Are spies made or born?

Hivi hao wanaofanyakaz kwenye intelligence agencies kama CIA n.k nao huwa wanaugua ukichaa??..je kuna mtu ashawahi kumuona mmoja wao amechizi?...kama ndivyo vipi kuhusu siri huwa wanatoa wakichizi au?...wenye uelewa Na ushahidi wa hili naomba kufahamishwa!!!.
 
Hivi hao wanaofanyakaz kwenye intelligence agencies kama CIA n.k nao huwa wanaugua ukichaa??..je kuna mtu ashawahi kumuona mmoja wao amechizi?...kama ndivyo vipi kuhusu siri huwa wanatoa wakichizi au?...wenye uelewa
Na ushahidi wa hili naomba kufahamishwa!!!.

Maji + Moto wee mkuu una mambo kweli duuh
 
Mkuu Infantry Soldier mi naweza kidogo nikazungumzia suala la Edward snowden na U.S,binafsi naona U.S wametumia mbinu ya tujidhalilishe kwa hiki kitu kidogo ili tupate kitu kikubwa,kwa maana hiyo snowden kuondoka na kuachia siri ambazo wengi wakidhani ni jinsi gani zile taarifa zinaweza kuathiri taifa hilo kubwa lakini kumbe U.S ndo wamepanga iwe hivyo kwa mtizamo wangu snowden kutangaza vile ni kuteka concetration za mataifa yaliyokua yamekusudiwa ikiwa ni china,Russia,North korea,iran...ili atakapoingia nchi kati ya hizo awape zile taarifa ambazo U.S wamedhamilia na hazina madhara makubwa kwao kisha snowden achukue taarifa ambazo zimekusudiwa kisha aondoke mara1 au kuwatumia haraka,kwahiyo U.S walifahamu na walipanga mchezo mzima wa Snowden ili wapate wanachokihitaji,SO
IN THE EYES OF U.S SNOWDEN IS NOT ATRAITOR BUT THROUGH MEDIA SNOWDEN IS A TRAITOR.
 
wakuu de'levis Yericko Nyerere na Freelancer and the rest, kwa namna dola la kiislam la Iran lilivyo fully alert kiusalama kwa kujua fika ya kwamba nchi za ulaya na marekani zinataka kuisambaratisha kama walivyoitafuna na kuichanachana taifa la Iraq ya Saddam Hussein, mnafikiri ni umakini mkubwa kiasi gani "intelligence officers" wa mossad, cia, MI6 na idara zingine za kijasusi za kimagharibi zinatumia kukusanya taarifa ndani ya Iran via human means (achilia mbali satellite surveillance)? ama tuseme the west no longer run human spy rings in persian soil???!!!!!!!!!!
 
mkuu moto wa maji asante sana kwa kunipa mwanga juu ya hili. kuna kipindi mimi niliwahi kuwaza kuwa hizi taarifa anazomwaga Edward Snowden walikuwa nazo Russians sasa walitafuta mtu wa kuwapigia vuvuzela ambae dunia ingeweza kumwamini moja kwa moja, kuliko kama yeye Russia angeamua kumwaga siri za marekani moja kwa moja kupitia media zake.
Nilikuwa ninawaza tu...
 
wakuu de'levis Yericko Nyerere na Freelancer and the rest, kwa namna dola la kiislam la Iran lilivyo fully alert kiusalama kwa kujua fika ya kwamba nchi za ulaya na marekani zinataka kuisambaratisha kama walivyoitafuna na kuichanachana taifa la Iraq ya Saddam Hussein, mnafikiri ni umakini mkubwa kiasi gani "intelligence officers" wa mossad, cia, MI6 na idara zingine za kijasusi za kimagharibi zinatumia kukusanya taarifa ndani ya Iran via human means (achilia mbali satellite surveillance)? ama tuseme the west no longer run human spy rings in persian soil???!!!!!!!!!!
Swali zito sana. Kwa mtazamo wangu kuoperate spy ring kwa nchi kama Iran ni hatari sana. Kuisambaratisha Iran itakuwa ngumu ila wanachoweza kuambulia ni taarifa sensitive ya kwamba jamaa wana mpango gani. Ni sawa na North Korea. Kitachokuwa kinatokea labda ni recruitment ya individual assets ambao wana work independently kwa ajili tu kutoa taarifa nyetii. Katika ideology yeyote ile lazima kuna watu ndani ya mfumo ambao wanafanya kazi chini ya ile ideology lakini hawakubalini na ile ideology. Mfano enzi za ukomunisti kuna KGB spies walijitolea kutoa siri kwa wamarekani si kwa sababu ya kuwa black mailed au kwa sababu za kifedha bali tu walikuwa hawakubaliani na ideology ya kikomunisti na hawa unaweza kuta walikuwa ni jamaa very senior kwenye military au KGB..Mfano kuna mmoja nimemsahau jina. Ila ila top colonel alikuja kuuzwa nafikiri na kati ya double agents Robert Hansen (F.B.I) au Ames wa C.I.A. Akala risasi za kichwa. Kwa hiyo siamini kwamba kwa asilimia mia kwamba mossads hawana local assets ndani ya Iran. Ndo maana wana information nyingi sana za kuhusu mipango ya kinyuklia ya Iran. Kwa hiyo nachojaribu kusema mimi ni kwamba lazima watokeee watu wachache ambao wapo ndani ya mfumo lakini hawakubaliani na ideology ya mfumoo kwa kiasi fulani...Hao wanaweza wakawa poetential assets. Ila adhabu ya kukamatwa kama double agent ndani ya Iran hainaa chonde chonde.
 
hypothetical example on how double agents are made;

An executive assistant to a dictator, Sally, has a religious experience that turns her against him. So she quietly makes contact with a foreign intelligence agency and, to prove her bona fides, leaks a copy of a speech the dictator will give before he actually gives it. She's now a mole, and the foreign intelligence agency will do what it can to keep her where she is so that she might continue leaking.

But the dictator's own intelligence service finds out that Sally's been a mole, so he ships her children to a boarding school and threatens to kill them if she doesn't cooperate and leak disinformation to that foreign agency. Now she's a double agent, and it's up to foreign counterintelligence to figure out that their mole is no longer providing intelligence.

I WILL BE BACK
Huyo ni double agent wa disinformation....
 
Swali zito sana. Kwa mtazamo wangu kuoperate spy ring kwa nchi kama Iran ni hatari sana. Kuisambaratisha Iran itakuwa ngumu ila wanachoweza kuambulia ni taarifa sensitive ya kwamba jamaa wana mpango gani. Ni sawa na North Korea. Kitachokuwa kinatokea labda ni recruitment ya individual assets ambao wana work independently kwa ajili tu kutoa taarifa nyetii. Katika ideology yeyote ile lazima kuna watu ndani ya mfumo ambao wanafanya kazi chini ya ile ideology lakini hawakubalini na ile ideology. Mfano enzi za ukomunisti kuna KGB spies walijitolea kutoa siri kwa wamarekani si kwa sababu ya kuwa black mailed au kwa sababu za kifedha bali tu walikuwa hawakubaliani na ideology ya kikomunisti na hawa unaweza kuta walikuwa ni jamaa very senior kwenye military au KGB..Mfano kuna mmoja nimemsahau jina. Ila ila top colonel alikuja kuuzwa nafikiri na kati ya double agents Robert Hansen (F.B.I) au Ames wa C.I.A. Akala risasi za kichwa. Kwa hiyo siamini kwamba kwa asilimia mia kwamba mossads hawana local assets ndani ya Iran. Ndo maana wana information nyingi sana za kuhusu mipango ya kinyuklia ya Iran. Kwa hiyo nachojaribu kusema mimi ni kwamba lazima watokeee watu wachache ambao wapo ndani ya mfumo lakini hawakubaliani na ideology ya mfumoo kwa kiasi fulani...Hao wanaweza wakawa poetential assets. Ila adhabu ya kukamatwa kama double agent ndani ya Iran hainaa chonde chonde.

mkuu Freelancer unajua nilikuwa nikijaribu kutafakari namna counter-surveillance teams za Iran zilivyo makini mpaka nikawa ninashangaa hawa wazungu watafanyafanya nini mpaka kupandikiza watu katika mfumo wa hawa watata wa Uajemi. Kwa maana kama sikosei kuna jasusi moja la kimarekani lilikamatwa na hao hao wairan baada tu ya kutia mguu wake na hata kabla hajaanza kufanya kazi ya namna yoyote ile...

Freelancer and how creative should "intelligence officers" be kwa kuzingatia ya kuwa maadui kila sekunde wanapanga na kuja na mbinu mpya za kuvuruga na kusambaratisha nchi (kama vile Iran)
 
Ni kazi yenye mafunzo yake..Na pia kipaji binafsi cha mtu kinaweza kumsaidia akawa ofisa mzuri. Ni si kazi ya mtu mmoja inaweza kuwa kazi ya maelfu ya maofisa wote wenye lengo moja la kuhakikisha nchi ipo salama. Taairifa zinakusanywa kutoka vyanzo mbali mbali na hizo ndo zinasaidia kujua kwamba kuna imminent threat au hakuna. Lakini mara nyingine inaweza kutokea kwamba events zikaenda kwa kasi sana kuzidi kasi ya intelligence officers kukusanya na kuchambua taarifa kwa hiyo tukio likatokea wakati unakuta intel ndo ilikuwa jikoni bado haijawiva. Katika karne ya 21 teknolojia ina faida kubwa sana hasa intelligent computers. Hizi zinaweza kuwa trained labda ku pick patterns fulani kwenye mawasiliano ya watu ambazo hazipo normal na kutoa alert kwa maofisa kufuatilia kwa ukaribu zaidi. ...Kwa hiyo bila taarifa hakuna intelligence..Wanatumia ile theory ya kwamba the one who has information has power. Kwa maana hata decisions zake zitakuwuwa well informed kuliko yule mtu asiye na taarifaa. Kwa hiyo mtandao mpana wa ukusanyaji taarifa na ulio efficient ndo siri ya wao kuweza kufanya kazi kwa mafanikio. Kwa hiyo majasusi wanapaswa kuingiliana sana na jamii ili kupata taarifa amabazo mwanzoni zinaweza zikawa kama Umbea. Mfano mtu anasema aisee ile nyumba ya jirani kuna watu siwaelewi elewi naona wanaingiaga na kutoka. Sasa katika kuongea hivyo huwezi jua nani anasikiliza.. kwenye mijumuiko ya watu huwa hakukosekani jambo kuna mtu tu ataongea kitu na trend ndo inaanzia hapoo. Na pia binadamu ambaye hajafunzwa jinsi ya kutunza siri ni ngumu sana akakaa na kitu moyoni asimuambie mtu yeyote wa karibu. Au pia ni rahisi kwa mtu wa karibu kujua kwamba kuna ndugu yao au rafiki yao hakipo sawa. Sasa ile sharing network inavyotanuka kuna mahali taarifa zitakuwa intercepted tuuu...
 
daaaaaah mkuu Freelancer upo vizuri sana au wewe una undugu na huyu jamaa de'levis
 
Freelancer Weltmeisterschaftung na Infantry Soldier naombeni mnisaidie hili;-

kati ya "field officer" na "intelligence analyst" who should be smarter than the other?
I think smartness ni relative kutegemeana na mazingira ya kila mmoja. Kila mmoja anatakiwa kuwa smart kwenye kazi yake maana majukumu yao hayafanani. Analyst anaweza akawa na kazi ya kuintepret kile anacholeta field agent na pia kumpa tech support pale anapokuwa field. Field agent naye wakati akiwa kazini anaweza kukutana na changamoto ambazo inabidi atumie akili kubwa kujinasua. Ndo maana wanaambiwa kabisa ukikamatwa hatukujui tunakukana. Kwa hiyo hakuna mwenye umuhimu zaidi ya mwingine. Ila naweza kusema field agent ndo ana challenges kubwa katika kazi yake sababu anakuwa exposed kwenye hatari sana katika utekelezaji wa majukumu yake kwa hiyo anatakiwa awe na uwezo mkubwa sana wa kusoma situations na kufanya quick decisions maana usallama wake unategemea hivho kitu. Analyst naye anatakiwa kuwa na akili ya ku make sense ya aggregated information ili iwe intel kwa haraka sababu delay inaweza ikaslow decision making na kuleta madhara kama kuna imminent threat. Kwa hiyo bado ni ngumu kusema yupo anatakiwa kuwa na akili zaidi maana ni watu wawili ambao nature ya majukumu yao ni tofauti na wanategemeana katika ufanyaji kazi ili kupata intel.
 
Hello,Freelancer na de'levis Sulphur Hexafluoride na wengine wote,
Wakuu, hapa pana jambo nahitaji kuelewa, juu ya hii dhana ya mtu au watu fulani walio nje ya mfumo [sio wanaintellegencia] kutumiwa kupata taarifa
1. je usalama wa mtu ama kundi lililotoa taarifa lina hakikishwaje kuwa hawatadhurika?

2. Je kuna uwezekano wa watu wa intelligence system wenyewe kumpoteza aliyetoa /aliyewapatia taarifa hata kama ni kwa siri na kwa hata malipo ya fedha au kitu chochote watakachokubaliana na mtoa taarifa?

3. Wakati uo huo kwa mfano akitoa taarifa na kundi alilotoa taarifa zao likawa linataka kumdhuru sasa hao watu wa intelligence system [hapa nazungumzia system ya nchi yoyote ile] wanamsaidiaje au kumlindaje ili asiumizwe au kupotezwa?

Ama na hii ya mtoa taarifa inakuwa ni sawa na mfanyakazi wao katika mfumo kuwa akikamatwa wanamkana kuwa hawamfahamu?

Asanteni kwa majibu.
 
Poise kutokana na kusoma kwangu google kuna haya ambayo ninafahamu na nitakujibu kwa mfumo wa questions (Q) and answers (A)

Q: 1. je usalama wa mtu ama kundi lililotoa taarifa lina hakikishwaje kuwa hawatadhurika?

A: katika hali ya kawaida kama mtu hajapitia mafunzo yoyote ya kiusalama (mtu wa kawaida sana) huwa inahitaji umakini wa hali ya juu sana katika ku-handle taarifa za siri za kiusalama na kuhakikisha zinafikishwa pahala husika laa sivyo mtu anaweza kukutwa na madhara hata kabla ya kufikisha taarifa hizo sehemu husika.

kwa hapa tanzania sijui ni wapi taarifa hizi mtu wa kawaida anapaswa kufikisha, ingawa wengi wanasema ni polisi, ila kwa nchi kama marekani kuna office maalumu ya kupokea taarifa za wananchi juu ya masuala ya matishio ya kiusalama (counterintelligence office) na hii ofisi ipo chini ya FBI na mwanajeshi ama polisi yeyote hapaswi kutoa taarifa kama hizi za kijasusi kwa mtu yeyote aliye juu ya chain of command yake.

Q: 2. Je kuna uwezekano wa watu wa intelligence system wenyewe kumpoteza aliyetoa /aliyewapatia taarifa hata kama ni kwa siri na kwa hata malipo ya fedha au kitu chochote watakachokubaliana na mtoa taarifa?

A:
linapokuja suala la kupokea taarifa za kiusalama kutoka kwa mtu wa kawaida aliye nje ya system, hizo taarifa zinaweza kuwa sahihi ama si sahihi zenye lengo la kuwapoteza malengo na mikakati yenu. mtoa taarifa anaweza kutumwa hata na maadui ama mahasimu wenu ili kuwa-deflect malengo. hivyo baada ya kupokea taarifa, idara nyingi wanambinu zao za kuthibitisha kama taarifa husika zipo sahihi ama la kabla ya kufanya maamuzi.

Q: 3. Wakati uo huo kwa mfano akitoa taarifa na kundi alilotoa taarifa zao likawa linataka kumdhuru sasa hao watu wa intelligence system [hapa nazungumzia system ya nchi yoyote ile] wanamsaidiaje au kumlindaje ili asiumizwe au kupotezwa?

A:
hapa sasa ndio inakuja ile issue ya elimu juu ya ku-handle taarifa na kujua ni wapi pa kuzifikisha. unaweza kupeleka taarifa polisi kumbe polisi officer uliyemfikishia hizo taarifa akawa ni sehemu ya mtandao wa huo wa kihalifu unaotaka polisi waushughulikie. endapo itajulikana kama umetoa taarifa sahihi ila kuna leakage ya aina fulani ni lazima utalindwa na huyo muhusika wa leakage kuchukulia hatua mara moja. sasa ni namna gani wanamlinda hiyo ni siri yao.

NIMEJARIBU KIASI CHANGU
 
asante sana kaka. umefafanua vizuri sana tu...
 
Back
Top Bottom