Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Timu kwa sasa inabalansi ya kutosha japokua kuna uzembe mdogomdogo katika ukabaji ndani ya box kwani mara kadhaa tunatoa penati laini ama kufungwa magoli ndani ya box kwa kukosa umakini katika kuondosha mipira.
Patnashipu ya Coq. na Xhaka ina matokeo chanya zaidi kuliko akicheza Elneny.
Tukiepuka majeruhi msimu huu kitaeleweka tu!
 
You call pessimism I call cautious look, mkuu. Kumbuka nilipost kabla ya mechi na anything can happen mpira ukishaanza. Stoke City ni timu moja inayotupaga wakati mgumu, nadhani unalijua hilo. It's easy kuwa "in know " baada ya kushinda/kufungwa
The potters huwa wanatusumbua sana wakiwa kwao Britannia stadium. Wakitia maguu pale the Emirates ni kichapo tu
 
c30af90454ccf1d7d2ed71d4ceaafc7f.jpg

Vitendo dhidi ya maneno.
Naona mmekalia nafasi za watu eee
 
Ikitokea hivyo naona tutakaa tena kileleni walau kwa masaa 24 ina raha yake ebo. Prof anajisifu kwa kuwa timu pekee iloyofunga magoli mengi mpaka sasa
 
last 16 uefa champions league

bayen munich vs arsenal
psg vs Barca

kweli uefa wanatafuta pesa inamaana hizo coupon huwa zinatokeaga tu kwa hizo timu tu??
 
Manchester City vs Monaco
Real Madrid vs Napoli
Benfica vs Borussia Dortmund
Bayern Munich vs Arsenal
Porto vs JuventusBayer
Leverkusen vs Atletico Madrid
Paris Saint-Germain vs Barcelona
Sevilla vs Leicester City
 
Back
Top Bottom