Arsenal (The Gunners) | Special Thread

ee bwana kweli the gunner ni sooo yani blackburn kapelekwa mchakamchaka kaa watoto wadogo kisha tukawafundisha soka tukawapiga 6-2 almanusra tuwapige wiki(7)

sasa hapo ligi ndio imeenza tunachukua pointi zote 12 ktk msimu huu wa sikukuu kisha mwenzi wa 2 2007 tutakuwa pale kileleni tunalinyemelea lile taji kubwa ambalo kwa sasa liko kibahati 2 kwa watoto wadogo chelsea ambao walikuwa na takribani miaka 50 hawajui utamu wa ubingwaaaaa

x-mas njema hususani kwa fans wa gunners kwani bao sita ni soo hii inamaanisha tumefunga na mabao ya mechi inayokujaaaaaaa
 
safi lakini game haikuwa bomba hiiiivyo

sasa hili la JENS LEHMAN kutaka kuondoka sijui vipi


kolosig.png
 
ale zake kona pamoja kutusaidia hii ni nafasi ya kutafuta kipa mwingine bora ili tuweze kufika mbali zaidi

sio km ni mbaya ila umri nao unampa mkona
 
kesho kimeo man utd kinakutana na wazee wa dozi ARSENAL mimi binafsi nadhani tutawafunga mabao machache sana kama 3 cz sioni beki gani kwa upande wa man utd anaweza kuwazuia helb&rosick kule pembeni,

pia km van persie ataanza game ya kesho,inawezekana hata idadi ya magoli nayo ikaongezeka
 
hayo majungu sasa,liverpool anaujua mziki wa ARSENAL wala hana cha kusema

tatizo ni kwamba fagasoni hakupata ushauri toka kwa benitez kwanza juu ya arsenal yy akaja kichwa2
 
Poleni Arsenal mmeshindwa tactics. Jifunzeni tactics kwenye kombe hili wanazotumia washindani wenzenu mnacheza soka safi lakini magoli ndio nyenzo.
 
ingekuwa bongo 2ngesema kulikuwa na mkono wa m2 kwenye ile game lkn ndiyo ukubwa huoo

mwajani 2takuwa bora zaidi,ila naomba mungu timu yyt ya england illibebe kombe la cl
 
Hamna Tabu, Hawakuwa Na Key Players Wao Vile Vile Kuwa-support Liverpool Kwenye Campaign Ya Champion League. One Of Four.
 
138 Reactions
Reply
Back
Top Bottom