Dindai
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 925
- 1,623
Yeah ni kweli, ila naomba Ramsey asipone kabisaUmeelewa vibaya mkuu, me sijasema nimefurahi coq kuumia lahasha, nawewe unaweza kuwa mmoja wa wale tuliokuwa tunahitaji kumuona xhaka akianza, ila mzee akawa anasema ye anajali combination ya cazola na coq kwakuwa wamezoeana so xhaka ni lazima aanzie benchi, so maana yangu iko hivi, kwakuwa coq kaumia pia hii ni nafasi kwa wenger kutengeneza chemistry ingine kati ya cazola na xhaka ili awe na uwezo wa kuwapanga kulingana na aina ya game ilihali cazola anaweza kucheza na yoyote ambae atapangwa