Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wenger anafahamu wazi kwamba mwenye timu ya Lyon ni "very tough negotiator" hasa kwenye masuala ya "mpunga" na amesema anataka Euro 50M that's it.

Arsenal wangesogea angalau hata Euri 45M zingetosha.

Wewe unatafuta mshambuliaji halafu unaweka Euro 35M na watu wote wanaangalia PL ina pesa, si utani huo?

West Ham waliweka Euro £40M wiki iliyopita na ikakataliwa, yeye anaweka Euro 35M!

Lakini wanaweza kwenda tena, tungojee lakini isiwe tena Euro 35,000,001
Ya suarez
 
Arsenal wakiendelea kupiga zoezi mjini San Jose kwenye uwanja wa chuo kikuu cha San Jose.

Arsenal inajiandaa kucheza na timu ya MLS All Stars siku ya Ijumaa kwenye uwanja wa Avaya.

upload_2016-7-27_22-30-54.png

Kipa namba moja wa Arsenal Petr Cech akishiriki mazoezi.

Arsenal-training-session-at-San-Jose-State-University.jpg

Jack Wilshere, Gedion Zelalem na Theo Walcott wakiwa mazoezini.

Arsenal-training-session-at-San-Jose-State-University.jpg

Bosi Arsene Wenger akiangalia vijana wake.

Arsenal-training-session-at-San-Jose-State-University.jpg

Gedion Zelalem, Jeff reine Adelaide na Mohammed Elneny wakijifua mjini San Jose.

upload_2016-7-27_22-21-18.png

Kiungo mahiri wa zamani wa Arsenal Freddie Ljungberg ambae ni mmoja wa makocha wasaidizi wa Arsene Wenger akitoa ushauri kwa Jack Wilshere anaesikiliza kwa makini.

upload_2016-7-27_22-24-23.png

Santiago Cazorla sasa yupo fit tayari kabisa kwa mtanange wa ufunguzi wa ligi kuu ya Uingereza kati yake na Liverpool.

Arsenal-training-session-at-San-Jose-State-University.jpg

We Ospina vipi wewe, we si kazi yako ukipa wewe? ndivyo Theo Walcott anavyoonekana akimwambia David Ospina kipa wa pili wa Arsenal.

upload_2016-7-27_22-27-24.png

Hector Bellerin akijikumbusha kazi yake ya ulinzi.

Arsenal-training-session-at-San-Jose-State-University.jpg

Baada ya mazoezi unatakiwa upate bath ya nguvu ya "maji baridi" kama anavyoonekana Francis Coquelin.

Picha kwa hisani ya Arsenal FC

COYGs!!
 
Usajili Updates: Arsenal wanazungumza na Schodran Mustafi

must_630x423.jpg

Arsenal wanafanya mazungumzo na wawakilishi wa beki wa Valencia Schodran Mustafi ambae pia ni beki wa timu ya taifa ya Germany.

Kama nilivyoeleza hapo kabla kwamba maofisa wa Arsenal walikwenda Ujerumani mwishoni mwa wiki iliyopita, Mustafi anasajiliwa kuziba pengo la Per Mertescker ambae ameumia goti.

Mustafi likuwa ni mmoja wa wachezaji nyota wa Ujerumani kwenye michuano ya Euro 2016 nchini Ufaransa na anatarajiwa kusajiliwa kwa kiasi cha pauni kati ya milioni 23 na 26.

Wakati huohuo mchezaji mahiri wa mabingwa watetezi wa Uingereza Riyad Mahrez anatarajiwa kusaini mkataba na Arsenal katika siku zijazo.

ri_630x526.jpg

Riyad Mahrez kusajiliwa na Arsenal kwa gharama kiasi cha Euro milioni 44.

habari Zaidi kuthibitisha usajili huu muhimu kwa wana Gunners kuendelea kukujia.

Stay Tuned.
 
Arsenal on target katika mechi za maandalizi:

Washambuliaji ambao ni wa "back up" wa Arsenal Joel Campbell na Chuba Akpong, jana waiifunga MLS All Stars ya San Jose California kwa magoli 2-0.
chuba-akpom.jpg

Chuba Akpong akishangilia goli la pili alilofunga kwenye mechi kati ya Arsenal na MLS All Stars.

Alikuwa ni Chuba Akpong ambae alikamilisha ushindi wa Arsenal kwenye dakika ya 87 pale alipopokea pasi murua kutoka kwa Nacho Monreal.

Goli la kuongoza lilifungwa kwenye dakika ya 11 na Joel Campbell kwa mpira wa penalty baada ya baada ya kuangaushwa ndani ya eneo la 18 la MLS All Stars na beki wao Laurent Ciman.

Lakini kabla ya kwenda mapumziko, Didier Drogba akasawazisha goli hilo na kumfunga mchezaji mwenzake wa zamani wakiwa Chelsea Petr Cech.
didier-drogba.jpg

Drogba Kaka na mchezaji mwingine wakishangilia goli la kusawazisha.

Drogba mwenye umri wa miaka 38 alipiga shuti liliookolewa na Cech na baadae kuzuiwa na beki Rob Holding kabla ya kufunga goli la kusawazisha na kufanya matokeo wakati wa mapumziko kuwa 1-1.

arsene-wenger.jpg

Boss Arsene Wenger akifuatilia mechi hiyo huku akiwa hana wasiwasi.

Mechi ingine ya kujipima nguvu ya Arsenal ni kati yake ni timu ya Mexico Chivaz itakayofanyika siku ya jumatatu mjini Los Angeles.
 
Hata hivyo kama nilivyosema hapo mchana kwamba Lacazette hakuwa prime target wao wana prime target yao ambayo pengine ina dau dogo zaidi.

Sababu ni kwamba hiyo itakuwa cover kwa Girud na ukizingatia Theo Walcott nae yupo pia.

Hivyo wanatumia kila aina ya uhuni na mwenzie Gazidis kutaka kuchezea akili zetu wana gunners.
Unaanza kunielewa taratibu....

The biggest miser and delutional ni AW

nayasema haya kwa sababu mimi kama mimi nimekuwa mtetezi wake sana....kumbe he was Fooling me kama wengine wengi

msimu uliopita kabla ya Protest ya Game ya Norwich city ile ya "TIME FOR CHANGE ENOUGH IS ENOUGH"

aliongea pumba ambazo hazielezeki

in short arsenal hawako tena kwenye Financial Constraint bali wako na Narrow and old minded ya AW HATAKI kabisa kununua PROVEN players .....sio kocha tena ana act kama Shareholder its about bargains na Balance sheets!!! nyie mlio huko ulaya mnazingua mnalipa FEE za nini mlangoni pale Merchandise ambazo watu hawako tayari kuonyesha AMBITION?

AW has turned me to hate him since that day....aliongea Crap za hatari damn it!!!!
 
West ham wali-bid £32m sasa huyu mzee anafanya watu majuha anakwenda yeye na dau dogo zaidi £29.3m akitegemea nini sijui!?
Lyon wamesimamia £40m plus bonuses,ni kama anacheza na akili za watu,tazama waliojipanga tayari wameshafanya usajili wa maana yeye anasubiri dakika za majeruhi kiasi hata kama akifika dau timu inakataa kuuza kwa sababu hakuna muda au wachezaji wa maana wamekwisha sokoni,huyu ndio mzee wa "We were very close to a major signing" kuna watu wanasema...

"Wenger is known as the Professor, but over the past decade he has stopped professing. He, along with the club he controls, have grown stagnant. Never before has that been as obvious as it is this summer".
Simple anajua watakataa....then atakuja sema

"WE DID TRY BUT YOU KNOW TEAMS ARE NOT READY TO SELL"

au "I was close to sign him (lacazette) but we opted not to"

HAYA MANENO yake ya miaka kibao huyu babu ni mpuuzi
 
Usajili Updates: Arsenal wanazungumza na Schodran Mustafi

must_630x423.jpg

Arsenal wanafanya mazungumzo na wawakilishi wa beki wa Valencia Schodran Mustafi ambae pia ni beki wa timu ya taifa ya Germany.

Kama nilivyoeleza hapo kabla kwamba maofisa wa Arsenal walikwenda Ujerumani mwishoni mwa wiki iliyopita, Mustafi anasajiliwa kuziba pengo la Per Mertescker ambae ameumia goti.

Mustafi likuwa ni mmoja wa wachezaji nyota wa Ujerumani kwenye michuano ya Euro 2016 nchini Ufaransa na anatarajiwa kusajiliwa kwa kiasi cha pauni kati ya milioni 23 na 26.

Wakati huohuo mchezaji mahiri wa mabingwa watetezi wa Uingereza Riyad Mahrez anatarajiwa kusaini mkataba na Arsenal katika siku zijazo.

ri_630x526.jpg

Riyad Mahrez kusajiliwa na Arsenal kwa gharama kiasi cha Euro milioni 44.

habari Zaidi kuthibitisha usajili huu muhimu kwa wana Gunners kuendelea kukujia.

Stay Tuned.
Arsenal will not pay £44mil for Mahrez NEVER......this is Pure cooked rumour na British Tabloids

Mustafi habari yake ni RELIABLE wako mezani (source Skysports) ila Release clause ya £42mil sio rahisi huyo MISER kutoa pesa

the deal may collapse....penny pitching at Best
 
Mustafi.. Safi

Ila mahrez waheshimiwa naamin ulikuwa upepo tu msimu uliopita, si muhim sana kuwa nae pale.. Nna wasiwasi na msimu huu hawez kufanya alichofanya msimu uliopta
 
Unaanza kunielewa taratibu....

The biggest miser and delutional ni AW

nayasema haya kwa sababu mimi kama mimi nimekuwa mtetezi wake sana....kumbe he was Fooling me kama wengine wengi

msimu uliopita kabla ya Protest ya Game ya Norwich city ile ya "TIME FOR CHANGE ENOUGH IS ENOUGH"

aliongea pumba ambazo hazielezeki

in short arsenal hawako tena kwenye Financial Constraint bali wako na Narrow and old minded ya AW HATAKI kabisa kununua PROVEN players .....sio kocha tena ana act kama Shareholder its about bargains na Balance sheets!!! nyie mlio huko ulaya mnazingua mnalipa FEE za nini mlangoni pale Merchandise ambazo watu hawako tayari kuonyesha AMBITION?

AW has turned me to hate him since that day....aliongea Crap za hatari damn it!!!!
It's about the transfer policy of the club, stop hating the old man. Juzi tu hapa Gazadis alisema timu haiwezi kushindana na timu zingine kununua wachezaji wa bei ghali.

Kila timu ina policy zake when it comes to buying and selling players, I don't believe that it's all down to Wenger to make big money transfer decisions.
 
For your information AW controls all transfers there

Arsene is most powerful Manager in Europe

HAKUNA jambo atataka litapingwa....

Wana share same Vision na Bodi yake Haishangazi kukaa miaka 20 kama angekuwa anatofautiana nao Vision

Arsene na bodi yake ni WALE WALE zinduka Eli79 Arsene is fooling you wengine tumeshtuka
 
Arsenal will not pay £44mil for Mahrez NEVER......this is Pure cooked rumour na British Tabloids

Mustafi habari yake ni RELIABLE wako mezani (source Skysports) ila Release clause ya £42mil sio rahisi huyo MISER kutoa pesa

the deal may collapse....penny pitching at Best
Mi naenda na flow tu sasa sitaki tena kufuatilia transfer window
 
For your information AW controls all transfers there

Arsene is most powerful Manager in Europe

HAKUNA jambo atataka litapingwa....

Wana share same Vision na Bodi yake Haishangazi kukaa miaka 20 kama angekuwa anatofautiana nao Vision

Arsene na bodi yake ni WALE WALE zinduka Eli79 Arsene is fooling you wengine tumeshtuka
Hawezi kuwa na 100% control of transfers, siamini wala siwezi kuamini hili. Arsenal is an entity bwana, with major and minor shareholders, AW hawezi kudictate kiasi gani kitolewe kwenye dirisha la usajili hata siku moja. Arsenal sio simba wala Majimaji ya songea kiongozi.
 
Sasa kinachopelekea wenger ashindwe kinunua ata huyo striker wa bei poa ni nini
 
138 Reactions
Reply
Back
Top Bottom