Arsenal vs FC Barcelona

Ni raha ilioje,watoto wa wenger wametukanwa na kudharauliwa sana,sasa naona arsena wanapiga pasi mpk 60 barca hawajagusa na ball posession arsenal 75 barca 25 ktk dkk 15 zamwisho,hao ndio the gunners silaha za maangamizi
 
kumbe mpo macho mlishaanza kusingizia wote mnaishi gombs so hamtaangalia mpira
 
kweli sina bahati na magoli wa ars yaani nimeweka kwenye mabomu kurudisha ars 2 safi sana ars..
 
Arsenal wamekoswakoswa dakika za majeruhi, mpira umeisha arsenal 2 barca 1.
 
Mungu amejibu sala zetu za leo,thank you GOD,amazing ARSENAL,pamoja daima!!!!
 
Back
Top Bottom