Argentina vs Brazil Sept 5, 2009

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
It's halftime, Brazil leading by 2 - 0.

1st goal on 24th min by Luisao and 2nd Goal by Luis Fabiano on 29th min.

Will Brazil score more? Will Messi make wonders and change results?
 
Ukraine imefanya mauaji... 5-0 dhidi ya Andorra...

Naona na Veron ndani ya nyumba
 
Argentina wanafanya mashambulizi ya nguvu sana dakika ya 53 inakwenda...
 
Heinze anaonekana kuwa bado fit kwa upande wa Argentina... dakika ya 54 inakwenda ya 55
 
Argentina makes a difference!

Brazil 2 - Argentina 1

An incredible goal by Dantalo...!
 
Hahahahaha, within a minute Brazil scores a 3rd goal thru Luis Fabiano.

67th minute
 
Dakika ya 79 inakwenda, Brazil bado wako mbele kwa bao 3 kwa 1 la Argentina
 
Full time...

Brazil makes it to go to South Africa 2010... Argentina has a hard way to go!

Brazil 3 - 1 Argentina
 
luisao on 24th minute and two goals from luis fabiano 29th and 67th minute were enough to quiten argentines and diego maradona.

argentina got their goal on 65th minute through datollo

ni maumivu kwetu wapenzi wa argentina na wapenzi wa diego maradona, kweli unaweza kuwa mchezaji bora kabisa kupata kutokea duniani lakini ukashindwa kabisa kuwa kocha.

ni bora diego maradona ajiuzulu tu
 
Victorious Brazil!
_46328571_bra.jpg



Na huyu jamaa si mchezo, kila gemu anapachika bao!
Luis-Fabiano_2322819.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom