Arsenal wamemuuaGadafi?

kiparah

JF-Expert Member
Sep 7, 2010
1,173
114
Hii nimeikuta sehemu: Aaron Ramsey....alifunga bao dhidi ya Man United Mei 1, 2011 siku iliyofuata Osama Bin Laden akauwawa na Wamarekani...Ramsey juzi amefunga bao dhidi ya Marseille, siku iliyofuata Gaddafi ameuwawa.....magoli ya huyu dogo yana nuksi..au ana damu ya Marekani huyu???​
 
Hii nimeikuta sehemu: Aaron Ramsey....alifunga bao dhidi ya Man United Mei 1, 2010 siku iliyofuata Osama Bin Laden akauwawa na Wamarekani...Ramsey juzi amefunga bao dhidi ya Marseille, siku iliyofuata Gaddafi ameuwawa.....magoli ya huyu dogo yana nuksi..au ana damu ya Marekani huyu???​
Mkuu kama ni hivyo basi baada ya bao hilo dhidi ya Man U Osama atakuwa aliuawa mwaka mmoja baadae. Osama aliuawa 2011
 
Hii nimeikuta sehemu: Aaron Ramsey....alifunga bao dhidi ya Man United Mei 1, 2010 siku iliyofuata Osama Bin Laden akauwawa na Wamarekani...Ramsey juzi amefunga bao dhidi ya Marseille, siku iliyofuata Gaddafi ameuwawa.....magoli ya huyu dogo yana nuksi..au ana damu ya Marekani huyu???​

Tuambie,wewe toka lini umerithi mikoba ya Sheikh Yahya?
 
]Mkuu kama ni hivyo basi baada ya bao hilo dhidi ya Man U Osama atakuwa aliuawa mwaka mmoja baadae. Osama aliuawa 2011[/B]

Hii nimeikuta sehemu: Aaron Ramsey....alifunga bao dhidi ya Man United Mei 1, 2011 siku iliyofuata Osama Bin Laden akauwawa na Wamarekani...Ramsey juzi amefunga bao dhidi ya Marseille, siku iliyofuata Gaddafi ameuwawa.....magoli ya huyu dogo yana nuksi..au ana damu ya Marekani huyu???​​
 
Ukiona hivyo basi ujue OSAMA na Ghaddafi yote dugu moja.
 
Hii nimeikuta sehemu: Aaron Ramsey....alifunga bao dhidi ya Man United Mei 1, 2011 siku iliyofuata Osama Bin Laden akauwawa na Wamarekani...Ramsey juzi amefunga bao dhidi ya Marseille, siku iliyofuata Gaddafi ameuwawa.....magoli ya huyu dogo yana nuksi..au ana damu ya Marekani huyu???​

akifunga jingine wewe unafuata kufa
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom