Are we fighting an Endless Battle?.....

Vipi Kamanda mbona.....?

kitabu kinaendelea kusema kuwa Men are constant liars but women tend to lie before marriage but after getting married they NEVER lie. So kinashauri women tusiwetunachukulia too serious mkicheat au mkisema uwongo as ni nature yenu... ni kweli?
kicho kitabu FEKI
 
Dears I hope wote mu wazima and had a nice weekend.

Kidogo nimechanganyikiwa hapa na ninahitaji msaada wenu bandugu......
... Currently ninasoma hiki kitabu "Men are from Space, Women Must be from Heaven" By H. Madson.

Kuna sehemu inasema .....By nature men are hunters and explorers- they tend to have several affairs (Infidelate) because they feel insecure in nature and therefore need to prove their masculinity and male ego.......

......... And for women they do so in search of something missing from their marriages either attention, caress, emotional love e.t.c.

Kama hii ni kweli is it possibe that we ladies are fighting an endless battle which we will never win? kwa kupiga vita hii nature ya wanaume kutoka nje ya ndoa zao....Si wanasema you cant fight over nature??
Duh!!!:A S 39:,
:pray:Mungu saidia Fidel80 na Kaizer wasiione hii post maana walikuwa wameanza kubadilika wakiiona sijui watarudi nyuma kidogo Dah!!!!
 
Kuleni tano...huyu King Mswati anataka kuwa beberu kwa kujilimbikizia mali....
Katibu anaandaa kikao kujadili swala hilo...ajenda moja tu...rule 3 na Teamo...

Sorry...nilikuwa nje nacheka aseee! we katibu ni noma! Umenifanya naonekana chizi hapa kwa mkoloni wangu...dah!
 
Caroline yaani nilitamani hiki kitabu kingekuwa copy moja tu the whole world maana ningekuichoma kabisa na majivu kuyazika baharini. Nimechoka kabisa ...........Lakini nani aliyeitengeneza nature?? Nahisi kama alikuwa mwanaume vile!!
 
Mjukuu unaulizia meno mdomoni?

Lini ulishawahi kusikia Mungu mama? Mungu ni Mwanaume! MUNGU BABA! MUNGU BABA WA MBINGUNI!
 
Kuleni tano...huyu King Mswati anataka kuwa beberu kwa kujilimbikizia mali....
Katibu anaandaa kikao kujadili swala hilo...ajenda moja tu...rule 3 na Teamo...

hapa naamini sheria itanifeva!.....
1-KINGS WILL ALWAYS BE TREATED SEPARATELY
2-ALL QUEENS(i repeat ALL THE QUEENS) WILL BE MEANT FOR ONE KING ONLY(i repeat ONE AND ONLY ONE KING!)

The Following 2 Users Say Thank You to Roya Roy For This Useful Post:

Asprin (Today), Teamo (Today)​
 
Basi sasa Teamo, Asprin na Roya rudini kwenye mada..........

Samahani MJ1 huwezi kutengenganisha hi mada na infidelity....na pia huwezi kutenganisha infidelity na rules zake....pia huwezi kuwatenga infii's na infidelity....its a catch 22 situation..
 
Samahani MJ1 huwezi kutengenganisha hi mada na infidelity....na pia huwezi kutenganisha infidelity na rules zake....pia huwezi kuwatenga infii's na infidelity....its a catch 22 situation..

Katibu hii material umetoa kichwani ako au umenukuu kwenye katiba yetu?
 
Wanaume kuna raha gani mnayoipata moyoni mnapoamua kufanya cheating ?
Ni dhahiri roho zenu zinawasuta lakini mnazifanya ngumu kama chuma ili muendeleze Infidelity
 
Wanaume kuna raha gani mnayoipata moyoni mnapoamua kufanya cheating ?
Ni dhahiri roho zenu zinawasuta lakini mnazifanya ngumu kama chuma ili muendeleze Infidelity
Tunaitendea haki nature! Hata sisi hatupendi kufanya hivyo, lakini nature inatukataza. Unaweza kupingana na necha wewe?
 
Kamanda, unamaanisha KITABU au hiyo SENTENSI?
nimegundua inaweza kuwa sentensi... lakini tukimpa nafasi MJ1 anaweza kuweka chapter nzima hapa feki... kuna haja ya kucheki vizuri huyu platimun lady aseije akaharibu aisee
 
Wanaume kuna raha gani mnayoipata moyoni mnapoamua kufanya cheating ?
Ni dhahiri roho zenu zinawasuta lakini mnazifanya ngumu kama chuma ili muendeleze Infidelity
HEHEHE!
nitakujibu binamu.....

veery suun!ngoja kwanza nitoke nje nikaaaaaaa:A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking:
 
Back
Top Bottom