Are you intellingent? jibu swali hili!

Majibu ni sawa na serikali inayofata utawala bora,serikali sikivu na yenye kuleta matumaini kwa watanzania,,additional point ni vema kutawaliwa na cuf,tlp ,cck na nccr mageuzi kuliko hawa waongo na wazandiki chadema,
 
yaani hata hizo sifa JK akiziona atajisikia aibu. Maana CCM haina hata moja hapo. ... Tunaishi chini ya utawala wa CCM.. Uongo wa kutudanganya wakati ukweli tunauona ulikuwa enzi hizo
 
Is equal to x,where by x,is any variable aka liwalo na liwe
 
nyie endeleeni kupiga majungu msifanye kazi , wengine tunazidi kuzikusanya.

224398_128941473864694_761823_n.jpg
 
Back
Top Bottom