Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Chabanga 4-1
na Man Utd chapa 4-1

Man Utd ni vidume!!!!!!!!!!!!!!!! na Arsenal wamefundishwa mpira!!!!!!!!!!
Ploeni Arsenal hahahhahhhahaha



[LIVERPOOL 4 - 1 ARSENAL

MAN UTD 4 - 1 BLACKBURN R.
 
Chelsea match 1-1, still a return leg away - they can make it.

Manu lost 2-1, but have an advantage of an away goal despite playing 88 minutes with 10 players.

All to play for next week.

Wish them all the best.
 
hivi nyinyi mshawahi kuskia wazungu wakashabikia yanga au simba?,hata hawajui kama zipo,kwanini nyie mnawafagilia wazungu na maklabu yao?,mnatawaliwa kiakili,yanga oyeeeee
 
YeboYebo = Yanga...

Haha, kinachofagiliwa hapa sio u-rangi au u-taifa kijana mdogo weye (Under_age).

Sisi tunachofagilia zaidi kwenye soka la Ulaya ama kwingineko ni uwezo binafsi wa wachezaji na makocha wao. Aidha mifumo inayotumika kwao inatuvutia wengi na ukitaka kujua uliza Stars kama haipokei michango yetu tulio ng'ambo kuonyesha kuwa nasi twataka wawe na soka sawa na la Ulaya.

Actually najua wewe ni Arsenal na hayo umeandika baada ya kuona Klabu yako inasuasua... Pole zako!

Man U, Chelsea na Liverpool zinapeta si kitoto!

Haha, mwaka huu mwaka wetu!!!
 
Kumbe kuna chemba la Arsenal hapa. Haya nipo mazee.
Wewe Worm, acha kuongea lugha ya kiminyoominyoo kama Mourinho. Chelsea mko wapi sasa??
 
Haya tena Liverpool wamekunywa maji kutoka Fulham. Waswahili walisema Joggo la shamba haliwiki mjini. wamerudishwa nyumbani puta.

Hata Michuzi blog amesusa!



Arsenal Vs Chelsiki. Ndoto ya Mourinyo itaendelea au Wenger ana mguu? Tusubiri matokeo leo.
 
ben age imekata tunahitaji yanki km etoo 2 na wala si mwingine labda kwa mwingine nadhani teves ni bora zaidi ya huyu bwege batista na huyu mwenzie adebayo
 
Msimu ujao Wenger hataingia Bank wala kuandika check kununua mchezaji mpya..atafanya mabadiliko kidogo katika kikosi cha msimu huu ili kiweze kufanya kweli baada ya kuundwa kwa miaka mitatu sasa.
 
arsenal mziki mzito

yaani sipati picha ligi jinsi itakavyokuwa mdebwedo kwa arsenal kwani kwa sasa tuna mashine kali katika ushambuliaji yaani kwa kifupi hakuna wa kutuzuia ubingwa ni wetu

hakuna cha nani wala yule

hapa kazi 2
 
Arsenal hoi goli 1-1 na Blackburn kutoka Ewoodpark. Mpira wa kibabe kadi karibu 10 na moja red card kwa Blackburn.

Jehns Lehman bado anamuota Thiery Henry anaachia magoli tu!
 
Kusema ukweli ishu hata sio Jens Lehmann. I mean, kafanya makosa, sawa. Awekwe bench kidogo au Almunia aingie golini, haitaleta tofauti. i) Almunia sio mkali kama Jens ii) Kumweka benchi Jens kwaweza haribu confidence yake zaidi iii)Bora Jens abaki golini, confidence ijirudi. iv) Lehmann without confidence > Almunia. He will be fine.
Ishu Arsenal inahitaji striker mfunga magoli, period. Sielewi kwanini AW anakua stubborn hivyo. Sometimes analalamika vitu vya ajabu. Analalamika sijui Blackburn wako violent. Sasa si mpira ndo hivyo kwa timu zingine? Bolton walikuwa wanatesa sana Arsenal, sasa naona imekuwa Blackburn.
 
kwa kweli lehmani kazidi kufanya makosa ya kijinga tena ya kitoto mno,hv ule ni mpira kilichomsababishia kuupangulia golini ni nini hasa kama si uwendawazimu wake?

yaani kwa kweli anastahili lawama kwa kiasi flani na lazima aelewa kuwa masihara ya kitoto hayatakiwi

sioni sababu ya kuongeza mshabuliji mwingine kwani hao walioko wanatosha sana ila cha msingi ni kuwapa nafasi nyingi ya kucheza

kwani hao walio na washambuliji lukuki km man utd wanafanya nini?si wamekuwa mdembwedo?

cha msingi tusikate tamaa na timu yetu kwani ubingwa safarii hii ni wa kwetu 2
 
Alumunia ameokoa goli kuwapa Arsenal goli moja la ushindi na kuwapa kipigo cha kwanza Man City waliowatwanga United last week. (1-0) Sven not a happy man.
 
Back
Top Bottom