Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nenda youtube m-google Lucas Perez, angalia magoli aliyofunga. Hiyo moja, pili huwezi kumlinganisha Mahrez na Perez kwa sababu wanacheza namba tofauti. Nadhani wewe ni mgeni kwenye football
 
He's another Podolski. Huyu jamaa Lucas sio upgrade kwa Giroud hata atom moja. Muda si mrefu tutawasikia mnanung'unika na kumtukana Wenger kwa kumleta huyu dogo. Ni bora wale anti-Wenger muanze kutukana mapema kabla ya Lucas kuingia dimbani.
 
Wewe hujui kitu kumhus Lucas
 
Wewe hujui kitu kumhus Lucas

Nakubali sijui, sijawahi kumwona akicheza hata hivyo stats zake na umri wake pia ukiangalia video uchezaji wake haupo tofauti na Podolski. Kitu kingine amecheza katika La liga ambayo ipo tofauti sana na PL ambapo mchezaji hapewi nafasi ya kuwa na mpira kwa Zaidi ya sekunde 10. Utakuja kusikia watu wakimpiga madongo kama wanavyofanya kwa Giroud.
 
Kwaiyo unataka kusema nitu wa kubutua butua hahahah rubuman umenichekesha sana
 
Mustafi vipi mazee mbna mbna kimya
Mustafi teyari ni mchezaji wa arsenal na ashafanya vipimo na akafuzu tangu juzi, na amesaini mkataba wa miaka 5 sema yeye kwakuwa ameitwa team ya taifa hivo work permit ndo imechelewa tofauti na lucas ambae yy hajaitwa team ya taifa, source bbc sports and sky ports
 
image.png
 
Tayari keshatangazwa na kutambulishwa....
 
Back
Top Bottom