ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 43,602
- 89,932
Yani Cech kwenye penalty ni mbovu hafai aisee, sijawahi kumuona akisev penalty. Kwenye moves ndio yupo vizuri.Dahh ila kipa wetu cech mzuri tu kwenye matukio ya move, ila kwenye penalty ni kimeo sana, tangu msimu huu uanze ye penalty anafungwa tu tena ata bora angekuwa anazifata bali anaamishwa kabisa, Kweny game za uefa huko mbele mambo yakitokea kukawa na upigaji wa penalty basi itabidi wenger amkumbuke ospina