Arsenal dhidi ya Leicester, Man City na Tottenham patamu leo

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
Mechi zitakazochezwa jumapili baina ya timu 4 za kwanza zitaamua mwelekeo halisi wa ligi hii yenye wapenzi wengi duniani.
Arsenal itamenyana na Leicester City ambayo bado inaongoza ligi ikiizidi Arsenal alama 5.
Arsenal iko kwenye nafasi ya tatu na ushindi wake utapunguza pengo baina yake na Leicester na kuipa matumaini zaidi ya kuendelea kupigana hadi mwisho.
Nayo Manchester City yenye nafasi ya 4 itaialika Tottenham iliyo kwenye nafasi ya pili.
Bila shaka mshindi atajiweka katika nafasi nzuri ya kuendelea na mbio za kuwania ubingwa.
Miongoni mwa mechi zitakazopigwa jumamosi hii ni Sunderland kupepetana na Manchester United na Everton kuzipiga na West Brom.
 
Namaliza mambo yangu mapema leo ikifika 1545hrs naanza na Sunderland na Man U mpaka jioni hiyo.
Weeked bila EPL kwangu bado haijakamilika aisee
 
leceister wakishinda hiyo mechi.ubingwa uleeeee
Hata wakidroo, mechi zilizobaki kwa wao ni winnable kama wakikaza buti, kwa form yao hizo mechi wanaweza shinda ingawa ligi haisomeki.
Ktk top 4 teams runs in za hao watatu yaani arsenal, spurs na mancity ni ngumu sana na watatakiwa hao watatu wacheze wenyewe kwa wenyewe yaani hawajakutana raundi ya pili bado.
 
Back
Top Bottom