Are spies made or born?

mkuu de'levis naomba msaada kwa haya:

(1) inawezekana kwa mfano mossad ama CIA wakawa na recruitment school ndani ya nchi adui kama Iran pasipo idara za usalama za Iran kujua?

(2) pia, jaribio la mapinduzi ya kijeshi huko Turkey linaweza kuwa termed as "intelligence failure" i.e. kushindwa kwa idara ya ujasusi za Uturuki kuweza kunusa harufu za njama zozote za kupanga mapinduzi?
1..zipo mbinu nyingi sana za kuweza kurecruit mtu ndani ya nchi hasimu..jambo hilo lazima lifanyike kwa umakini mkubwa sana na mara nyingi hufanyika kwa mtu mmoja mmoja ambaye wewe unataka akusaidie kupata habari au taarifa muhimu..lakini kuwa na spy school ndani ya nchi hasimu bila wao kujua ni ngumu mno....labda kama nchi hiyo watu wa usalama wawe dhaifu...kwa nchi kama marekan,israel etc kuwa na spy school ndani ya nchi hasimu ni jambo gumu..ila kurecruit double agent toka nchi hasimu hili linafanyika kila siku..na zipo sababu xa kwa nini mtu anaisalit nchi yake na kuanza kutoa siri nje..
Kwa namna flani nchi pekee iliyolifanikisha jambo la kufundisha watu wake ndani ya nchi nyingine rafiki au hasimu ni vatican...the vatican intelligence and its fields of resources are second to none...

2..jaribio ka mapinduzi kule kwa bwana edorgan lina sura hasi kidogi..mimi kama mimi naweza kusema yafuatayo juu ya yale mapinduzi...
Unapotaka kupindua nchi mkakubaliana kufanya jambo hilo lazma mjue mbinu mnatakazotumia na hatimae kusgika dola..kwanza lazima mhakikishe mnashika njia zote muhimu kama vile viwanha vya ndege...lazima mhakikishe mnashika vituo vya taifa vya televishen na radio..lazima pawe na kiongozi atakayeongoza hayo mapinduzi...
Sasa wale jamaa wa uturuki wao hawakudhibiti chochote ya hivyo nilivyotaja hapo juu...kiongozi wa mapinduzi hakujulikana..hawakushika viwanja vya ndege rais edorgan alikuwa mapumzikoni na siku ya mapinduzi alipata taarifa kupitia kwa kaka yake ndiye alimpigia simu na baada ya kupata uhakika kuwa ni kweli kuna mapinduzi ya serikali yake alipanda ndege usiku huo huo na kurudi mji mkuu wa nchi...lakin pia unapotaka kupindua serikali lazima ujue utawadhibiti vipi viongozi wakuu kama rais,waziri mkuu nk...hili halikutokea uturuki..usiku huo huo rais alipofika akatangaza kupitia local television akiwataka wananchi waingie mtaani kupinga mapinduzi hayo...
Wale wanajeshi waliokuwa wakijaribu kupindua walishika kwa mda kituo cha televishen cha cnn tawi ka turkey na baadae wakakiachia...cnn tawi la turke sip chombo cha taifa....

Now baada ya mapinduzi kufeli zaid ya wanajeshi 7000wamekamatwa na asubuhi yake watu ea usalama walitoa list ndeefu ya wahusika wa mpango huo na ealianza kushughulikiwa...ndani ya jeshi kuna kitengo tena nyeti sana cha mmbo ya ujasusi sasa ni ngumu kuamini kuwa walishondwa kuujua mpango huo hapo kabla..maana iweje watoe list ndefuu yawahusika siku moja baada ya tukio ..kwa nini wasingezuia jambo hilo kabla.!!!!?
Ukiangalia kwa jicho lingine kama hili langu unaweza kusema mpango wa mapinduzi yale ulipangwa na watu walio upande wa edorgan na yeye mwenyewe ili kujihakikishia utawala wa kudumu katika nchi ya turkey...wengi aliowakamata ni viongozi wa jeshi wasiokuwa upande wake...anatumia rungu la wananchi kumuunga mkono ktk kupinga mapinduzi hayo...

Kama kweli hapakuwa na mkakati wa kupanga juu ya mapinduzi hayo toka kwa edorgan basi wana usalama wa nchi hiyo wameonyesha udhaifu mkubwa lakini kwa namna yalivyotokea inaonekana ni mapinduzi ya kupangwa na mtawala....
 
amazing piece of writing, asante sana kwa ufafanuzi wa kueleweka
 
kungekuwa hakuna intelligence apparatus hapa tanzania sidhana kama ungekuwa na muda ama utulivu wa kuweza kukaa na kuandika haya unayoandika hapa.

TISS are too smart to disguise the way they operate and do their things to the extent kwamba mtu kama wewe huwezi kujua kama wapo na wanafanya kazi. nevertheless, they are as humans as you and i, so errors and miscalculations are inevitably there.
umemjibu kwa ufasaha sana kwa maana jamaa alikuwa ana underestimate kazi za watu bila kujua kuna vijana wanaumia 24/7 ili yeye awe na amani
 
jaribio la kuumua mahmoud lilifanyika mara mbili...jaribio la kwanza halikufanikiwa na la pili lilifanikiwa..mara ya kwanza alipewa sumu lakini aliweza kupona...na huyu bwana ilichukua miaka 20 mpaka anauwawa...mwaka 1989 nafikiri huyu mahmoud akiw ana mwenzake wakiwa wamejifanya kuwa ni viongozi wa dini waliwaua askari wawili wa kiisrael. walivalia mavazi ya kitumishi kama watumishi wa mungu na kuwabeba askari wale wawili na walipofika umbali wa km 3 toka walipowachukua mahmoud alitoa ishara kwa mwenzake na hivyo kufyatua risas zilizowaua....wakawazika vichakani..maisti ya askari mmoja ilionekana baadaya siku 3 na ya mwingine ilionekana baada ya miaka 7...
Mahmoud alikuwa top official katika kundi la hamas..huyu bwana alishughulika na uagizaji na ununua wa silaha toka mataifa ya nje...tukio la kuwaua wale askari wawili wa israel ndilo lilifanya uongozi wa israel ukamuweka kwenye list ya kuuwawa...
kumuua mtu hasa ambae nae anajua kuwa mda wote yuko kwenye hatari kuna taratibu zake...mkikurupuka hamuwezi kutekeleza jambo hilo...kitengo kilichohusika na mauaji hayo ni moja ya kitengo maalumu kilichoko ndani ya Mossad..na hawa jamaa wanajulikana kama ''ceaseria'' kama sijakosea hawachangamani na agent wengine wa kawaida...yaani kwa kifupi kama mossad ingekuwa ni dhehebu la dini basi kitengo cha hawa jamaa ungekiita ''patakatifu pa watakatifu''
Hiki kikundi kwa sasa wanajiita "Kidon"
 
1..zipo mbinu nyingi sana za kuweza kurecruit mtu ndani ya nchi hasimu..jambo hilo lazima lifanyike kwa umakini mkubwa sana na mara nyingi hufanyika kwa mtu mmoja mmoja ambaye wewe unataka akusaidie kupata habari au taarifa muhimu..lakini kuwa na spy school ndani ya nchi hasimu bila wao kujua ni ngumu mno....labda kama nchi hiyo watu wa usalama wawe dhaifu...kwa nchi kama marekan,israel etc kuwa na spy school ndani ya nchi hasimu ni jambo gumu..ila kurecruit double agent toka nchi hasimu hili linafanyika kila siku..na zipo sababu xa kwa nini mtu anaisalit nchi yake na kuanza kutoa siri nje..
Kwa namna flani nchi pekee iliyolifanikisha jambo la kufundisha watu wake ndani ya nchi nyingine rafiki au hasimu ni vatican...the vatican intelligence and its fields of resources are second to none...

2..jaribio ka mapinduzi kule kwa bwana edorgan lina sura hasi kidogi..mimi kama mimi naweza kusema yafuatayo juu ya yale mapinduzi...
Unapotaka kupindua nchi mkakubaliana kufanya jambo hilo lazma mjue mbinu mnatakazotumia na hatimae kusgika dola..kwanza lazima mhakikishe mnashika njia zote muhimu kama vile viwanha vya ndege...lazima mhakikishe mnashika vituo vya taifa vya televishen na radio..lazima pawe na kiongozi atakayeongoza hayo mapinduzi...
Sasa wale jamaa wa uturuki wao hawakudhibiti chochote ya hivyo nilivyotaja hapo juu...kiongozi wa mapinduzi hakujulikana..hawakushika viwanja vya ndege rais edorgan alikuwa mapumzikoni na siku ya mapinduzi alipata taarifa kupitia kwa kaka yake ndiye alimpigia simu na baada ya kupata uhakika kuwa ni kweli kuna mapinduzi ya serikali yake alipanda ndege usiku huo huo na kurudi mji mkuu wa nchi...lakin pia unapotaka kupindua serikali lazima ujue utawadhibiti vipi viongozi wakuu kama rais,waziri mkuu nk...hili halikutokea uturuki..usiku huo huo rais alipofika akatangaza kupitia local television akiwataka wananchi waingie mtaani kupinga mapinduzi hayo...
Wale wanajeshi waliokuwa wakijaribu kupindua walishika kwa mda kituo cha televishen cha cnn tawi ka turkey na baadae wakakiachia...cnn tawi la turke sip chombo cha taifa....

Now baada ya mapinduzi kufeli zaid ya wanajeshi 7000wamekamatwa na asubuhi yake watu ea usalama walitoa list ndeefu ya wahusika wa mpango huo na ealianza kushughulikiwa...ndani ya jeshi kuna kitengo tena nyeti sana cha mmbo ya ujasusi sasa ni ngumu kuamini kuwa walishondwa kuujua mpango huo hapo kabla..maana iweje watoe list ndefuu yawahusika siku moja baada ya tukio ..kwa nini wasingezuia jambo hilo kabla.!!!!?
Ukiangalia kwa jicho lingine kama hili langu unaweza kusema mpango wa mapinduzi yale ulipangwa na watu walio upande wa edorgan na yeye mwenyewe ili kujihakikishia utawala wa kudumu katika nchi ya turkey...wengi aliowakamata ni viongozi wa jeshi wasiokuwa upande wake...anatumia rungu la wananchi kumuunga mkono ktk kupinga mapinduzi hayo...

Kama kweli hapakuwa na mkakati wa kupanga juu ya mapinduzi hayo toka kwa edorgan basi wana usalama wa nchi hiyo wameonyesha udhaifu mkubwa lakini kwa namna yalivyotokea inaonekana ni mapinduzi ya kupangwa na mtawala....
shukrani sana kwa ufafanuzi wako mzuri mkuu de'levis

mimi nina swali lingine hapa de'levis na Ramark kuhusiana na suala la population diversity kwenye kutumia human intelligence katika kukusanya taarifa linapokuja suala zima la recruiting an ideal spy/agent that would fit in with the host country's demographic makeup.

for instance, kwa kuzingatia uwepo wa watu kutoka mataifa mbalimbali wenye uraia wa marekani (wahindi, waarabu, waajemi, waafrika, wachina, wajapani, e.t.c) ni kweli kuwa agency kama C.I.A wanakuwa na options nyingi za kufunza makachero wanaoweza kufanana na watu wa taifa lengwa kisha kupenyezwa kwa siri without rising any suspicions, ukilinganisha kwa mfano na China ambao population diversity yao ni finyu sana kiasi cha kuwanyima fursa ya kuweza kutengeneza makachero wao na kuwapenyeza katika taifa la adui bila ya kuzua mashaka miongoni mwa watu wa taifa husika???!!!!!!!

how does population diversity make China disadvantaged when it comes to human intelligence gathering, na kwa mawazo yako kama mkongwe unadhani China wanawezaje kukabiliana vipi na changamoto ya namna hii???!!!!!!

mkuu de'levis pia nimeona hii thread ipewe jina Special thread for discussing espionage business and other related issue kwa kuwa tumekuwa tunauliza na kujibiana maswali deeper kidogo tofauti na jina lake la sasa
 
Infantry Soldier Katika kujibu swali lako ni kwamba kila nchi kazima ijue mahitsji yake..inshitaji nini na kutoka wapi na vipi itafanikisha kufika huko...katika hilo zipo njia mahsusi zinazotumika katika kufanikisha hilo..
Lazima waandaliwe watu wa kufanikisha hilo..na ili wakaifanye kazi kwa ukamilifu ni dhalihi maandalizi nayo kazima yawe kabambe kabisa...zipo nchi zinachukua watoto wadogo kabisa na kuwapeleka "shambani" watakaa huko na kutunzwa huko..watafundishwa kila kitu kuhusiana namahitaji...kama target country ni rwanda basi ni lazima watoto hao wafundishwe lugha ya taifa watakalokwenda,lazima wafundishwe tamaduni za huko,lafudhi,itikadi nk...
Wakishakuwa wakubwa wa umri wa kutosha na kwa njia za kijasusi watapenyezwa kwebye target country na ku-infintrate ndani ya serikali au taasisi nyeti..huko watakaa kama sleeper agent huku wakiendelea kukusanya na kuifluence maamuzi yoyote yanayokandamiza nchi yake ya asili...

Sasa kupandikiza mtu wako ndani ya nchi nyingine ni lazima uzingatie yafuatayo..kwanza ni lazima umbadili mtu wako identity yake..lazima ubadilishe jina lake liendane na kule unakotaka kumtuma..
Pili ni lazima umtengenezee cover story ambayo ataitumia akiwa huko kama kujitambulisha yeye ni nani mfano wa cover story ni hii:.
Kuanzia leo jina lako ni juvenali sikambona nyakakurugusi,mama yako ni sofia tibezuka na ulizaliwa kigali mwaka sept 24 mwaka 1990..wakati wa mauaji ya kimbali baba yako alitoroka na kwenda uhamishoni zambia akiwa ni yeye na familia yake.alipofika zambia alianziasha biashara yenye mafanikio makubwa lakini mwaka 2006 machi 21 baba yako alipata ajali na kufa ba hivyo wewe kama kijana wake mkubwa ukaamua kuiendeleza biashara hiyo...mwaka 2010 may 25 mama yako nae alifariki kwa malaria..ukiwa kijana mwenye mafanikio kubiashara umeamua kurudi katika nchi yako ya asili ilu uweze kuendesha biashara zako kwabi sasa kuna amani na umoja...
Hiyo ni mfano wa cover story utakayompa spy akiwa huko makazi mapya..lazima pia ajue tamaduni za huko aendako..lazima ashike ramani ya mji kichwani vizuri..
Ukiwa umejiridhisha kuwa kijana kaiva na yuko tayari kwenda ni lazima atengenezewe passport itakayoendana na utambulisho mpya..
Kwa kuwa katika cover story umemwambia kuwa baba yake alikimbilia zambia basi ni lazima huyu kijana safari yake ya kwenda target contry lazima ianzie zambia..msafirishe kwa mbinu zako mpaka zambia then aende anakokwenda...
Lakini pia kabla hajafika target country kazima afagamiane na wafanya biashara wakubwa na watu wa nchi huyo hata kwa mda wa miaka miwili..lengo ni kuwaaminisha kuwa ni mwenzao ili sku akifika awe na wenyeji
Baada ya hapo sasa unaweza kuruhusu kunguru kuzaliwa kwenye jamii ya njiwa...

Hata watu wazima wanaweza kutengenezwa na kutumwa..lakini kazima ujiridhishe na lugha,utamaduni,itikadi yanchi husika nk vyote avijue pasi kuacha shaka...lakini sambamba na hilo lazima unfanyie psycho-analysis mtu wako..umjue vizuri na kwa kina kabla ya kwenda...

Wachina kwa upande wao jatika hili wamejikita katika technology..wana uwezo mkubwa wa kuingia jatika mifumo ya komputer na kuiba taarifa wanazozitaka lakini pia kwa uchumi wao kukua wanatumia makampuni makubwa ya uwekezaji na hivyo kufika nchi yoyote kama wawekezaji na eakati huo huo wanafanya ujasusi....

NB...ukimtuma jasusi wako chini ya mwamvuli wa mfanyabiashara lazima akifika huko kweli awekeze..so lazima awezeshwe na ainekane anarun biashara...sio mtu anafika anajieleza kama mfanya biashara hakafu akifika huko hakuna biashara,..anaishi maisha ya anasa na haoenekani kufanya kazi..jua halitazama watanshitukia...au anafika huko na utambulisgi wake halafu anaishi makazi duni kazima atashitukiwa...au anaishi eneo la watu wazito lkn ukifika kwake hapaonekani kama nyumbani kwa tycoon wa biashara wenyeji watazua maswali

My cup is still empyt....
 
Ufafanuzi mzuri sana mkuu, but your cup is not still empty.
 
mkuu de'levis asante kwa kuzidi kunipa nondo za kutisha kaka, hii elimu ni ngumu sana kupata pahala pengine popote zaidi ya humu JF, kuna mambo mengi sana nilikuwa siyafahamu sasa napata mwanga.........
 
Gud drink at all
 
Nitajaribu
Maisha ya.spies yanaamuriwa na Mahitaji ya taifa na kwa kiasi kikubwa matzmiz ya mtu kwa ajili ya espionage ni makubwa kama zaman wameongezewa njia ya ukusanyaji na utumaji taarifa.

China wametumia teknolojia lakn wametumia watu kudevelop tchnolojia
Mifano ni report ya ujasus iliyofanywa na wachina marekan na kuiba classified information wakiwa watumish was idara za intelligence kama mara mbili waliojulikana pia WaPo wasiojulikana vilevile kinachowaponza usa ni aheria ya uhamiji iliyochukua watu wengi kuanzia miaka ya sabini ambapo wachina wakorea na waarabu pia weus waliingia kwa maslahi tofaut. Sheria ambayo trump anailalamikia na wengi wanaonekan kumuunga mkono

Si kweli uchina kwa muonekano wao na genetics zao ni kupenyeza majasusi leo baran afrika ndio wagen wenye ahughuli nyingi kuliko watu wengine wa kigen
Mamejaa kwenye ahughuli za kiserikali na hinafsi pia wapo wakizagaa kwa kasi, na nikweli idadi ya watu nchin kwao imewabeba kwa kukubaliwa kuingia nchi za watu na utamadun wao pia ulivutia weng hasa wazungu hapo awali baada ya vita vya dunia 19945

Ukuaji wa technology umeisaidia china kwa kukuza uchumi pia kidola au kiinteligence. China leo ni nchi inayozalisha bidhaa nyingi za makampun makubwa na wamekuwa watengenezaji wa bidhaa za kiusalama na mawasiliano na ndio mana n rahis kufanya hacking
Pia ulikuwepo uvumi kuwa magogon wanatumia huawei security devices from China
Kwa hali hiyo hacking inakuwa rahis pia cctv kamera zinazotumiwa na makampuni kwa usalama wao Ndio wanatengeneza kwa kias kikubwa

Human gathering of II kwa uchina au korea pia arabs hususan india ni rahis kwa wanaacses na nchi nyingi kimahusiano hususan kiuchumi
Marekan pia wameshalalamikia nchi ya korea kaskazin juu ya wizi uliofanywa na mtu kwenye idara za ujasus
 
mkuu de'levis, kuna kitu katika idara za ujasusi huwa wanaitwa front companies, kampuni zinazozuga kufanya biashara halali ilhali kazi yao kubwa huwa ni ku-conduct espionage business in various highly clandestine means.

hili suala la idara za ujasusi kama mossad ama ile ya china kumiliki hizi front companies ndio umelitolea ufafanuzi mkubwa sana from your previous comment/reply kwenye huu uzi ya kwamba ndio hutumika kama kampuni za uwekezaji kutoka nje kumbe wanakuwa na agenda zao za siri.

tukija katika scenario ya korea kaskazini kwa sasa, sidhani kama kuna kampuni yoyote ya kimarekani ama kiingereza inayoendesha shughuli zake pyongyang ama pahala popote pale ndani ya north korea na sidhani vile vile kama China kama mshirika mkubwa na wa karibu wa serikali ya North Korea (N.K) itakuwa radhi kushirikiana katika ujasusi na nchi za magharibi katika ku-undermine huyo jirani yake.

sasa mkuu de'levis unadhani marekani wanaweza kutumia mbinu gani ya ujasusi wa kibinadamu (human intelligence) kwa taifa korofi kama N.K ukiachilia mbali satellite surveillance and other highly advanced technological maneuvers???!!!!!!!!!!!!!!
 
I'd like to think it's both. But more so on the latter part (trained.)

You have a few outliers in the espionage field that one would say "were born spies"
Ila i'd like to point out kwamba these were the famous few that did manage to have the needed instincts and high form of natural intelligence to be a spy. Now as for the rest, training is very crucial when it comes to any form of intelligence gathering. Very few people have been able to learn the skills on their own. I think Cassanova was one of them. Interesting and fascinating to read.

Mata Hari,
Giacomo Casanova
James Armistead Lafayette(Huyu ni mweusi)
Shi Pei Pu, Chinese Spy

mkuu de'levis, kuna kitu katika idara za ujasusi huwa wanaitwa front companies, kampuni zinazozuga kufanya biashara halali ilhali kazi yao kubwa huwa ni ku-conduct espionage business in various highly clandestine means.

hili suala la idara za ujasusi kama mossad ama ile ya china kumiliki hizi front companies ndio umelitolea ufafanuzi mkubwa sana from your previous comment/reply kwenye huu uzi ya kwamba ndio hutumika kama kampuni za uwekezaji kutoka nje kumbe wanakuwa na agenda zao za siri.

tukija katika scenario ya korea kaskazini kwa sasa, sidhani kama kuna kampuni yoyote ya kimarekani ama kiingereza inayoendesha shughuli zake pyongyang ama pahala popote pale ndani ya north korea na sidhani vile vile kama China kama mshirika mkubwa na wa karibu wa serikali ya North Korea (N.K) itakuwa radhi kushirikiana katika ujasusi na nchi za magharibi katika ku-undermine huyo jirani yake.

sasa mkuu de'levis unadhani marekani wanaweza kutumia mbinu gani ya ujasusi wa kibinadamu (human intelligence) kwa taifa korofi kama N.K ukiachilia mbali satellite surveillance and other highly advanced technological maneuvers???!!!!!!!!!!!!!!
Kuna njia mara nyingi ambayo imejaadiliwa humu a
Two in one
Double standards

Inaweza kutumika Kwa kuwatumia watu wa karibu na korea maybe Uganda au wengine au kuanzisha kisa kitakachoza a jasus ktk nchi husika au
Opareshen za kimataifa kupitia Un hususan watumishi wa un au baloz rafiki na marekan
Inaweza kuwa micro chip ktk vifaa vya watu wanao ingia north korea na Kuwa na kituo karibu na korea maybe south kwa ajili ya kupokea taarifa ili kuondoa nchi husika kutojulikana, au

To send somebody for sacrificing him or herself and bring huge disadvantage to them

Nimejarib
Dr levis uzi wako huu
 
Practically there is no difference between a spy and a pickpocket. Their only difference is that one is interested with soft material and the other with hard materials but they are all made
 
Do you know the motivation of spy?

Spy.is made up by 4 motivation among of it its ISM
Communism
Patriotism
Capitalism
Which automatically are psychologically natured by nature and genetics
Why are all made?

But spy can be after both soft and hard according to its motivation of spying against the needs which some time are there to meet personal demands or political demands or whatever

What is your notion mkuu
 
Infantry Soldier Kila taifa lina utaratibu wake na sheria zake za namna ya kuingia kwenye nchi nyingine hasimu kwa lengo la kukusanya taarifa...kupenyeza mtu mpaka akaingia ndani kabisa katika utawala wa nchi hasimu ni jambo linalofanyika na kupangwa kwa umakini mkubwa...
Infiltration za namna hiyo hupangwa kwa kupelekea mtu mmoja mmoja,au kikundi cha watu (spy ring) wakaingia nchi hasimu na kutapakaa kila mmoja akifanya kazi yake lakin wakawa na namna wanavyokutana na kupeana taarifa au inaweza kuwa ni hizo kampuni zikaingia na kufungua miradi lakini kukawa na lengo hilo...
Ntatoa mfano mmoja wamarekan wakati wakimtafuta osama huko pakistan walimtumia dada mmoja anaitwa jane aliyefanya kazi shurika la save the children..alifanya kazi nzuri sana mpaka akajua nyumba anayoishi osama na akapanga jiran na nyumba hiyo na kuchukua taarifa zote mpaka mheshimiwa akauawa...
Ujasusi Wa kuingia nchi hasimu lazima upangwe vizuri maana jasusi akikamatwa hukp madhara yake ni makubwa..
Sasa basi jambo la kwanza ni kuangalia viongozi wa nchi hasim wanapenda nini..kila binadamu ana udhaifu wake..njia nzuri inaweza kutumia jasusi wa kike anapandikizwa nchi hasim na kwa siri anajipenyeza mpaka anakuwa na uhusiano na mmoja wa viongozi serikalini toka nchi hiyo hasimu...anaweza akaolewa kabisa na akakaa huko na kwa kumtumia huyo mumewe akazijua siri,taarifa na mipango yoyote inayoendelea kuhusu taifa la jasusi nae akaweza kutoa taarifa..
Wanawake ni wazuri katika hilo,zipo mbinu wanapewa namna ya kupata siri hasa mwanaume anapokuwa amemaliza kupizi...lakini pia zipo dawa wanazopewa ni maua flani huko iringa ni mengi sana..mwanamke akijipaka mkononi maji maji ya maua hayo na kisha kumtomasa mwanaume sehem ya sikio na shingoni mara moja mwanaume akivuta hatufu ya maua hayo atapata hisia za kufanya mapenzi....na hapo mwanamke atatumia mwanya huo kupata taarifa...kumbuka for a woman to have sex she must have a reason but for man to have sex he just need a place to do that...
Kwa nini majasusi wa kike ni wazuri kwa infiltration za namna hiyo?...zipo sababu kadha wa kadha..kwanza ni kwamba inaaminika mwanamke amezaliwa na extra strand kwenye DNA yake..they are born spies...women are better at playing roles and superior to men when it comes to suppressing their ego in order to attain the goal...they are gifted at deciphering sitiation contary to steriotypes...when they are good,they are very good...
Tofauti na mwanaume..mwanaume anaweza kujionyesha sana...men can fidget around with gadgets but women have an antenna inside them....
Hizo ndizo sababu kwa nini wanawake ni wazuri eneo hilo...sisemi wanaume hawafi wanafaa inategemea na mission yenyewe...
Sasa ukifanikiwa kuruhusu kunguru wako azaliwe kwenye jamii ya njiwa yapo mambo ya kuzingatia kwa huyo kunguru wako ili abaki huko kwa mda mrefu na hata siku moja njiwa wasishtuke na kujua wanaishi na kunguru...jasusi wako akofika huko ni lazima muangalie au aangalie nyumba ataksyofikia..aangalie vitu vilivyomo ndani kama taa,saa ya ukutani nk..aangalie na ajiridhishe kuw vifaa hivyo havijapandikizwa vinasa sauti..
Wakati wa kupiga simu au kupokea simu ya nyumbani awe makini kusikiliza kelele zisizo za kawaida isije kuwa kuna mtu wa tatu anasikiliza mazungumzo...
..tv,radio hasa zilizo ndani ya gari atakalokuwa akitumia awe nakini kusikilza mwingiliano wa mawimbi usioekeweka huenda akawa amepandikiziwa wireless microphone inayonasa mawasiliano yake...
Lazima jasusi(kunguru)awe mwangalifu anapopewa vitu bure mfano kalamu,saa nk..huwenda vitu hivyo vikawa na chip zinazonasa mawasiliano au kumtrack kunguru kila anakoenda..
Kama mahali anapoishi panahitaji ukarabati basi mafundi wote wafanye kazi chini ya uangalizi maalumu wasije wakapandikiza vitu vya kunasia sauti..
..iwapo jasusi atapanda tax kuelekea kwake basi ashuke njian mahali atakapoona panafaa na atembee kwa miguu kwenda kwake..si kila tax dreva ni dreva...
..ndani ya nyumba afunge kamera zitakazokuwa zikirekod masaa24..
Ahakikishe nyaraka na taarifa zilizo ndani ya komputa haziibiwi..akifika kwako atoe hard disk na kuihifadhi sehem salama..
...jikon pawe na vifaa maalum au chumbani kwae vitakavtonsaidia kutengeneza bomu la haraka iwapo atakuwa katika hatari nandani humo pawe na silaha za kutumia iwapo atapata hatari na ulazima...
..lazima awe na begi la all in one..akipata dharura anabeba begi na kusepa sio kuanza kukusanya vitu ..
Asiache chochote chenye maandishi ndani ya gari na kila anapotaka kuwasha gari alikague tair zote isije kuwa tair moja imepachikwa reflector itakayowapa nafasi mahasimu kumfatilia mienendo yake....
Pia lazima akieep profile yake low
Hayo na mengine ni mambo ya muhimu ambayo jasusi anapaswa kuyafanya awapo ugenini...kila jambo lifanyike kwa tahadhari...
Sasa anapotaka kutuma taarifa kwa wakubwa zake lazima afanye kwa umakini ..njia za kisasa za tech ni hatari maana mahasimu wanaweza kufatilia na kusikiliza..kumbe njia nzuri ni kumpa taarifa mtu wako mwingine (handler) ambaye atazifikisha huko kwa wakubwa...
Sheria za majasusi wanapokutana ugenini na kutaka kupeana taarifa ni hizi:
Kwanza lazima wahakikishe hakuna anayewafatilia,kipengele hiki ni muhimu wakazingatia maadili ya kazi...
Lazima wakubaliane juu ya eneo makutano yao..na lazima wapeane ishara za utambuzi ili kufahamiana pasipo kutambuliwa kwa mtu yeyote..
1 kila mmoja afike eneo walilokubaliana kwa mda wake
2.kabla ya kufika eneo walilokubaliana lazima wapeane ishara ya kuonyesha kuwa kila mmoja amemuona mwenzake..ishara hiyo yaweza kuwa kunyanyua gazeti toka upande mmoja kwenda mwingine au kuwasha sigara..ishara hiyo lazma iwe ishara mtembeo ambayo haitavuta hisia za watu wengine..na wakti hili linafanyika wotw wawili wawe makin kujua na kuona kama wanafatiliwa..
3.ishara ya utambuzi ikishafanyika mbeba taarifa ataanza kutembea kuelekea eneo la makutano huku mchukua taarifa akimfata kwa umbali unaofaa....hii ni kuhakikisha mbeba taarifa yuko salama na hafatiliwi
4.mchukua taarifa akijiridhisha kuwa mbeba taarifa yiko salama atamuonyesha ishara iliyozoeleka katika mazingira ya kawaida mfano kufunga kamba za viatu,kushika miwan nk..baada ya hatua hiyo mbeba taarifa nae sasa lazima ahakikishe kwamba mchukua raarifa yuko salama na hafatiliwi...nae ataonyesha ishara mfano kufikicha jicho nk..

5.mbeba taarifa akijiridhisha kwamba wote wawili wakp salama ataonyesha ya kukutana mfano kupandisha suruali ikae vizuri kiunoni....then watakutana na kuepeana taarifa..hakuna mazungumzo kati yao..
Iwapo mbeba taarifa au mchukua taarifa atahisi wanafatiliwa basi watavunja makutano na kila mmoja ataondoka kwa njia yake...watakutana na kujadili yaliyojir na nini kifanyike na safari ya pili wakikutana lazima wawe na backup ya watu wengine au plan ya ziada...

Najisikia kiu
 
36 Reactions
Reply
Back
Top Bottom