Ardhi Yetu

Bahari | Ipi Ltd | Property Investments Specialists | UK

Haya wadau oneni Ma Project hayo.
Bei zake ni balaa, lazima uwe fisadi uweze kununua. No wonder kila mtu sasa hivi anajitahidi kuiba hela ndefu pale alipo akipata upenyo.
http://www.ipiltd.com/bahari


Angalia kwa mtazamo mwengine : maelfu ya watanzania watapati kazi hapo. Kampuni nyngi za biashara zitapata kazi za hapo na kuwafaidisha wafanyakazi wao ambao wataboresha maisha ya familia zao na jamii kwa ujumla. Serikali itapata mapato makubwa ya kodi. Mradi utavutia na kuboresha utalii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom