Ariel Sharon yuko wapi?

Ndiyo kuna watu wana amka kutoka kwenye coma hata baada ya miaka ishirini but that is in some very rare cases. Hauwezi kuwa in that situation for that amount of time bila kua na brain damage. Lakini pia kuna factors mbili unabidi consider mkuu.

1.Umri.
Huyu bwana ana miaka 81 which is very old na past the life expectation of most developed countries. Sasa wa nini kumuweka mtu wa miaka 81 katika hali hiyo. Hata kama angekua kijana wa miaka 18 I don't see the point ya kumuweka mtu katika hali kama hiyo. Kumbuka kifo ni kwa kila mtu so hatuombi mtu asife bali tunaomba afe vizuri. Sasa je huko ni kufa vizuri?

2.Cost.
Kama ilivyo onyesha kwenye article ya mkuu BAK ambayo katu bandikia hapa, it costs that state $400,000 kwa mwaka kumhudumia huyu mtu. Je hiyo ni haki kweli kwa walipa kodi? Unatumia kiasi hicho cha pesa za wananchi kwa faida gani? Lazima mtu ucalculate cost & benefit. Jwa hali ya Sharon & hizo pesa it's a lose-lose situation kwa wananchi.
Nchi inayo ongozwa kifisadi unafikiria wanajali ilo!
 
Alichekelea sana na kutoa statements za ajabu ajabu Arafat alivyofariki. Watu wa camp ya Arafat wakatoa statement ya kumuombea na yeye wakati wake ukifika afe kwa taabu.. naona inatokea.
ushetani wa kusoma albadili unawanyevua, Ukweli ni kwama Sharon anateswa na allah ambaye ni mkuu wa kusumbua watu kwa magonjwa kwa njia ya albadili
 
Sharon kafanya mengi na kasema mengi lakini this one stands out and came back to haunt him.

“I vow that if I was just an Israeli civilian and I met a Palestinian I would burn him and I would make him suffer before killing him." - Ariel Sharon 1956

¬K
 
Kuna watu inawezekana hawatakiwi mbiguni wala duniani? yuko kwenye coma since 4/01/2006 todate!

"Ogopa maombi ya mwenye kudhulumiwa"

Ndugu TUMAINI

Inaelekea siasa za mashariki ya kati unazijua kwa upande moja tu( Kwa upande unaoamini kiimani)

Huyu bwana alifanya kosa kubwa saana machoni mwa wayahudi wenye siasa kali nawazungumzia wale waliomuuwa Rabin, pale alipowaondoa wayahudi ukanda wa gaza, Zawadi waliyohamua kumpa ni kumnyamazisha anachokiumwa Sharon Majasusi wa Israel wanajua na sio hizo sala zunu
 
Mmmh...!! Kaaazi ipo!
 
kwani sharon alifanya nini cha ajabu wajameni, hajafanya kosa lolote lile, isipokuwa moja tu, alilolifanya mbele za Mungu, la KUWAHAMISHA WAYAHUDI KINGUVU TOKA GAZA, akaondoa tora zao waziwazi, Wayahudi wengi walimwomba Mungu ahukumu jambo hili, kwasababu ardhi ile ni ya wayahudi, na hawakutakiwa kuondolea na sharon kinguvu vile. wote tunakumbuka namna sharon alivyowasaidia wapalestina kwa kuwahamisha kinguvu wakati wa kiyahudi kule gaza, akaacha gaza yote kwaajili ya wapalestina tu. hapo ndo coma yake ilivyoanza.

CHA KUSHANGAZA, naona kuna watu wengine wenye coma humu ndani ya jf, wanaofikiri labda, alipata coma kwasababu ya maombi ya waislam...hahaha, hiyo ndi ndoto ya mchana, uchawi wa koran na majini ya kiislam hayana nguvu juu ya wayahudi, yangekuwa na nguvu, wangeshinda vita ya six days, na wangewalonga kwa kutumia koran wayahudi wote. kama sharon alipata pigo, lilitoka kwa Mungu kwasababu Mungu anakataa kugawanya ardhi ya israel, hasa mji wake mtakatifu wa jerusalem. WAISLAM ONDOENI KICHWANI KWAMBA, uchawi wa kitabu chenu, majini mnayofuga na vitu vingine ambavyo mashehe wanavifanya kwa siri, kuwa vina nguvu, havina nguvu, na MUNGU HAYUKO UPANDE WENU, Mungu hayuko upande wa yeyote anayewashambulia waisrael. huu ndio ukweli. badilisheni fikra hii kuhusu sharon, huu ndio ukweli. wengi tulisikitika sana kwnaini aliwanyanyasa sasa wayahudi kiasi kile, akawaondoa kinguvu, akavunja makazi waliyokuwa wanakaa vile, CNN na BBC ilionyesha live, nilifikiri hii ingenkuwa ni furaha kwa waislam kumba kwa mungu wao,(kama kweli ni mungu wa kweli, pamoja na kwamba alah si mungu wa kweli)...lakini wamejaa chuki tu, ndio maana haamtakuja kufanikiwa hata siku moja, na ardhi ya palestina ni ya wayahudi milele. kama osama ameshindwa, mtaweza nyie...mbona osama ameshindw akuingia pale akaweza marekani, unafikiri Mungu hayuko upande wao hawa waisrael?
 
Mungu ameamua kumpiga makofi kwa kugawa ardhi ambaye yeye naye alipigania na hivyo yupo Hospitalini kwa Muda mrefu sasa
 
lakini tumwombee kwa Mungu amsamehe, kwasababu amefanya mambo mengi sana kwaajili ya taifa la israel. tuzidi kumwomba Mungu Hebron mji ambao aliujenga Daudi kipindi alipotoka kukimbia toka wa sauli, urudishwe mikononi mwa wayahudi. kwasasa kuna wayahudi kama mia nne hivi wanakaa pale, na wanajeshi wa kiyahudi kuwalinda hawa wayahudi ni 2000....this part iko westbank. kwa wale waliokwisha kufika israel wanafahamu eneo hili, ndiko kwenye kaburi la ibrahimu..ni pazuri sana, na wapalestina wanasema ni pa kwao ati....ajabu kusikia na kuona kuwa bethlehem ni mji mkuu wa palestina..bethlehem pale alipozaliwa Yesu ati. nafikiri waarabu wanatakiwa kupelekwa shule upyaaaa.
 
And u need a MAJOR lesson in history...
 
Bado yuko kwenye koma wamemtunza kweye oven. Atakuwa ashafariki huyo but hawataki kukubali!
 
Alishakufa muda mrefu, inaonekana taarifa hamna kabisa, nendeni google itawajibu.
 
Back
Top Bottom