ARSENAL BINGWA pamoja na majeruh wake

MUREFU

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,331
350
Wanajamii tena wanaARSENAL na mitimu mingne pinzan.Mkubal mkatae kesho kombe linakwenda kwa ARSENAL WENGER hii ni baada ya miaka mi3 kutokuwa nalo. Na kwaukwel ulio waz anashnda goli 3 kwa 1 kwa maelezo zaid chek mech sa nne kesho usiku. Senkyu senkyu THE GUNNERSSS OYEE...
 
all the best arsenal.......bro si miaka 3 ni miaka 5 kazi tunayo,but naamini 90 perc trophy inakuja emirate mwaka huu!!!!
 
Wanajamii tena wanaARSENAL na mitimu mingne pinzan.Mkubal mkatae kesho kombe linakwenda kwa ARSENAL WENGER hii ni baada ya miaka mi3 kutokuwa nalo. Na kwaukwel ulio waz anashnda goli 3 kwa 1 kwa maelezo zaid chek mech sa nne kesho usiku. Senkyu senkyu THE GUNNERSSS OYEE...

Ile shei Hiya Hiya kutangaza kustaafu tu, ameshaanza kupata warithi! Lol!! All the best ze Gannaz!
 
you gunners used to call carling cup 'kombe la mbuzi' i wonder how you get so excited now!! I cant wait to see you loosing guys.teh
 
you gunners used to call carling cup 'kombe la mbuzi' i wonder how you get so excited now!! I cant wait to see you loosing guys.teh

wameshndwa timu kubwa kubwa ikiwepo na timu unayoipenda na ndo mana unaiita kombe la mbuz kisa umelikosa he,he,he,he,heee... Pole sana the gunnerss wapo juu na uckose kushuhudia leo sa nne sawa kijana
 
Back
Top Bottom