Argentina yachapwa 6-1 kufuzu W.C

Shadow

JF-Expert Member
May 19, 2008
2,897
671
Maradona's Argentina hit for six

Argentina suffered their worst defeat in more than 60 years as they were thrashed 6-1 by Bolivia at high altitude in a World Cup qualifier.

Striker Joaquin Botero hit a hat-trick, while Marcelo Martins, Didi Torrico and Alex da Rosa also scored in the rout.

Luis Gonzalez replied for Argentina who also had substitute Angel di Maria sent off seven minutes after he had come on. Argentina coach Diego Maradona last year supported Bolivia's campaign to be allowed to stage games in La Paz.

But Maradona's side, who had won their first three games under his charge - and without conceding a goal - looked breathless in the rarefied air 3,600m above sea level.
And they also struggled with a pitch which looked well below the standard expected for an international match.

</B>

"Every Bolivia goal was a stab in my heart," said Maradona.

"If we had dreamed this was going to happen before the game, we would have thought it was impossible.

"We have to give merit to Bolivia who were better than us in every part of the field.

"There is nothing to say. They beat us well and now we have to start all over again.

"Bolivia played a great game and hit the target with every attack. "They all played well from the goalkeeper to the last substitute."

Story from BBC SPORT:

BBC SPORT | Football | Internationals | Maradona's Argentina hit for six

Published: 2009/04/01 22:29:36 GMT

© BBC MMIX

Print Sponsor
 
aisee, si mchezo.......this is the humiliation of the year
 
Hmmm!...kuna mgomo huko timu ya Taifa ya Argentina? maana kufungwa goli sita na Bolivia timu ambayo haina umaarufu wowote katika Ulimwengu wa soka ni maajabu makubwa. Labda Bolivia wamekuja juu sana kwenye kandanda ktika miaka ya karibuni.
 
BAK,

unajua ya kwamba uwanja wao uliwahi kufungiwa na FIFA. huko nyanda za juu sana na ni sawa na kucheza mpira kwenye kilele cha mlima kilimanjaro. Hewa ni nzito na kavu ila wenyewe wamezoea kukipeta katika hali hiyo.

Cha ajabu, Argentina hawajawahi kupigwa goli kiasi hicho karibu miongo sita(60 yrs). Labda kuna kitu zaidi ya hali ya hewa.
 
Ni kweli kabisa hali ya hewa kwenye uwanja waliokuwa wanachezea ilikuwa ni tatizo kubwa sana
 
Du noma, sasa Riquelme kapata pa kutokea na 'You see!'/'I told you'!Poor El Diego!
 
Maradona sasa ataanza kutumia mjunga tena.Hiki ni kipigo kweli
jamani...labda kuna mgomo kambini.
 
Ashukuru kuwa wamefungwa na hao jamaa kama wangefungwa na mahasimu wao Brazili kibarua kingekuwa mashakani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom