Are we addicted to Foreign AID!?

Swali langu ni kuwa "what will happen if our "donor friends" cut off foreign aid to our country?

Cutting off foreign aid could very well reduce the number of mafisadis and thus close the gap btn the haves and the have nots....

Also, with or without foreign aid, we will still live....
 
Swali langu ni kuwa "what will happen if our "donor friends" cut off foreign aid to our country?

That will be the best "aid" ever! same as weaning a baby off breastmilk, atalialia lakini atajifunza tu kunywa uji. Shida ni kwamba the some of the so called aid most times goes back to the donors in a way in terms of consultancy fees, purchaces of raw materials and the like
 
Mimi natamani nione mtu mashuhuri anatoa wito wa kukatisha misaada ya kigeni hasa ile isiyo ya lazima (ya kujenga vyoo, kukusanya takataka, kujenga kliniki n.k), na hasa ule wwa direct budgetary support... ninachotaka kusikia ni reaction ya serikali itakuwaje..
 
Woow....labda mtu huyo asiwe mzungu...maana akiwa mzungu issue yote itachukua dimension nyingine kabisa....
 
Woow....labda mtu huyo asiwe mzungu...maana akiwa mzungu issue yote itachukua dimension nyingine kabisa....

Nyani acha wakate tu na kwa taarifa yako watakata kutokana na hali ya kiuchumi na wachina nao watatoa kiduchu tu kwani na wao wanawakopa west na wanategemewa kuplay part kubwa kuliokoa Taifa la marekani kutoka kwenye hii hali mbaya ya kichumi.
Misaada ikatwe,kwasababu ni maajabu kuwa pesa za kufanya social services zinatoka kwa wafadhili na za ufisadi zinatoka kwa wananchi.
 
Mzee Mwanakijiji,

Kama Taifa na hasa kama Raia ambao si viongozi, tuna nafasi nzuri sana kuanzia mwaka huu kuanza kupiga vita ulevi wa misaada.

Uchaguzi wa madiwani unakuja mwishoni mwa mwaka huu, je sisi wapiga kura tuko tayari kukataa hongo, takrima na rushwa kutoka kwa wagombea udiwani na vyama vyao?

Kama tunaweza simika mkuki ardhini na kukataa vileo vya pilau, fulana na ahadi hewa na kuhoji wagombea ni yapi waliyoyafanya na kuwapima wagombea udiwani hawa kama ni watu wanaojitegemea au ni saidia masikini, tunaweza kwa kiwango kikubwa sana kugeuza sura yetu ya kuwa Taifa dhaifu linalotegemea misaada.

Mwakani tutapata fursa ingine kwa ajili ya uchaguzi mkuu. je tunaweza kuondokana na kushangilia wale wenye kutuchinjia ng'ombe na kutupa Rubisi na kuwa wakali kutaka uwajibikaji na kujitegemea? iwe ni kwa wabunge, wawakilishi hata Maraisi?

Tusisubiri Wafadhili wa ndani na nje wasitishe misaada yao au wapokee maombi yetu, bali ni sisi kuamua kuwa sasa imetosha, tutafanya kazi kwa bidii, tutakuwa makini katika matumizi yetu na kujiwekea akiba tosha kulijenga Taifa imara.
 
Mchungaji, umeleta angle nzuri sana kwenye hili. Watu wengine kwao wafadhili wa karibu siyo wale walio ng'ambo bali wale waliokaribu ambao kuelekea uchaguzi wa mitaa na ule mkuu watajaribu kwa kila namna kuleta "misaada" ya kila namna. Je wananchi wanaweza kushawishiwa kukataa kupokea misaada hiyo? au iwe kama "Kula kwa KANU, lakini KURA kwa RAINBOW"?
 
Ukisema as a people unakosea hapa wenye mamlaka ndio wanaonufaika na foreign aids kwanza wakiweka budget lazima sehemu itoke paris club na wana sign mou na mashirika na wadau wa misaada ili wasaidiwe.
Hawataki kujenga uwezo wa kitaalam na technologia kwa watu wao ili wa nje watoe msaada. Sie wananzengo tunapambana na hali zetu hiyo misaada ni serikALI NA VIONGOZI na hatuna wala hatujawahi kuwa na addiction nayo kama hata value ya kodi tunayolipa kwa mabavu tu hatujawahi kuuliza.

MMM hili lakwenu zaidi nyie vibaraka na wakuda wenu.
By. M. M. Mwanakijiji
Yes we are! As a nation and as a people we are totally and absolutely addicted to foreign aids. We can not think, we can not walk or work, we can not function without a daily and unhindered dosage of millions of dollars from our suppliers! We tried in the past to take them as if we were ordered by a doctor; we said courageously then that we would like to be aid free; we called that position of ours as kujitegemea. That, we didnt need extra shots of this drug which started to spread like wildfire in the post colonial period not just in Africa but Asia and Latin America as well.

Our resistance proved to be futile to put it in a Star Treks lingo. Slowly but surely, we started enjoying this irresistible, sweet, and highly addictive drug of foreign aid. We systematically started to kinga mikono to our suppliers whom we called then (and still do today) our donor friends. Yes! They are our donor for they donate to us this powerful drug; and yes! They are our friends, for that is what we think of them and as such we have accepted them. Otherwise, how can we continue to receive this drug if we did not perceive them as our friends?

As we continued using this addictive and destructive drug our lives seem to be normal, now it seems we can function normally as a society, we can do politics as if we are good at it, we can plan for the future and come up with a whole package of different programs to show that we are indeed a normal people. Basically, we are functioning addicts!

Alas! May the truth be told, as a nation we can only function at least semi-effectively as long as there is this constant flow of foreign through the veins and capillaries of Tanzania, without which we will collapse like pieces of cookies in a milk jar! We depend on this drug, we beg for it, we long for it, we sing with high pitched voices, screaming and rukarukaring like kids in a candy store. Whenever we are promised that there is some more coming we smile so wide and our eyes get teary with joy! Our desires are stirred like a man tempted by that midnight temptress in the fortress of passion!

With fanfare marked with singing, music, ululating, showering of praises like what we have just seen when the Chinese leader was in the country few days ago or when the American President was here exactly a year ago we organize all kinds of parties to celebrated the signings of new delivery of this foreign substance into our national body.

I know you probably dont believe me! You probably ready to ridicule me and say mwanakijiji here you go again and say with confidence of one addict to another we are not addicted sir, how dare you! you probably ready to make a seemingly rational argument that this aid is necessary for national development, that these are our friends and we need them!

Pity on you fool! If you dont believe me, if you think Im just hallucinating because of my withdrawal symptoms, or if you think Im just out of my mind you probably are right! But just think if you will, what will happen if we stopped foreign aid inflow to Tanzania? I mean, just like say tomorrow, cut all aid! Do you have any idea what will happen to the country and to the people (the most addicted one) in power? I do. I surely do my friends, I really do.

On the other hand, I might be the fool who need another dose!

Now that will be a lesson for another discourse!

Yours truly,

May this also be a Witness against us!

M. M. Mwanakijiji
 
Ukisema as a people unakosea hapa wenye mamlaka ndio wanaonufaika na foreign aids kwanza wakiweka budget lazima sehemu itoke paris club na wana sign mou na mashirika na wadau wa misaada ili wasaidiwe.
Hawataki kujenga uwezo wa kitaalam na technologia kwa watu wao ili wa nje watoe msaada. Sie wananzengo tunapambana na hali zetu hiyo misaada ni serikALI NA VIONGOZI na hatuna wala hatujawahi kuwa na addiction nayo kama hata value ya kodi tunayolipa kwa mabavu tu hatujawahi kuuliza.

MMM hili lakwenu zaidi nyie vibaraka na wakuda wenu.

Unafikiri kikiwa addicted kichwa miguu na vidole viko salama? Labda hujui misaada hii inagusa Hadi wapi.
 
Unafikiri kikiwa addicted kichwa miguu na vidole viko salama? Labda hujui misaada hii inagusa Hadi wapi.
Mzee Mwanakijiji: upo sawa kbs kwanza tujiangalie katika mfano mdogo tu wa kifamilia, anapotokea mmoja wa wanafamilia kuwa na mafanikio krb ukoo wote humsujudia na kumuona kama kimbilio na muokozi wao. watu hawafikirii kumtumia ili nao wapate mafanikio na kijitegemea ili kustwisha jamii kimaendeleo wanabweteka na kukalia kumsifia kwa wengine.
 
Swali langu ni kuwa "what will happen if our "donor friends" cut off foreign aid to our country?
Itakua ni janga kubwa na vilio na kusaga meno, mfano mdogo ni Zimbabwe wa Mugabe yani sipati picha.
Pamoja na misaada, mikopo, ruzuku na mapato ya ndani ya nchi zetu bado tupo hoi wakisitisha ni maafa makubwa.
 
Lakini nadhani kwa kesi ya Tanzania inaweza kuwa tofauti? Sidhani kama Zimbabwe iliingia kwenye matatizo kwa sababu ya kusitishwa kwa misaada; kusitishwa kwa misaaza kuliongeza tu ukali wa kilichokuwa tayari kinaendelea na sera yao ya ardhi na utawala. Ni kweli hata kwenye addiction huwezi kumuondoa mtu kwenye madawa kwa ghafla anaweza kufa..
 
Mzee Mwanakijiji: upo sawa kbs kwanza tujiangalie katika mfano mdogo tu wa kifamilia, anapotokea mmoja wa wanafamilia kuwa na mafanikio krb ukoo wote humsujudia na kumuona kama kimbilio na muokozi wao. watu hawafikirii kumtumia ili nao wapate mafanikio na kijitegemea ili kustwisha jamii kimaendeleo wanabweteka na kukalia kumsifia kwa wengine.

Mfano wako wa familia nimeupenda sana; mara nyingi na toka zamani yule aliyefanikiwa zaidi alitumika na familia na hata ukoo kuwainua wale wengine. Hivyo, shangazi na wajomba walituma watoto wao kwa ndugu yao ili wasome au wasomeshwe. Lengo ilikuwa yeyote anayefanikiwa naye anapokea jukumu la kusaidia walio nyuma yake. Itakuwaje lakini baada ya mtu kujitolea kusomesha ukoo mzima bado watu wanaendelea kwenda kwake kumuomba msaada badala ya kuendelea kujifanikisha wenyewe? Je, ni sahihi mtu aliyesomesha wazazi, aje bado kusomesha na watoto na wajukuu kwa vile tu yeye alifanikiwa mwanzo?
 
Back
Top Bottom