Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sasa Mimi nashangaa kitu hapa kwa baadhi ya wadau, haya ni mapambano, tumepambana were kati ya timu nyingi zimepatikana 16 na sisi tumooo hatua inayofuata ukipigwa ndo kwaheri lazima upambane ndio upite, yeyote utakayepangiwa lazima umpige ndio usonge mbele hakuna mwepesi hapo ndio maana wamefuzu kama wewe ulivyofuzu, nasemajee aletwe yeyote ili tuthibitishe ubora wa kikosi chetu si tuko ligi ya mabingwa uoga wa nini? Tukipigwa na Barcelona, Madrid hao hakuna wa kulalamika ulalamike kivipi kwani huwafahamu kuwa wanapokezana kombee!!! Tugangamale tuu tusingetaka kupambana nao tusingeingia 16 bora
 
Asante Arsenal
 

Attachments

  • 1481290172970.jpg
    1481290172970.jpg
    28.3 KB · Views: 21
upload_2016-12-9_19-4-55.png


Leo Colney wakijiandaa na mtanange wa kesho lunch time .... ... ...

upload_2016-12-9_19-5-55.png


Prof kama kawa .... ... . Ding ... Dong.
 
619443932.jpg

Forget Alexis Sanchez and Mesut Ozil: Sorting Arsene Wenger’s future is Arsenal’s priority, hiyo ndio habari ya mjini hivi sasa.

Mawingu yametanda Emirates 13 degrees Centigrade na chance ya mvua kwa asilimia 40% kuanzia saa 9:00 mchana, kutakuwa na break ya mvua kidogo then chances itakuwa kubwa zaidi later at 80% (wakati wa mtanange na Stoke). Siku ya mvua wakati mwingine huwa inaharibu flow ya kabumbu, lets wait and see.
 
Verses Stoke City mmmh. Hii timu huwa inatuwekea ngumu na leo sina matumaini but let's go Arsenal
 
Back
Top Bottom