iwe Mtibwa, Yanga, Simba, Toto au popote pale formula yake inaweza ikawa applied for success
 
VoiceOfReason kwa kuongezea, asilimia kubwa ya wachezaji walioondoka Man U ukiondoa kiwango cha mpira, wengi waliondoka sababu ya Personal issues, nakubaliana na wewe khs hili,we kumbuka kile kitendo cha Sir Alex kumpiga kiatu usoni mwa David Beckam mpaka akamchana ngozi,hicho kitamfanya Beckam aendelee kubaki Man U under Sir Alex,mpaka aondoke SAF Beckam nina hakika atarudi Man U, Jaap Stam naye alikumbwa na upepo wa Ferguson bila kutarajia na ndo maana alimpaka huyo manager huku tayari alishaondoka pamoja na kwamba Stam ni beki mzuri sijui kama amestaafu, kwa Wenger sijaona bifu na wachezaji wake, ni kocha anayeweza kuishi na kila mchezaji, wachezaji wote walioondoka hakuna hata mmoja aliyempaka Wenger, nakubaliana na VoiceOfReason kwamba Wenger ni kocha mbunifu management ya soka kwa upande wa wachezaji! Wenger anapokuwa katika kipindi kigumu mara nyingi hutumia busara zake kuwatuliza wachezaji, lkn Ferguson wakati mwingine hasira zae utaziona waziwazi mpaka unaogopa! Cristiano nadhan alikimbia sababu hiyo!
 
we kumbuka kile kitendo cha Sir Alex kumpiga kiatu usoni mwa David Beckam mpaka akamchana ngozi,
Tena ashukuru Mungu angekuwa na watu kama Gattuso; au Di Canio na kuwafanyia hivyo wangempa kibano Mzee wa Watu mpaka akajifunza, hususan hii karne ya mastaa ni vigumu kuwa-manage kwa mkono wa chuma
 
Voiceofreason soma tena post yangu sio unakurupuka kujibu tu, nimesema kwa kuanzia naweka stats za miaka sita iliyopita uku nikiwa nimekuomba utuwekee stats nyingine.

Papa Mopao unaijua sababu ya Jaap Stam kuondoka Man Utd au unaongea kishabiki? Kati ya Fergie na Wenger I'd pick Fergie any day for a simple reason he brings the best out of average players. Success kwenye soka inakwenda hand in hand na hela.
 
Voiceofreason soma tena post yangu sio unakurupuka kujibu tu, nimesema kwa kuanzia naweka stats za miaka sita iliyopita uku nikiwa nimekuomba utuwekee stats nyingine.Papa Mopao unaijua sababu ya Jaap Stam kuondoka Man Utd au unaongea kishabiki? Kati ya Fergie na Wenger I'd pick Fergie any day for a simple reason he brings the best out of average players. Success kwenye soka inakwenda hand in hand na hela.
Eqylpz! Nachojua mimi aliondoka sabu ya bifu na Fergie tu kama kuna lingine hilo sifahamu, labda unijuze kama kuna lingine zaidi ya hilo.
 
Wana Arsenal badala ya kupiga kelele ya kumfukuza Wenger lazima muangalie achievements za Wenger na ni wapi alipowatoa….

  • Wenger alikuja 1996 (Sir Alex alikuwa ana 10 years Head Start) mwaka uliofuata akachukua The Double (FA na Premier League) na hii ni baada ya Arsenal kuwa points 12 nyuma na alishinda akiwa na games mbili mkononi
  • Ameshinda FA Cups 4 Premier Leagues 3 bila pesa ya kutumia sio kwamba alikuwa hataki lakini Arsenal ilikuwa haina pesa

Je aliwezaje kushinda makombe bila pesa ?

  • Arsenal ilikuwa haijazi uwanja sababu Arsenal ilikuwa inacheza Boring Football ; (mpaka washabiki wengine walikuwa wanaimba, Boring Boring Arsenal na One nill to the Gunners) yaani Arsenal alikuwa akikufunga moja anadefend, Wenger alibadilisha 4-5-1 to 4-4-2 na kuleta mchezo wa kuvutia Highbury hence washabiki kuongezeka na income kuongezeka
  • Arsenal iliuza wachezaji quality kwa kuwanunua kwa bei ndogo ; Anelka pounds 500,000 kutoka PSG na kumuuza 22.3 million pounds baada ya miaka miwili na kwa pesa hizo aliwanunua Robert Pires, Thiery Henry na Lauren to name just a few.
  • Wenger ni Talent Spotter watu kama Henry aliyembadilisha kutoka winger mpaka stricker, Kolo Toure alikuwa midfielder akamfanya defender..., hey isingekuwa Wenger hata George Weah (the African Best World Footballer maybe asingeiona Europe.
  • Timu iliyoweka rekodi ya mechi kumi bila kufungwa kwenye Champions Leageu na kufika fainali ilichukua milion 5 tu kuitengeneza

Kwahiyo swali linakuja Sir Alex angeweza kufanya hayo akiwa na timu kama Arsenal…???; Maybe NO…..

  • Man United imekuwa na pesa za kutosha kwa kipindi kirefu uwanja wake wa Old Trafford unajaa kila wiki; kwahiyo before Chelsea United ndio timu iliyokuwa ina pesa za kumsajili kila mchezaji wanayemtaka.
  • Pesa walizotumia kumpata Veron; Rud Van Nisteroy na Rio (ambaye walimchukua kwa 30m ingawa leeds walimpata kwa 6m) inaonyesha jinsi huyu babu anavyomwaga pesa, na makosa aliyofanya ya kuwanunua kama kina Jemba Jemba, Taibi ni makosa ambayo Arsenal Could not afford kuyafanya
  • Sir Alex timu iliyompatia manufaa hakununua wachezaji wengi walitokea Academy, alikuwa na bahati ya kwamba wachezaji kama sita wote walipeak at once, (Beckham; Giggs, Scholes, Neville brothersw e.t.c) na sababu amekuwa nao hawa watoto kwahiyo alikuwa anawa-manage kwa udikteta na kwa kuwatisha hence kukorofishana na watu kama kina Jaap Stam.
  • One of the top Signings za United Cantona sio kwamba alimgundua kutoka mbali alikuwepo Leeds na kila mtu alimjua, which means hata kama Arsenal wangemtaka wasingempata kutoka na ubavu wa United kipesa kuliko Gunnerss
  • Ronaldo sio kwamba walipanga kumsajili ni baada ya kwenda kucheza friendly Portugal na alivyowakimbiza kina Rio na Gary Neville, basi wachezaji wa Man United wakamwomba Sir Alex amnunue sababu waliona potential yake.

Conclusion;
Kwa timu ambayo haina pesa za kumwaga na kupoteza na kwenye hii current atmosphere ambayo wachezaji ni ma-star na ni vigumu kuwa-dictate I will pick Wenger over Sir Alex any day of the Week!!!!! Angalizo; Kuondoka kwa Wenger huenda hata Europe kwenda kila mwaka ikawa tatizo let alone kuchukua kombe.

Mimi sio mshabiki wa manure lakini hoja yako naikataa. Numbers don't lie!!
 
Voiceofreason soma tena post yangu sio unakurupuka kujibu tu, nimesema kwa kuanzia naweka stats za miaka sita iliyopita uku nikiwa nimekuomba utuwekee stats nyingine.

Papa Mopao unaijua sababu ya Jaap Stam kuondoka Man Utd au unaongea kishabiki? Kati ya Fergie na Wenger I'd pick Fergie any day for a simple reason he brings the best out of average players. Success kwenye soka inakwenda hand in hand na hela.

Mkuu miaka sita iliyopita ndio angalau itakuwa favourable kwa fergie sababu ya kuuzwa kwa Ronaldo, for 80m apart from that imekuwa ni hatari tu kwa Fergie, kina Veron, Djemba Djemba, Kleberson e.t.c,

Sidhani kama kuna ubishi kwamba kati ya signings za Fergie na Wenger ni zipi zimeleta faida zaidi kama nilivyoweka kwenye jedwali langu hapo juu, au ngoja nikukumbushe..., Anelka, Overmass, Pires, Henry, Adebayor, Toure, hizi zote baada ya kuuza zilileta massive amounts of cash..., na issue ya kubring more out of average players????? How about this one for size, Diego Forlan alivyokuwa United alifanya nini na alivyoondoka amefanya nini..., alafu niambie ni mchezaji gani ambaye career yake imekuwa better baada ya kuondoka Arsenal
 
unaijua sababu ya Jaap Stam kuondoka Man Utd au unaongea kishabiki? Kati ya Fergie na Wenger I'd pick Fergie any day for a simple reason he brings the best out of average players. Success kwenye soka inakwenda hand in hand na hela.

please soma how and what happened from the following extract
Stam caused controversy, when his (at that time) unreleased book, 'Head-to-Head', telling of his life at United was serialised by a National tabloid newspaper.

The serialisation extracts from Stam alleged that his manager Alex Ferguson had illegally approached him, and also seemed to criticise his Manchester United team-mates, in particular the Neville brothers.

Three days after the Fulham game, United travelled to Ewood Park to play Blackburn, however Jaap Stam was not even on the substitutes bench and again, rumours began to swirl.

Some said that Stam's achilles injury had flaired up again, others said that his manager, Ferguson had dropped him as a form of club discipline, in much the same way as he did to star player David Beckham two seasons earlier against Leeds United. However, the growing concensus was that due to the serialisation of the book, which the Manchester United players and staff apparently had no knowledge of, Sir Alex Ferguson had decided to dispense with the services of Stam altogether, rather than keep someone who had apperently upset some of his team-mates with his much-publicised criticism of them.

This appeared to be the case when Stam was quickly sold for just over £15 million to Lazio just four days later, as United played Aston Villa in the Premiership.

For one of the few times in recent years, this resulted in Manchester United fans actually questioning the decision of Sir Alex Ferguson.

Many saw Stam as a defensive lynchpin for United and although they felt he was wrong in what he said in his book, they felt that maybe a club ban or fine may have been more suitable than actually selling him to another club.

Stam, for his part seemed stunned by the speed at which he had been sold, and added that he felt that if the book had been r
ead as a whole, rather than in serialised parts, that the picture he painted of his now former club and team-mates was very different to what appeared in the newspaper in which it was serialised.
 
Mimi sio mshabiki wa manure lakini hoja yako naikataa. Numbers don't lie!!
Mkuu hapa hatuongelei makombe au success tunaongelea better manager as in man management good signings na pia ku-uncover raw talents mambo ambayo timu yako inahitaji kama haina pesa za kuchezea...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom