ARDI RIZAL, mtoto mwenye umri wa miaka miwili anavuta sigara ...

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
CIGA.jpg

Mia
 
[video]http://www.nationalturk.com/en/2-year-old-indonesian-boy-cuts-down-smoking-to-15-cigarettes-547244564[/video]
Si ndiyo huyu dogo?
 
Mbona niliona familia moja ya mtoto mmoja ambaye mtoto alikuwa na umri wa mwaka mmoja huko mkoa wa kati Tanzania baba na mama walikuwa wakimnywesha bia, nilishtuka sana, lakini waliniambia wamemzoesha na ameshazoea kugida bia kisha hulala fofofo, mambo haya jamani, kama maraha kwani nini tumharibie mtot nerves zake angali mchanga?
 
Hata mimi niliona hiyo kitu hukohuko mkoa wa kati.
 
Mbona niliona familia moja ya mtoto mmoja ambaye mtoto alikuwa na umri wa mwaka mmoja huko mkoa wa kati Tanzania baba na mama walikuwa wakimnywesha bia, nilishtuka sana, lakini waliniambia wamemzoesha na ameshazoea kugida bia kisha hulala fofofo, mambo haya jamani, kama maraha kwani nini tumharibie mtot nerves zake angali mchanga?

Dhambi ilioje usiniambie uliwaachia waendelee na huu udhalimu/....................na akilala fofof ili iweje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom