Duh Stoke kapata penati.
Damn, our best purchase Mustafi will be out for 4 weeks.Refa kawapa penalty Stoke
Joe Allen kajigonga mwenyewe ukutani afu wanapewa penalty..ajabu
Hongereni kwa kusawazisha
Unanijua vizuri sinaga hila, penye kusifia nasifia penye kuponda naponda........Khe khe kheeeeeeeee Hongera hii ya kweli kutoka moyoni kwako au ya kutusanifu?
upo sahihi mkuu,cech anazingua sana kweny penalt!Dahh ila kipa wetu cech mzuri tu kwenye matukio ya move, ila kwenye penalty ni kimeo sana, tangu msimu huu uanze ye penalty anafungwa tu tena ata bora angekuwa anazifata bali anaamishwa kabisa, Kweny game za uefa huko mbele mambo yakitokea kukawa na upigaji wa penalty basi itabidi wenger amkumbuke ospina
Unanijua vizuri sinaga hila, penye kusifia nasifia penye kuponda naponda........
Umeona replay ?
Pale refa mwingine anaweza kumpa red card
Nilikuwa nasubiri tu ujibu na ulivyoandika ndivyo nilivyotaka kuandika kama ukijibu. Ni kweli kabisa wewe ni mshabiki mzuri sana kusema kweli unaongeza uhai sana huku na kuleta furaha kubwa kwa mashabiki mbali mbali wa kandanda hapa jamvini ikiwemo wale wa timu yako na zile za maadui. Najua ukitoa hongera huwa inatoka moyoni mwako haina hata doa moja ahsante sana. Ngoja tumalizie ngwe ya pili hizi point tatu za leo ni muhimu sana. Tufunge angalau goli mbili nyingine au tatu ili tuweze kupumua kwa amani.
Hamstring inachukuwaga 3 weeks, Arsenal injuries unaongeza week au 2. Ozil kashagongaFour weeks.....?