Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Line up against Man City
ImageUploadedByJamiiForums1462717737.724250.jpg

COYG.
 
Ilobaki ni kazi ya kushinda hii mechi ili kzai isiwe ngumu dhidi ya Aston Villa ambao wameikomalia Newcastle Utd wakitaka washuke nao daraja.
 
Usajili wa kwanza Guadiola anatakiwa kuufanya kwa Goalkeeper. Otherwise atachemsha mbaya sana kama atamtegemea Hart

BACK TANGANYIKA
 
FT
City 2-2 Arsenal
Point 1 Etihad inatosha.

Inatosha sana maana Man City na Chelsea hawatacheza CL mwakani.

Hio ndio argument ya tunaomtetea Arsene Wenger kwamba wale wanaotaka atoke Arsenal wanatambua kwamba kuna timu zingine kubwa kama Man City, Chelsea na Liverpool ambazo hazitacheza CL mwakani?

Man City hatopata nafasi hiyo endapo Man Utd watashinda echi zao mbili zilizobakia.

Champions League - 2016/17 Leicester, Tottenham, Arsenal na Man Utd/ Man City.

Europa League 2016/17 - Man City/ Man Utd, Southampton, West Ham na Liverpool.
 
Na nyie hamta shirika CPL kama mkifungwa mechi yenu na Aston Villa alafu man united na city wakishinda mechi zao zote
 
Na nyie hamta shirika CPL kama mkifungwa mechi yenu na Newcastle alafu man united na city wakishinda mechi zao zote

Mkuu, mimi sio mpenzi wa Spurs naona unazungumzia mechi ya mwisho kati ya Spurs na Newcastle Utd.

Mimi ni wa Gunners.

Arsenal inawakaribisha Aston Villa Emirates siku ya mwisho ya msimu wa ligi.

COYGs!!!!!
 
Nilichanganya. Ni Aston Villa
 
Back
Top Bottom