Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal wameambiwa Lacazette atagharimu si chini y 40M na LACAZETTE akataka uhamisho Ijumaa, wao wamepeleka 35M, ajabu sana.

Huyu mzee sifahamu ana matatizo gani na pesa ambayo si yake.
Af sijui huwa anajisikia Vipi kusimama kifua mbele kua ataspend big this summer Yani daaah kwa kweli ili kabira nomaa duuh
 
Wenger anafahamu wazi kwamba mwenye timu ya Lyon ni "very tough negotiator" hasa kwenye masuala ya "mpunga" na amesema anataka Euro 50M that's it.

Arsenal wangesogea angalau hata Euri 45M zingetosha.

Wewe unatafuta mshambuliaji halafu unaweka Euro 35M na watu wote wanaangalia PL ina pesa, si utani huo?

West Ham waliweka Euro £40M wiki iliyopita na ikakataliwa, yeye anaweka Euro 35M!

Lakini wanaweza kwenda tena, tungojee lakini isiwe tena Euro 35,000,001
 
Wenger anafahamu wazi kwamba mwenye timu ya Lyon ni very tough negotiator hasa kwenye masuala ya mpunga na amesema anataka Euro 50M that's it.

Arsenal wangesogea angalau hata Euri 45M zingetosha.

Wewe unatafuta mshambuliaji halafu unaweka Euro 35M na watu wote wanaangalia PL ina pesa, si utani huo?

West Ham waliweka Euro £40M wiki iliyopita na ikakataliwa, yeye anaweka Euro 35M!

Lakini wanaweza kwenda tena, tungojee lakini isiwe tena Euro 35,000,001
Usinchekeshe
 
....mpira wa siku hizi ni pesa tu, yani usipozitoa wewe watazitoa wenzio, na hivi kuna pesa nyingi za TV timu za uingereza zitaanza kuzipata, bado nategemea kuona vurugu kubwa kwenye usajili.
 
TV kama sky leo wameingia mkataba na Chinese Super League wa miaka 3 kuonyesha mechi za ligi hiyo na wataanza kuonyesha Jumamosi ijayo.

Hivyo kuna pesa sana sasa hivi kwenye Premier League.
 
....mpira wa siku hizi ni pesa tu, yani usipozitoa wewe watazitoa wenzio, na hivi kuna pesa nyingi za TV timu za uingereza zitaanza kuzipata, bado nategemea kuona vurugu kubwa kwenye usajili.
Huyu babu mzembe sana kwenye kula bata ni nyoko ila usajiri anaona uchungu WA kutumia pesa zisizo zake
 
Arsenal wameambiwa Lacazette atagharimu si chini y 40M na LACAZETTE akataka uhamisho Ijumaa, wao wamepeleka 35M, ajabu sana.

Huyu mzee sifahamu ana matatizo gani na pesa ambayo si yake.
Huwa anafanya hivo kwa mchezaji asiemtaka, ndio kawaida yake, anacheza na akili zetu. Babu anapenda sana kununua wachezaji ambao hawana coverage kubwa ktk media wkt wa usajili.

Ona xhaka. Ona Takoma. Ona jana kwa Holding. Lacazatte na Mahrez, mpaka nione wamevaa Emirates Puma, ndio ntaamini!
 
I suwea ningekua muingereza huyu mzee nishavunja miguu siku Nying
 
Uku ireland kila mtu ananshangaa napataje courage yakushabikia arsenal yani daaah.... Unasikia "we heard you plan to spend big...did arsenè stall ur pig saving... Unabaki we in top four,die hard.. what record do you have in this past two years.. Ndo unajidefence hapo daa yan zigo kama pumbu huyu mzee
 
Hata hivyo kama nilivyosema hapo mchana kwamba Lacazette hakuwa prime target wao wana prime target yao ambayo pengine ina dau dogo zaidi.

Sababu ni kwamba hiyo itakuwa cover kwa Girud na ukizingatia Theo Walcott nae yupo pia.

Hivyo wanatumia kila aina ya uhuni na mwenzie Gazidis kutaka kuchezea akili zetu wana gunners.
 
Sizani
 
Back
Top Bottom